chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Boniphace Mwabukusi: CHADEMA njia waliyoitumia ni sahihi, hata Katibu Mkuu wa CCM anakubali kuna shida

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilikuwa sahihi kutumia njia ya maandamano kufikisha ujumbe pamoja na kushinikiza serikali pamoja na jeshi la polisi kutoa majibu na kuwajibika juu ya kupotea na...
  2. JamiiForums Tanzania Polisi wazingira ofisi ya za CHADEMA, Muliro adai wanaimarisha ulinzi wasijesema wametekwa

    Siku moja baada ya Jeshi la Polisi kuzima maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) yaliyopangwa kufanyika jijini Dar es Salaam Septemba 23, 2024, baadhi ya askari wameonekana wakizingira ofisi ya makao makuu ya chama hicho Mikocheni. Mwandishi wa Mwananchi aliyefika katika...
  3. JamiiForums Tanzania LGE2024 Ushauri kwa CHADEMA: Susieni uchaguzi wa serikali za mitaa

    Kutokana na Hali iliyojitokeza jana , nashauri ya kwamba CHADEMA watangaze kususia uchaguzi Mkuu ujao na uchaguzi wa Serikali za mitaa. Hii ni kutokana kwamba Serikali kupitia polisi imeshaonesha biasness na kwamba uhalifu wowote dhidi ya CHADEMA polisi hawatashughulika nao. Itakuwa ni aibu kwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ruto anaenda New York kuleta wawekezaji Rais Samia anaikimbia Chadema yuko Ruvuma

    Kuna mazuri mengi sana ya demokrasia pamoja na kupigwa watu wanaishi pamoja kwa raha na kujali nchi. Raisi wetu imebidi amtume Majaliwa kwasababu ya kuogopa maandamano huko NY. Mwenzake mfano Ruto wiki chache zimepita ameshaingia mkataba tena na German ambao tuna uhusiano nao wa kupeleka...
  5. JamiiForums Tanzania Chadema wamesahau kutuambia sasa hivi Polisi wameizingira makao makuu yao.

    Mbowe alikuwa anasema asubuhi hii watakwenda kwenye ofisi yao ya Mikocheni lakini polisi wapo pale. Video zipo YouTube.
  6. JamiiForums Tanzania Maandamano yanahitaji watu, watu hawajajitokeza Upinzani hamna!

    Wanaukumbi. Maandamano yanahitaji watu. Watu hawajajitokeza. Swali: 1. Ni uwoga au CHADEMA haivutii Watanzania? 2. Kama ni uwoga, na people’s power hakuna bargaining power ya CHADEMA ni nini? 3. Bila ya bargaining power CHADEMA wataweza kushinikiza CCM walete mabadiliko ya MFUMO? 4. Mbowe...
  7. JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani hususani CHADEMA rekebisheni makosa mdogo mtafika mbali, Watanzania watawaunga mkono

    Wasalaam ndugu zangu, Kufuatia hali ya waandamaji na maoni ya baadhi ya watanzania kwenye mitandao ya kijamii, nimegundua CHADEMA hawana nguvu wala watu wengi kutoka na kukosa ushawishi. Chama cha CHADEMA kina misingi mizuri hasa ukiangalia sera zake za awali hata jina lake ni zuri (CHAMA CHA...
  8. JamiiForums Tanzania SI KWELI LGE2024 Marekani kupanga kuisaidia CHADEMA kufanya maandamano

    Nimekutana na poster yenye taarifa kuhusiana na ubalozi wa Marekani kuisaidia CHADEMA kufanya maandamano, je ni upi uhalisia wake?
  9. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Maandamano ya CHADEMA yamefanikiwa kwa 100%

    Lengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho...
  10. JamiiForums Tanzania Kutokufanikiwa kwa maandamano ya CHADEMA: Uhalisia wa maandamano yasiyo na nguvu kwa maslahi ya wananchi

    Maandamano yaliyofanyika jana, yaliyoandaliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yameonyesha wazi changamoto kubwa ambazo chama hicho kinakabiliana nazo katika kuhamasisha wananchi na kuonekana kama nguvu halisi ya upinzani. Hii ni mara nyingine ambapo CHADEMA imeshindwa kufanikisha...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Chadema haina wanamikakati wabobezi na ispojirekebisha itaendelea kusinyaa

    Ni dhahiri ya kwamba chama cha makamnda kimeshindwa kabisa kuwa na mikakati yenye kuvitia watanzania wa rika mbali mbali . Kushindwa kuwa na mikatati thabiti kunasababishwa na yafuatayo: 1:Viongozi waandamizi wa hiki chama hawana elimu dunia inayoelewaka na nitor mifano michache,Sugu...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwandishi wa EATV asimulia alivyokamatwa na polisi wakati wa maandamano "Nilizuiwa kuongea na simu"

    Wanabodi, Mwandishi wa EATV ambaye jana alikamatwa kwenye maandamano ya CHADEMA siku ya jana, amezungumza kwenye kipindi cha The Drive ambapo alisehoji kuhusu kukamatwa kwake na jinsi ambavyo baadhi ya askari wa jeshi la polisi lilimkataza kupiga simu kuwataarifu watu wake kuwa amekamatwa...
  13. JamiiForums Tanzania Benson Kigaila, Wenje, John Heche, Halima Mdee na Salumu Mwalimu jipangenin a mjiandae vizuri kushika hatamu za uongozi wa juu CHADEMA. Hawa wamefeli

    Ni wazi chairman na msaidizi wake Taifa hawana tena mawazo mapya wala fikra mbdala kuiongoza chadema ikapiga hatua au kufanikisha chochote kisiasa. Taasisi imekuwa haina mipango mikakati endelevu, sera mbdala, dira wala uelekeo muafaka unao eleweka na wenye kuleta matumaini au ahueni ya kufika...
  14. JamiiForums Tanzania Hongereni Chadema kwa kufanikisha maandamano, ninaomba mpokee ushauri wangu

    Kupitia maandamano, kwamba tumejifunza hatuna jeshi la polisi lenye uwezo wa kudhibiti watu 5Mil tu walioamua kutafuta haki yao. Ili kufanikisha maandamano ya watu mil 5 tu , ni lazima Chadema mtengeneze main Objective ambayo ndio tatizo kuu la Tanzania na hiyo Objective itamgusa kila...
  15. JamiiForums Tanzania Godbless Lema asimulia jinsi alivyokamatwa Jumapili na kuandikiwa kosa la kuandamana kwenye ndege

    Nabii wa Mungu, Godbless Lema amesimulia namna alivyokamatwa. Anadai alikamatwa kabla hata hajashuka kwenye ndege siku ya Jumapili na kupelekwa kituo cha Polisi Terminal 1. Alipoulizwa sababu ya kukamatwa akajibiwa kwamba ameandamana ndani ya Ndege. ====== Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini wa...
  16. JamiiForums Tanzania Polisi mbona mnatoa maswali magumu sana mnapokuwa active suala linalohusu CHADEMA

    Wakuu, Najiuliza mbona polisi wapo active sana linapokuja suala la CHADEMA au suala linalohusu CHADEMA, ila kuhusu utekaji unaoendelea na watu kupotea na mbaya zaidi kuchafuliwa jina lao na taasisi kwa ujumla maana watekaji wanajitambulisha kama polisi hapo wameweka flight mode kabsa. Kwamba...
  17. JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa maandamano ya CHADEMA ni karata muhimu kwa Rais Samia na CCM

    Ni wazi kuwa Chadema ilijaribu kucheza karata zake kisiasa kadri ilivyowezekana ili kujirudisha kwenye ramani ya siasa Tanzania. Uchaguzi uliopita uliiacha chadema kwenye anguko kubwa yaani kutokuwepo kwenye eneo muhimu la kimaamuzi kupitia uchaguzi. Naamini baada ya kuliona hili viongozi wa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Peter Msigwa Awatupia CHADEMA Vijembe vya Moto

    Ndugu zangu Watanzania, Hivi Ndivyo Mtumishi wa Mungu peter Msigwa alivyowatupia vijembe CHADEMA Watu wanapenda kujiita makamanda hapa kwa mitandao (keyboar heros) wamemuacha mwamba anaandamana pekee yake hata watu hamsini hawakufika magomeni. Wapi mwita , Cathetine, maranja,Lutembeka...
  19. JamiiForums Tanzania Hasara iliyopata mamlaka kwa hofu ya kufikirika..! Faida waliyopata washika dau wa falsafa ya kula kwa urefu wa kamba!

    Kama ikitokea mamlaka huru ikapiga hesabu ya pesa, nyenzo na muda vilivyotumika kuzuia maandamano ya maombolezo ya CHADEMA ya leo tar 23.09.2024 basi kuna watu wanaweza kuwajibishwa pakubwa sana..! Fursa fursana .. Kufa kufaana...! Kwa kauli ile ya kula kwa urefu wa kamba ..maandamano haya...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya Shinikizo la Kimataifa, Viongozi wa CHADEMA Waanza kuachiwa, Mbowe, Lissu na Lema Waachiwa

    Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua. Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote. Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…