chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. PreGE2025 Vijana wa vyuo vikuu CHADEMA wagawanyika wengine wapinga msimamo wa chama

    Kuna video ya vijana wa CCM walio valia bendera za chadema imerushwa na ITV eti wanasema hawataki No reforms no elections. Hii ni taarifa fake na ITV hamja tenda haki kwa kutoa picha fake zilizo changanywa na picha halisi. Hizo video za hao vijana hazija chukuliwa sehemu mkutano umefanyika na...
  2. Maamuzi ya Mkutano wa Kamati Kuu ya CHADEMA yamekosa Jambo Moja Muhimu. Chadema jirekebisheni! Huu sio wakati wa siasa nyepesi.

    Vyombo vya habari vya Nje ya nchi na Kimataifa vyote vinazungumza jambo moja kubwa. Jambo hilo ni ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu unaofanywa na Serikali ya Rais Samia. Vyombo hivi vya Kimataifa vimeripoti matukio makubwa kabisa ambayo yanaunda Makosa dhidi ya Binadamu na Ubinadamu. Makosa...
  3. W

    PreGE2025 Heche: Ni aibu, mtu anayemkumbusha Rais kuhusu 4R kuitwa mhaini

    John Heche ameeleza kuwa kama msimamo wa kuzuia uchaguzi upo pale pale na kama CHADEMA haitokuwepo kwenye karatasi ya kupigia kura basi hakuna mtu atakayeenda kupiga kura Aidha ameeleza kuwa ni aibu kwa mtu ambaye anapambania reforsm jambo ambalo pia ni miongoni mwa 4R za Rais eti anaitwa mhaini.
  4. W

    PreGE2025 CHADEMA imeazimia kutofuata maagizo ya Msajili wa vyama vya siasa. No reforms No election kuchanja mbuga

    https://www.youtube.com/live/wUVtQ2kDck8 Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara John Heche ni mgeni rasmi katika kongamano la wasomi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar Es Salaam. Pamoja na mambo mengine ataeleza maazimio ya Kamati Kuu ya Chama kilichoketi kwa siku mbili Makao Makuu ya Chama tarehe 23...
  5. SI KWELI PreGE2025 Askofu Gwajima amesema CHADEMA ilihusika na utekaji wa Ali Kibao

  6. SI KWELI PreGE2025 Askofu Gwajima asema Padri Kitima alipigwa na vijana wa CHADEMA

  7. Uchaguzi wa mwaka huu ni Mungu dhidi ya CCM, mpinzani mkuu wa CCM mwaka huu ni Mungu mwenyewe

    Huu si mwaka wa kushindana kwa namna ilivyozoeleka ,watu hawataki kushindana kwa hoja wala kukosolewa kama ilivyokuwa zamani ! Mamlaka ziko tayari kwa ajili ya kuilinda mamlaka ,ukiwa mgombea unatafsiriwa kama gaidi au mhaini ,wanataka ukiwa mpinzani wao wakufundishe na jinsi ya kuongea, nini...
  8. PreGE2025 Mwenyeketi wa CHADEMA kata ya Makumbusho: Polisi walinivua nguo zote wakanipiga sana na wakinipiga picha nikiwa uchi

    Tulikuwa tunakutafuta kwa muda mrefu, wewe ndiyo ulikuwa unawafundisha vijana ili wawapige askari, wewe taja cheo chako ni kawaambia mimi ni mwenyeketi wa CHADEMA kata ya Makumbusho, hapana sema cheo chako na kama utaki kusema basi tunakufanya vitu ambavyo wajawahi kuona Wakanivua nguo zote...
  9. PreGE2025 Kakonko: Viongozi na wafuasi zaidi ya 200 wa CHADEMA wamajiunga ACT Wazalendo

    Tukio hili ni la jana tarehe 23 huko Kakonko ambapo Viongozi na wanachama wa CHADEMA zaidi ya 200 wamejiunga na ACT WAZALENDO
  10. R

    CHADEMA itapumua kwa muda kwa press hii ya Askofu Gwajima!

    Salaam! Yaani hivi sasa masuala ya utekaji yanapingwa huko huko ndani ya chama hadharani. Hivi sasa CHADEMA itapumua, maana reforms zinaongelewa kule kulle ndani. Ni kwema mbeleni! Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.
  11. Pamoja na wachumia tumbo aka waganga njaa kuhamia CHAUMA . CHADEMA bado ipo imara na ina ushawishi mkubwa

    Watanzania wa leo sio wale wa 1995 wanajua vizuri mchezo mchafu wa kibiashara waliokuwa wanafanya Mbowe na wenzake. Ambao sasa wamehamia CHAUMA aka wagawa ubwabwa. Fanya tafiti kwa kina Chadema inakubalika hasa baada ya Mbowe na wenzake kutimuliwa. Chadema inazidi kuimalika maana sasa hivi...
  12. PreGE2025 Baada ya kauli ya Askofu Josephat Gwajima, agenda ya No Reforms No Election ya CHADEMA yachukua mwelekeo mpya na wenye nguvu zaidi

    https://youtu.be/ncGGFtMJA9A?si=lLgn0JLrDY0nSRgd Nani anaweza kubishia hili? Kwamba, Askofu Josephat Gwajima, mbunge wa CCM jimbo la Kawe - DSM kwa press conference yake ya muda mfupi uliopita, kuwa rasmi sasa ameunga mkono agenda ya NO REFORMS NO ELECTION ya CHADEMA...? Jibu ni Absolutely...
  13. Chadema msimpe nafasi ya kugomea Urais Gwajima

    Naongea kwa experience ya Lowassa,Sumaye na Nyarandu. Haya mambo ya kuwachukua watu wakati wa uchaguzi hapana Kama wanakuja wakae benchi kwanza hata nafasi ya kugombea nafasi yeyote wasipewe. Kwanini kwa sababu baada ya uchaguzi uwa wanaanza kashifa za kijinga na kukigawa chama!! Na mwisho...
  14. Kauli za Viongozi wa CHADEMA kila anayewakimbia wana mbeza ikome.

    Heshima sana wanajamvi. Imekuwa kawaida na utaratibu kila mwanachama au kiongozi wa CHADEMA anayeondoka kupewa majina mabaya ana tamaa,mamluki,wamenunuliwa,team Mbowe na nk. Viongozi na wanachama wa kawaida wanaondoka wengi wametoa sababu mbali mbali nyingine zina mashiko na nyingine hazina...
  15. PreGE2025 Amos Makalla: 'No Reforms No Election' yapigwa na CHADEMA, vyama vingine na Watanzania nao hawaitaki

    Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla amesema madai ya kwamba kauli ya "No Reforms, No Election" imepingwa na watawala si ya kweli, kwa kuwa kauli hiyo ilianza kupingwa ndani ya CHADEMA yenyewe kupitia kundi la G-55, kabla haijakataliwa na vyama vingine 17 vya...
  16. PreGE2025 Salma Kasanzu: Waliohama CHADEMA kwenda CHAUMMA wako kwa ajili ya kupambania matumbo yao, tuwazomee popote

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa kutoka Mkoa wa Mwanza Salma Kasanzu awataka wananchi mkoani Mwanza kuwazomea viongozi wakuu wa CHAUMMA ambao wametoka CHADEMA akidai kuwa viongozi hao wapo kwa ajili ya kupambania matumbo yao na sio wananchi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  17. M

    G55 na wimbo wa "naapa naahidi mbele ya Mungu, CHADEMA nitakulinda mpaka kufa"

    Huu ni wimbo maarufu, zamani ulikuwa ukiimbwa na wanaCCM kuahidi kuilinda CCM mpaka siku ya kifo chao. Baadae CHADEMA nao wakauchukua ukawa ni miongoni mwa nyimbo maarufu za chama, wakiapa na kuahidi mbele za Mungu kuwa watailinda CHADEMA mpaka siku za mwisho za uhai wao. Sasa najiuliza kulikoni...
  18. PreGE2025 Kilimanjaro: Wanachama 168 wa Chadema na CUF wamejiunga na ACT Wazalendo

    Wanachama 168 wa Chadema wakiongozwa na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Ndugu Godson John Mmbaga na Chama cha CUF wakiongozwa na aliyekuwa Katibu wa Wilaya wa Chama hicho Ndugu Ally Ramadhan Mngashwa wamejiunga na ACT Wazalendo na kupokelewa na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…