Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Habari JF , sakata la Mwenyekiti Mbowe vs Mchungaji msigwa linaturudisha Nyuma sana.
Kipindi Mzee lowassa-RIP anasemwa vibaya kila kona na kuchafuliwa lakini mwisho wa Siku alikuja kuwa mgombea wa chama cha CHADEMA.
nadhani kinachofanywa na Mwenyekiti ni kutokomaa kisiasa
Je na familia ya...
Friends and Enemies,
Akiongea katika mahojiano yake na Salim Kikeke kupitia kipindi Cha kasri la Kikeke kinachorushwa na Crown Tv.
Mchungaji MSIGWA amesikika akizungumza Kwa hisia Kali kuwa kitu kingine kilichomuondoa CHADEMA ni Kwa chama Hiko kukosa muelekeo na dira.
Kwa Mfano anasema,mbowe...
1 Kwamba anaiba pesa za chama kwa kutumia Mbowe Foundation
2. Amegeuza chama kuwa SACCOS yake
3. Chadema digital inamilikiwa na Mbowe kwa manufaa yake
My take: hilo nililitegemea and that is the right way to go!
=====
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman...
1. Mjini uje na akili. Pesa IPO ni ww kuchakata akili. Kama masihara wale wabunge 19 wa CHADEMA ifikapo 2025 wakati Bunge linavunjwa nao wanavuna TZS 400m bila jasho. Huku daktari yupo Halmashauri ya Buhigwe akilipwa laki 7.
2. Kwann hawa 19 hawamchangii Makamu Lissu anunue V8 LC300 series (0...
Dalili si nzuri kabisa kwa upande wa huyu muungwana tena zimejidhihirisha wazi mapema kweli, ana kibaru kigumu na mtihani mzito sana kurlekea uchaguzi huo muhimu wa kanda ya Pwani. Kiufupi kimbe jamaa hakubaliki wala hatakiwi bana pwani.
Ili walau kukwepa fedheha atakayokumbana nayo ni...
Mgombea wa Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jackob, wakati akirejesha fomu amewaambia wanachama wa CHADEMA kwamba, hata akishindwa kwenye Uchaguzi huo hatahamia CCM na kuanza Kubwatuka bwatuka kama mbwa, kama anavyofanya yule Mzee.
Toa Maoni yako
---
Kwa sapoti hii na dalili hii...
Yaweza kuwa ni maandalizi makubwa, mikakati au ushawishi alionao Bony Yai ila ukweli ni kwamba amewashtua sana wabunge wa Kanda ya Pwani waliopo Bungeni.
Idadi ya watu alioandamana nao haikutegemewa hasa ikizingatiwa alidrop kwa muda kwenye siasa za harakati akaanza kufuga kuku.
Maandamano...
Utakuwa ni muungano mzuri sana sana sana sana sana! Uchaguzi wa Mwakani hawatapungua ushindi wa kura 40% kwa nafasi ya Raisi na wabunge watafikia 43%.
Ni utafiti ambao nimeufanya mwenyewe kwa sampling method (survey) ikihusisha sample 11,714 za wanachama wa vyama vyote na wengi zaidi ni...
05 September 2024
Dar es Salaam, Tanzania
Boniface Jacob arudisha fomu akisindikizwa na mamia ya wanachama wa CHADEMA leo hii jijini Dar es Salaam.
Jeshi la polisi lapongezwa kwa kutoa ulinzi katika maandamano hayo.
Hali ilivyo mitaani Ubungo, Kibamba, Manzese hadi Kinondoni maandamano ya...
Katika kipindi hiki cha vuguvugu la kisiasa nchini Tanzania, sakata la kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa Chadema waliokusanyika Mbeya Agosti 11, 2024, lilizua gumzo kubwa. Mchungaji Anthony Lusekelo, maarufu kama Mzee wa Upako, naye hakuachwa nyuma katika kutoa maoni yake kuhusu...
Ukiangalia mchango wa Lisu kwa CHADEMA ni mkubwa sana kulinganisha na ule wa duni ,hata muda wa kutumikia chama pia ni tofauti maana ACT WAZALENDO ni chama cha juzi tu na sio kama CHADEMA cha zamani kidogo.
CHADEMA wanawanachama wengi zaidi na ruzuku kwa miaka kibao ikiwemo kupokea pesa kutoka...
Mbunge mstaafu Upendo Peneza amesema kupitia Nafasi aliyonayo huko CHADEMA ataendelea kuwatumikia.
Pia soma: Alipanda mpaka mnara lakini wapi! Unafikiri anaandaliwa kwa cheo kingine au ndiyo imetoka hiyo?
Kwa sasa Upendo Peneza Msuya ni Mwanachama wa CCM pamoja na Mchungaji Msigwa.
Kichwa Cha habari ndio swali alilouliza askofu Mwamakula ukurasani X
Kwenu CHADEMA 😄😄🔥
---
Kupitia ukurasa wake Rasmi wa Mtandao wa X (Zamani Twitter) Askofu Mwamakula anaadika:
Kama katika chaguzi mbalimbali ndani ya vyama vya siasa, uwezo wa kifedha miongoni mwa wagombea ndio uliotumika au...
Hata sasa ACT Wazalendo ndio wanaweza kuleta mabadiliko kupitia Zanzibar na tayari Chadema wameshaanza kuipunguza Nguvu kwa kuwahadaa wasishiriki Mdahalo wa Odemba.
Hata wakati wa Bunge la Katiba Mpya lile vuguvugu la Upinzani na kukubalika kwa Prof Lipumba, Mchungaji Mtikila na Dr Slaa...
Wakuu salam,
CCM katika mbinu zote za kujisafisha na fedheha ya kukimbia mdahalo pamoja, maovu yenu kufichuka moja baada ya jingine kutoka kwa viongozi ambao ni wanachama wenu na kuhusishwa na ukatili wa polisi unaendelea nchini mkaona kabisa mbinu ya kumchafua Odemba ndio itawasafisha na...
Wasalaam,
Inafahamika wazi nchi hii hakuna vyama vya upinzani zaidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA). Vyama vingine vyote vinavyojiita vya upinzani ni matawi ya CCM na vimeanzishishwa ili kudhoofisha nguvu za CHADEMA.
Sasa kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa baadae mwaka huu ni...
Nimepata taarifa za ndani kabisa kuwa Chama cha ACT Wazalendo ambacho mmoja wa waasisi wake ni kibaraka namba moja wa Chama cha Mapinduzi, wanampango wa kuwashawishi CHADEMA Wasigombee kwenye chaguzi zijazo kutokana na matamko ya viongozi wa CCM kuhusu chaguzi zilizopita.
Hivi karibuni...
Machache lakini mazito
Soka na wenzake wanasadikiwa kukamatwa na jeshi la polisi. Soka aliitwa kufuatilia pikipiki yake iliyopo polisi (ni vigumu raia kujua taarifa za kitabu cha RB cha polisi)
Soka alitoa taarifa kuwa anafuatiliwa kukamatwa na hata alipokamatwa huko Iringa akielekea Mbeya...
"Zamani nikiwa mjinga nilishawahi kuwa Mwenyekiti wa Vijana CHADEMA wilaya ya Iringa, lakini zamani hiyo hiyo, nikiwa mjinga zaidi nilishawahi kuwa Katibu wa CHADEMA jimbo la Isimani, nilikua mgombea wa Udiwani kata ya Mboliboli mwaka 2020 kupitia CHADEMA, Safari yangu kuikataa CHADEMA ilianza...