chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Katiba ya CHADEMA inasemaje chama kutokuwa na Mwenyekiti wala Makamu?

    Ni sawa na hawapo tu mwenyekiti yupo mahabusu hatujui atatoboa au ndio Guantanamo, makamo mwenyekiti kaamua kujichimbia ughaibuni kula bata kwa namna ya kipekee, Je, katiba inasemaje na ni kipindi gani chama kitakaa bila viongozi wakuu? Makamanda ni matumaini ya wanachama wenu na mashabiki...
  2. JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Wazazi msizae zae ovyo watoto kama 'Hamza'

    Ni kweli kitendo kilichofanywa na kijana Hamza( R.I.P) sio cha kiungwana na hakifai kuigwa katika jamii Lakini vile vile, afande Sirro amepotoka kwa kauli yake kwamba wazazi wasizae watoto kama 'Hamza' kwa sababu kuzaa ni mipango ya Mungu ambayo binadamu hawezi kujipangia au kuamua azae mtoto...
  3. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Bila kuwapa Makavu hakuna Katiba Mpya

    Ni wazi kuwa kupata katiba mpya hakuwezi kuwa kwa lelemama. Ni wazi kuwa uwepo wa wahafidhina wenye maslahi na katiba iliyopo ndiyo kilicho kikwazo pekee. Ni wazi kuwa wenye uthubutu wa kuzisukuma mbele jitihada hizi takatifu za kuwafanya wahafidhina hawa kusikia ni Chadema. Ni wazi kuwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati na wana CHADEMA wamemtelekeza Mbowe

    Igweeeee Kuna kipindi hawa wanaharakati wa mitandaoni walijaribu kuiaminisha jamii kwamba wakikomalia jambo lazima walifanikishe lakini sijawahi kuona mafanikio yao tangu maandamano ya mange kimambi, kumdisqualify diamond, na sasa Mbowe si gaidi Hao wanachama wa chadema ndio kwisha kabisa...
  5. JamiiForums Tanzania Picha: CHADEMA ipo mioyoni mwetu

  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA chuki dhidi ya taifa lenu inatoka wapi? Kwa namna hii mnastahili hata kiti cha udiwani?

    Nyie kila jambo baya dhidi ya taifa letu mnaona ni zuri na mnafurahia na kukenua meno. Hii ni kasumba mbaya sana na kukosa utu na uzalendo. Taifa stars ikifungwa mnakenua meno, majanga ya kila namna yakitokea mnakenua meno. Yametokea hapo K' nondoni mnafurahia na kopost furaha zenu kana kwamba...
  7. JamiiForums Tanzania Rungwe: Wananchi Wahamasishana kuchanga milioni 100 kujenga ofisi ya Kata ya CHADEMA

    Wananchi wa kata ya Ndato wamekubaliana kwa kauli moja bila kujali itikadi zao kuchangia ujenzi wa Jengo hilo la kata la Chadema ambalo ndani yake kumepangwa kuwa na Maktaba ya kusomea wanafunzi wote wa kata hiyo. Diwani mstaafu wa kata hiyo, Mh Paulo Zambi ndiye aliyeandaa harambee hiyo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnakosa uzalendo kwa ushabiki usiofaa

    Kuweni wazalendo kwa taifa lenu, iwe ni kwenye shida au raha. Pendeni kuwa wapenda amani na muache ushabiki wa kitoto. Tukio la Kinondoni ni tukio baya kwa Taifa letu. Halipaswi kuhusishwa na siasa kisha kuonyesha furaha zisizo na maana. Mnajiabisha mbele ya Taifa lenu.
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni usanii hamna huruma yoyote na Jeshi la Polisi wala Serikali

    Kwa kuwataka Polisi kuwa na intelijinsia ya kutosha ni kuwadhihaki kwa vile hutumia sababu hiyo kuvuruga mipango yenu. Aidha ni kama hamkusikia maelezo ya Polisi ya namna mhusika alivyo zipata hizo silaha. Kwa ujumla Polisi wamechulua hatua za haraka sana kumkabili huyu jamaa vinginevyo...
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Salamu za rambirambi kwa IGP

  11. JamiiForums Tanzania Chadema yashauriwa kurekodi na kutangaza habari za kila mwanachama wao anayekamatwa na Jeshi la Polisi nchi nzima ili kutunza kumbukumbu

    Wadau mbali mbali wa siasa wa Ndani na nje ya nchi wamekishauri chama cha Demokrasia na Maendeleo kuhakikisha kinawatafuta wanachama wake wote waliokamatwa na Polisi popote Tanzania na kurekodi taarifa zao na kisha kutangaza majina yao kwenye vyombo vyote vya habari vya ndani na nje ya Nchi ili...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa yanayowatokea CHADEMA, Karma is real hapa duniani

    Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani. Baada ya Rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia Chadema wakiongozwa na Mbowe, Lissu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa. Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika...
  13. JamiiForums Tanzania Rekodi ya matukio: Kilichoikuta CHADEMA kwa Lowassa ndicho kitakachoikuta Yanga kwa Manara

    Kwanza nawaambieni ndugu zangu, dunia ya sasa usikiamini tena kiumbe kinachopumua. Level ambayo mwanadamu amefikia inafaa kumwamini tu siku ukiona anaingia kaburini kufukiwa. 1. Mwaka 2015 tunakumbuka wanasiasa mahiri na mawaziri wastaaf, Edward Ngoyai Lowassa na Frederick Sumaye. walienda...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA haikualikwa kwenye Sherehe za kuapishwa Rais Mteule Zambia?

    Kesho ni siku ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa Zambia na Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameshawasili kuhudhuria sherehe hizo. Imekuaje CHADEMA chama kinachojiita kuwa ni chama kikubwa cha upinzani Tanzania hakikupata mwaliko ?
  15. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakumbushwe: Mungu si mfuasi wa vyama na hana kadi ya chama

    Mandiko yanasema, Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa, Hivi mandiko yanaposema hivyo huwa inamaanisha nini? Mambo yanayohitaji utumie nguvu zako kuyakabili na inawezekana kufanya hivyo, fanya, yale yanayohitajika kuyafanya kutumia akili zako na upo upenyo wa aina hiyo fanya, Mungu ni...
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA, CCM na Serikali Vs Askofu Gwajima

    Huu ni Uzi wa tathimini yangu juu ya yanayoendelea kwa ujumla katika saga la Waziri na Askofu Gwajima. Siku zote CHADEMA wamekuwa wakiwaomba viongozi wa dini kukosoa na kuikemea Serikali ya CCM. Tumeshuhudia maaskofu kama Mwamakua, Shoo na Bagonza wakioneshwa kuwa mashujaa kwa wanachadema kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Salamu za Rambirambi za Freeman Mbowe kutoka Gerezani zasomwa Kwenye msiba wa Mkwe wake, waombolezaji wabubujikwa na machozi

    Freeman Mbowe aliyeko gerezani kwa tuhuma za uongo amepoteza Mama Mkwe ambaye ni mke wa Mzee Edwin Mtei, hata hivyo hakukata tamaa, amefanikiwa kutuma salamu zake za rambirambi kupitia kwa mwakilishi wake ambapo ameonyesha masikitiko yake makubwa sana kwa kuondokewa na MZAA CHEMA katika kipindi...
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kesi dhidi ya Mbowe kuanza kusomwa kwa hati ya mashtaka na ushahidi kwa hatua za awali Agosti 23, 2021

  19. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA washiriki ibada ya kumuaga Johara Mtei, Salamu za rambirambi zaendelea kumiminika

    Viongozi wa Chadema wakiongozwa na Katibu Mkuu wake Mh John Mnyika , wameshiriki ibada ya kumuaga Mke wa Muasisi wa chama hicho Mzee Edwin Mtei , ibada ambayo imefanyika katika kanisa la Azania Front , Mkoani Dar es Salaam Mungu ibariki Chadema
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA kukataa mualiko wa NEC wakati wanasubiri mualiko wa Rais Samia ni kichekesho

    Iko wazi Chadema na vyama vingine vilivyokataa kuhudhuria Mualiko wa NEC kwenye kutoa ripoti ya Uchaguzi wa 2020 sababu ilikuwa ni malalamiko yao juu ya wanachokiita dhuluma kwenye uchaguzi huo. WAMEKWENDA mbali zaidi hata wengine kugomea ruzuku, kugoma kupeleka majina ya wabunge wa viti maalum...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…