chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. K

    Siku Chadema ikishika madaraka,viongozi waandamizi wa serikali watatoka mikoa hii.

    Nikiangalia wapiganaji wa hiki chama ,napata picha kwamba siku chadema ikishika madaraka,viongozi waandamizi watatoka mikoa ifuatayo. 1.kilimanjaro 2.Mara 3.Arusha 4.Mwanza 5.kagera 6.Mbeya 7.Iringa.
  2. Kwanini CHADEMA hampendi ACT-Wazalendo ifanye siasa zake?

    Viongozi wa Chadema wako busy kupambana na ACT badala ya issues za kitaifa: 1. Hivi ni lini mara ya mwisho wamekaa kitako na kuchambua bajeti ya nchi, na kutoa recommendations 2. Hivi ni lini mara ya mwisho wamekaa kuchambua ripoti za CAG? 3. Sijawaona wakikaa chini na kuchambua ripoti za benki...
  3. Zitto Kabwe pandikizi la Ccm linalotumika kuua upinzani, mwaka 2014 alitumika kuhujumu CHADEMA iliyokuwa karibu kukamata dola.

    Wakati ule Dk Slaa alikuwa vizuri na sisi tulikubalika na ilikuwa lazima tukate Dola maana Ccm ilikuwa haikubaliki kabisa. Kwa namna ya njaa ya siasa yake Zitto alitumika na Ccm kuivuruga Chadema ili CCM izidi kukamata dola. My Take: Huyu mnafiki anapaswa kupigwa mawe hadharani. Kibaraka wa Ccm.
  4. CHADEMA kama nyie ni watu wema mje mkanushe maneno haya ya Mh. Mbowe

  5. J

    Tumaini Makene bado ndiye msemaji wa Chadema?

    Hajasikika kwa muda mrefu huyu mwanasiasa nguli ambaye wengi humfananisha na Tundu Lissu awapo mbele ya media akiongelea maamuzi mbalimbali ya CHADEMA. Yuko wapi Kamanda Tumaini Makene? Jumaa kareem
  6. CHADEMA: Heri ya Krismasi watanzania wote

  7. Q

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  8. Ushauri: Polepole hamia CHADEMA ili urejeshe heshima ya CHADEMA kama chama kinachopinga ufisadi

    Enzi za Dk Slaa Chadema yetu ilikuwa na heshima kubwa kwenye jamii yetu kama chama cha ukombozi ambacho kinapinga ufisadi na maonevu ya kila namna. Happa kati tulipoteza muelekeo na kuyumba kisiasa. Tunatakiiwa kuwa na mtu kama Polepole ili kurudisha heshima ya chama chetu kama chama...
  9. J

    Freeman Mbowe ageuka "LULU" vyama vya CCM, CHADEMA na ACT Wazalendo. Vinatafuta umaarufu wa kulazimisha kupitia kwake

    Chadema wanasema Freeman Mbowe abaki gerezani hadi pale haki ya kisheria itakapoonekana imetendeka. Wanaamini hii itakiimarisha chama na Mbowe mwenyewe kisiasa wakiwa wameanza kumfananisha na RIP Nelson Mandela wa SA CCM wanataka Mbowe atolewe gerezani kupitia huruma ya Rais c/o DPP wakiamini...
  10. Kiongozi Mwandamizi wa CHADEMA akutana na Kikwete, Kinana na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

    Jitihada za kumaliza kesi ya ugaidi na uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mheshimiwa Freeman Mbowe, zinaendelea “nyuma ya pazia,” ambapo taarifa za uhakika zinaeleza kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika, amekutana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, Katibu Mkuu mstaafu...
  11. Polepole ni CHADEMA, Bashiru Ally ni CUF na Askofu Gwajima ni CHADEMA

    Siku polepole anajiunga CCM hakuwa hata na shati la kijani wala hakujua atalipata wapi Nape akaenda stoo akachukua shati lake la zamani kabla hajaota kitambi akampa. Bashiru yeye uanachama wake CUF unajulikana miaka mingi hata Magufuli aliwahi litamka hili Roho yake bado iko CUF. Gwajima...
  12. T

    Mwenyekiti CCM na Mwenyekiti Chadema ni nani anajengwa zaidi.

    Mivutano na kauli tata pande zote mbili kwa wenyeviti wa vyama hivi imekuwa mikubwa ndani ya vikao vyao na nje ya vikao vyao. Je ni yupi chama chake kinajengwa kupitia mivutano hiyo. Ni yupi anakiharibu chama nakikipa wakati mgumu. Kuna faida yoyote kwa watanzania
  13. Mnakomaa kupata Tume Huru ya Uchaguzi, mnadhani itawaweka madarakani?

    Kwa mujibu wa ibara ya 190 ya rasimu ya Katiba ya JMT iliyoundwa na tume ya Jaji warioba ni kuwa kutakuwa na tume huru. Mwenyekiti, makamu mwenyekiti na wajumbe saba wa tume watakuwa wanateuliwa na rais. Kama mwenyekiti akitoka bara,makamu atatoka Zanzibar vivyo hivyo makamu akitoka Zanzibar...
  14. Zitto: Nimepima, nimekutwa na maambukizi ya UVIKO. Naendelea vema

    Jana nimepima nikakukutwa na virusi vya Korona (COVID 19). Sina maumivu yoyote mpaka sasa zaidi ya mafua tu lakini nimekutwa positive. Chanjo imesaidia kutopata madhara makubwa. Nimekaa eneo tengwa (isolation) ili kutoambukiza wengine mpaka hapo nitakapopima tena. Nawaomba muendelee kuchukua...
  15. Mbowe Ata mwaka jela hajamaliza CHADEMA inamaana hajui gharama za Democrasia. Ajifunze kuvumilia Kama Mugabe, Mandela au Mosood Abiora.

    Kupata Democrasia kamili lazma watu wapitie katika suluba na Motto. Zitoke damu au Jasho la damu mateso na vurugu za kila Aina. Mbowe avumilie mateso yote. Kama anafanya yote kwa wema Mungu atakuwa upande wake. Atampa tuzo kupitia mateso anayopata Kama lengo lake NI Democrasia ya kweli na sio...
  16. Watanzania wamezoea unafiki na siasa za ki malaya malaya, sio ajabu wanawashangaa CHADEMA

    Watu wengi, wakiwamo wanasiasa na wasomi, wamewajia juu CDM baada ya chama hicho kumshukia kama mwewe Zitto Kabwe baada ya yeye kumwombea msamaha Mwenyekiti wao kwa rais kwamba afutiwe kesi. Hili kinadhihirisha kiwango cha juu cha unafiki na umalaya malaya wa kisiasa wa watanzania, wengi...
  17. 'Ncha ya Ulimi wa Rais Samia' : CHADEMA hawataki, wataweza 'ncha ya upanga'?

    Soo jana, Rais Samia Suluhu alisema kwamba zamani muafaka katika siasa ulikuwa unafikiwa kwa kutumia ncha ya upanga lakni hivi sasa muafaka unatumiwa kwa ncha ya ULIMI. Alichokuwa anamaanisha ni kwamba zamani watu walitumia vitisho, mapigano na vita kupata walichokitaka, lakini hivi sasa watu...
  18. L

    Zito mbona hujiamini, acha kuwa mpole sana kwa Lisu na chadema

    Chadema na Lisu mnatakiwa mheshimu mawazo ya vyama vingine. Leo mmeshambulia sana Zito licha ya Zito kuwa mpole lakini hamna adabu. Zito acha kuwa mpole sana kwa hawa watu. ebu sikia hapaona jinsi lisu anavyomtusi Zito. Siyo fair kabsa Lisu kampiga zito spanna lisu kulikuwa kuna haja ya...
  19. B

    Mkutano wa wadau wa Siasa: Sababu za Chadema Kukerwa

    Ya msingi ni taslimu kama yalivyo elezwa kwa ufupi hapa: Kwa majibu haya ya Mh. Zitto. Tunapiga hatua: Kuvunjika kwa kile si mwisho wa uhunzi. Kwa hakika maslahi ya taifa ni muhimu zaidi kuliko maslahi binafsi. Tutafika tu.
  20. CHADEMA walishamua kuwa hawataki umoja na mshikamano wa kitaifa, hakuna haja ya kuwalazimisha.

    Waliahaonyesha wazi kuwa wao wana ubabe na hawataki kubembeleza mtu. Wana imani kuwa wana nguvu ya umma itawapa backup na walishaonyesha mapema. Wanataka tume huru na katiba mpya kwa ngivu kupitia nguvu ya umma. Hata wakikaribishwa ili kujumuika na wanasiasa wenzao ili kuonyesha mshikamano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…