chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Said Mohamed: Kesi ya mgawanyo wa mali za chama niliyofungua ina baraka za viongozi wa CHADEMA Zanzibar

    Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Said Issa Mohamed akiongea na Waandishi wa Habari, leo Machi 5 ameeleza kuwa kesi ya mgawanyo wa mali aliyoifungua ina baraka zote za viongozi wa CHADEMA Zanzibar, kwani anachokipigania na wao ndicho wanapitia...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA Zanzibar yamkana Said Mohamed

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar kimekanusha madai yaliyotolewa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho visiwani humo, Said Mohamed, kwamba amefungua kesi kwa niaba ya chama kuhusiana na mgawanyo wa mali. Kupitia taarifa yake kwa umma, CHADEMA Zanzibar kimesema...
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Zanzibar watoa Tamko, Wasikitishwa na madai ya Said Issa Mohamed kuwa aliishtaki CHADEMA kwa niaba yao

    Kufuatia madai ya aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Said Mohamed, kwamba amefungua kesi kwa niaba ya chama hicho kuhusu mgawanyo wa mali, CHADEMA Zanzibar imesema kesi hiyo ni yake binafsi pamoja na watu wanaomshawishi au kumtuma. Chama hicho kimefafanua kuwa Said Mohamed...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaiandikia UN barua kuhusu kuzuiwa kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani

  5. JamiiForums Tanzania Mafwele awanoa polisi Kata Dar es salaam. Majibu yamepatikana

    Dalili kuu ya mtu mwehu au kichaa ni kuwa mwepesi kuamini. Sisi wahubiri wa Injili tunalijua hili. Ukiita wanaotaka kumpa Yesu maisha yao waje mbele Matahira walioko Karibu lazima waje. Kesho uwanja huo huo wakija wasabato wakiita watu mbele wale wale Matahira lazima wapite mbele. Keshokutwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu kutoa uamuzi wa kumjumuisha Lissu kesi ya mgawanyo wa mali CHADEMA

    Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, inatarajiwa kutoa kuhusu hoja ya Mheshimiwa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuomba kujumuishwa kama mshitakiwa katika kesi inayoendelea inayohusu mgawanyo wa mali za chama Machi 3, 2026. Katika kesi hiyo iliyofunguliwa na aliyekuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini huwa napenda kuwaita wana CHADEMA na wapinzani watu wajinga?

    Prof. Suleiman au Solomon alisema hivi 👇👇👇 CHADEMA na wapinzani wana sifa ya kuitwa wajinga, tena wajinga sana. Maana kuna vitu ambavyo hata ukitumia akili ya Darasa la 3 tu unajua hiki kitu ni uongo kwa 100% lakini wao wanameza kama kilivyo. Jumapili njema.
  8. JamiiForums Tanzania Brenda Rupia: CHADEMA hatuitambui Tume. Haiwezekani Mwenyekiti wa CCM awe kiongozi alafu aliowachagua watoe msimamo tofauti na alioutarajia

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo na wanahabari Mkurugenzi wa Mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia amesema kuwa CHADEMA hawaitambui tume ya kuchunguza yaliyotokea Oktoba 29 kwani imejaa CCM na hata aliowachagua hao walioko kwenye tume ni Mwenyekiti wa CCM
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA someni katiba kwanza badala ya kudanganyana kuwa serikali inamwomba Lissu awe waziri mkuu.

    Siku hadi siku wanaCHADEMA wanazidi kuweka ujinga wao hadharani bila aibu. Huko X wanadanganyana kuwa Lissu anabembelezwa kuwa waziri mkuu huku akiwa hana vigezo. Hii KATIBA MPYA mnayodai ni ipi? Ndo maana wengi wenu kutokana na akili ndogo huwa mnakimbilia kusema TUNATAKA KATIBA YA WARIOBA bila...
  10. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mnyika ameamua kuwa mwanachama wa kawaida ndani ya CHADEMA

  11. JamiiForums Tanzania SI KWELI John Mnyika amesema 'tusipo muangukia mbowe wanachadema hatutoboi'

    kumekuwepo na chapisho ambalo linasambazwa kwenye mitandao ya kijamii likimunukuu John mnyika kutoa kauli inayosema kuwa tusipo muangukia mbowe wanachadema hatutoboi Baada ya kufanya ufuatiliaji wa kina kwa kutumia njia ya utafutaji wa maneno tumebaini kuwa taarifa hiyo nipotoshi na ina nia ya...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA andaeni watu na sera za kuiongoza Tanzania. Muda wowote nchi itakuwa mikononi mwenu

    Inawezekana wengi wanaona kiza kinene mbele ila wengine tunaona dalili za mwanga mbeleni. Ningeshauri kwa sasa CHADEMA wafanye mambo makuu matatu. 1. Kutengeneza timu ndogo ya wanadiplomasia watakayezunguka dunia nzima kujenga mazingira ya uungwaji mkono kuanzia sasa kabla na baada ya kutwaa...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Barua ya CHADEMA kwa Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Afrika

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewasilisha taarifa rasmi kwa Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU), kikieleza wasiwasi wake kuhusu hali ya kisiasa na haki za binadamu nchini Tanzania kufuatia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29. Mkutano huo ulifanyika Februari...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wapinzania wa kweli wameanza kwenye Chadema ACT wazalendo kitabaki Zanzibar tu!

    Wapinzania wa kweli wameanza kwenye Chadema ACT wazalendo kitabaki Zanzibar tu! Uchungu wa madaraka ya haraka badala ya kupigania mifumo unaweza kudhani inasaidia chama kumbe ni bora uagalie mbali na kupigania mifumo kwanza. Hili ndiyo sababu ya kifo kijacho cha ACT wazalendo. Upinzania wa...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Bwege ajiondoa ACT, atimkia CHADEMA

    Mwanasiasa machachari na aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, Senior Selemani Said Ally Bungara, maarufu "Bwege," ametangaza rasmi kujivua uanachama wa chama cha ACT Wazalendo kuanzia jana, Februari 18, 2026. Katika taarifa yake aliyoitoa kwa umma, Bwege ameeleza kuwa uamuzi huo umetokana na...
  16. JamiiForums Tanzania Huenda angekuepo hayati Chacha Zakayo Wangwe Chadema kingekua chama cha siasa cha kizalendo kuliko hivi kilivyo sasa kimesheheni vibaraka na mamaluki.

    Ni wazi sura na taswira ya Chadema kwa sasa inajionyesha wazi kwamba ni kichaka cha mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magaharibi, wanaokusudia kuvuruga umoja, amani na mshikamano miongoni mwa waTanzania kwa maslahi ya hao mabwenyenye ya magaharibi wanaowafadhili chadema na kuwafadhili...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Faris Buruhani: CHADEMA haina ukubwa huo, sasa hivi ikitokea Msiba na kesi Mahakamani kwao wamepata mkutano

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amesema CHADEMA haina ukubwa huo, sasa hivi kimepata Platiform kinasemea Mahakamani na Misibani, ikitokea Msiba kwao wamepata Mkutano, wakiwa na Kesi Mahakamani, wamepata mkutano.
  18. JamiiForums Tanzania Quick question

    Wikend kama hii umeamua kuitoa out familia yako. Let's say umewapeleka mlimani city hivi. Katika mizunguko mle ndani, watoto zako wa kike wanaomba uwapitishe washroom. Mkifika, wanaingia ndani. Kidogo unaliona shoga mbavu linaelekea toilet walipo wanao
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…