chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA watangaza siku 7 za maombelezo na bendera kupepea nusu mlingoti kwenye ofisi zao zote

    Mkurugenzi wa mawasiliano na uenezi wa CHADEMA Brenda Rupia amezungumza na watanzania na kutoa pole kwa niaba ya chama na wametangaza maombelezo ya siku 7 na bendera kupepea nusu mlingoti kwenye ofisi zao zote. Nchi yetu ilishuhudia maandamano ya amani yalifanywa na wananchi yalikuwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Day 14: John Heche ahamishwa kituo cha Polisi, haijulikani anapelekwa wapi

    Leo, 04 Novemba 2025, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche alichukuliwa mahabusu ya Polisi kuwa anahitajika kwa RPC Dodoma. Heche amechukuliwa huku mke wake akishuhudia akiwa na Katibu wa Kanda ya Kati (CHADEMA) Bi ashura Masoud. Walijaribu kuongozana na gari la Polisi lakini magari hayo...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA walaani matumizi ya nguvu yasiyo ya lazima dhidi ya waandamanaji

  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA: Matokeo yaliyotangazwa hayana uhalisia, hakukufanyika uchaguzi Tanzania

    TAARIFA YA AWALI YA CHAMA JUU YA KINACHOITWA MATOKEO YA UCHAGUZI TANZANIA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapinga vikali kinachoitwa matokeo ya uchaguzi yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi. Matokeo haya hayana uhalisia wowote kwani ukweli ni kwamba hakukufanyika uchaguzi Tanzania...
  5. K

    JamiiForums Tanzania CCM ilipigwa na mshituko mzito January mwaka huu baada ya pandikizi lao muhimu walilokuwa wanalitegemea (Mbowe) kun'golewa CHADEMA

    CCM ilishajifia kitambo tangu mwaka 1995 ilizoea kushinda kwa kutumia vyombo vyao vya Dola na kupandikiza mimamluki mi Double Agents. Kwenye vyama vikubwa vya upinzani nchini pamoja na kusajili vikaragosi vyao 17 CCM inavyoviita ni vyama vya upinzani. Vinavyolindwa na tume ya uchaguzi...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Mnyika: William Tengecha hajawahi kuwa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama CHADEMA Amerusha uchafu wa uongo Tumpuuze!

    Usaliti unaombatana na uongo katika mambo yanayohusu uhai na maisha ya watu ni uuaji. Nyamatari (William) Tengecha hajawahi kuwa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama Chadema aliteuliwa kama Mtaalam wa Hamasa. Amerusha uchafu wa uongo ambayo ni vyema ukapuuzwa na wapenda ukweli na haki. Nasikitika...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Wenje: Wengi Kamati Kuu CHADEMA walipinga 'No Reforms No Election'

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje amesema asilimia 80 ya wajumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA hawakukubaliana na msimamo wa 'No Reforms, No Election,' ndiyo maana wengi wamekihama chama hicho.
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya vigogo CHADEMA kukiuka amri ya Mahakama leo Oktoba 28

    Kutoka kwenye chumba namba tatu (3) cha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumanne Oktoba 28.2025 kesi ya kukiuka amri ya Mahakama inayowakabili viongozi waandamizi wa CHADEMA wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake wa Tanzania Bara John Heche inaendelea. Soma pia: Kesi...
  9. JamiiForums Tanzania Maandamano Bila kikomo - Oktoba Tunatoka

    Kitendo kinatokana na neno GO 🔥 buti ardhini 💪🏿 Na 👇🏿 ujasiri, uthabiti, Uamuzi, kujitolea, kuzingatia, Itikadi, Ustahimilivu, Mwendelezo, Chanya, Umoja, Umoja, Mtazamo wa kawaida Dikteta #Samia_Suluhu hastahili muda wa kujiandaa wala kupata kasi,,,kwa sababu tu alikataa kusikiliza...
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA: Tangu Oktoba 1 hadi 25, wametekwa watu 52

    TAARIFA YA UTEKAJI Chadema tumeendelea kufuatilia kwa karibu matukio mbalimbali ya utekaji wa watu yaliyotokea nchini ndani ya siku ishirini na tano kuanzia tarehe 01 hadi 25 Oktoba 2025. Katika kipindi hiki, jumla ya watu 52 wametekwa, wengi wao ni viongozi na wanachama wa Chadema, pamoja na...
  11. JamiiForums Tanzania Mo29-Oktoba29 Tunatoka siku 3!

    Number 3 is a magical number 🔥 Bafo siku 3 na nina imani kila mtanzania amejiandaa ni mwendo wa #OktobaTunatoka #MO29 is a movement 💪🏽
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Kagera: Viongozi wa CHADEMA washikiliwa na Polisi kwa kuchochea vurugu

    Jeshi la Polisi mkoani Kagera limewakamata baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa tuhuma za kuhusika na kupanga mikutano na maandamano kinyume cha sheria. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera, Brasius Chatanda, amethibitisha kukamatwa kwa viongozi hao na kueleza...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Kimati: Najivua uanachama wa CHAUMMA, narudi CHADEMA

    “NARUDI ZANGU CHADEMA” Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Jimbo la Arusha Mjini, Amani Kimati, ametangaza kujivua rasmi uanachama wa chama hicho na kuhamia CHADEMA, chama ambacho awali alikihudumia katika nyadhifa mbalimbali ikiwemo kuwa Katibu Mwenezi wa Kata ya...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri: CHADEMA fungueni kesi Haraka sana kumshtaki IGP aoneshe Heche Alipo kabla hawajamdhuru

    Kwa hali ilivyo huyu makamu mwenyekiti wa chadema anaweza kuuwawa. Kwasabau alichukuliwa katika viwanja vya mahakama na mpaka sasa hajafikishwa tarime ni vyema mkafungua shauri mahakamani Haraka sana .kwa hali ya sasa zikipita siku 2 au 3 wanaweza kumpoteza. Hali si nzuri Tena kwa sasa Poleni...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti CHADEMA Kanda ya Kusini, Aden Mayala atimkia CCM

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Kusini wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mjumbe wa Kamati Kuu, Aden Mayala amekihama chama hicho na kutimkia Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Oktoba 22, 2025 wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika viwanja...
  16. JamiiForums Tanzania Wafuasi wa CHADEMA mko wapi wakati huu viongozi wenu wakisulubiwa?

    Kuna wakati CHADEMA hawakuwa watu wanyonge namna hii, Askari anakamata viongozi wa chama bila maelezo na kinyume na sheria na wafuasi mmekaa mnatazama tu! Askari wanajifanyia wanavyojisikia na kutumiwa na CCM lakini CHADEMA mmekuwa wanyonge mno! Huenda viongozi wana sababu kujiweka mbali na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania John Heche akamatwa akiwa Mahakama Kuu akijiandaa kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu

    Makamu Mwenyekiti Bara wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) John Heche mapema leo asubuhi amekamatwa na jeshi la Polisi Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, alipofika kwa ajili ya kufuatilia shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu. Pia soma > John...
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Mashauri wawili kuhusiana na viongozi wa Chama kusikilizwa kesho Mahakama Kuu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauatangazia umma kwamba, kesho tarehe 22 Oktoba, 2025 kutakuwa na mashauri mawili Mahakama Kuu, Masijala ya Dar es Salaam. Shauri la kwanza, ni la Uhamini linalomkabli Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Antipas Lissu ambapo Mahakama Kuu itatoa...
  19. JamiiForums Tanzania Nataka kujiunga na CHADEMA, nifanyeje ?

    Kutoka moyoni kabisa nataka kujiunga na CHADEMA process zake zikoje? Natamani kuungana na makamanda katika harakati za kuiondoa CCM. Nisaidieni makamanda na pia mniunge kwenye group la makamanda.
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Je, wanaharakati wana haki ya kuzuia wengine wasipige kura?

    Je, wanaharakati wana haki ya kuzuia wengine wasipige kura? Tuna siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025. Uchaguzi huu umegubikwa lindi la kukosa uhalali pengine kuliko uchaguzi mwingine wowote Tanzania. Hata mgombea wa CCM ameshutumiwa na mpaka kufunguliwa kesi kuwa kajipitisha bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…