chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ni tahira pekee atakemea udikteta wa serikali juu ya wapinzani huku akiona ni sawa tu Mbowe kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20

    Kila siku wapinzani hasa wana CHADEMA huchukizwa pale viongozi wake wanapowekwa selo kwa makosa madogo madogo au kwa makosa ya kusingiziwa. Lakini si mara nyingi tukiona wapinzani wakilaani udikteta wa Mbowe kukaa kwenye kiti kwa zaidi ya miaka 20. Ina maana hakuna mtu mwingine mwenye maono au...
  2. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni Mbowe na sio Lissu na kwanini CHADEMA haifi?

    KWANINI NI MBOWE NA SIO LISSU NA KWANINI CHADEMA HAIFI? Mchakato wa Uchaguzi wa Chama Taifa umeanza, na tayari Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Ndugu Tundu Lissu amejitokeza kutangaza nia nia ya kuwania Uenyekiti Taifa, Ninakubaliana kwamba Tundu Lissu ni kiongozi mzuri mwenye misimamo...
  3. Mag3

    JamiiForums Tanzania Kongole Chadema! Kiongozi ni yule anayejua njia, anaonyesha njia, kutengeneza njia pale hakuna njia!

    Uongozi, hufafanuliwa kama uwezo wa mtu binafsi, kikundi, au shirika wa kushawishi njia mbadala na si kufuata tu njia aliyoikuta hata kama njia hiyo inaelekea kuzimu. Hatua ya Mbowe naye kutangaza kutetea nafasi yake, mimi naipongeza kwani itakiwezesha Chadema kuitafsiri falsafa yake ya...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Katibu Mkuu CHADEMA: Bila mabadiliko, 2025 hakutafanyika Uchaguzi wowote

    Wakuu, Akiongea hivi karibuni katika mdahalo maalum ulioandaliwa na Jamii Forums pamoja na Star TV, Benson Kigaila ambaye ni Naibu Katibu Mkuu CHADEMA amesema kuwa sio kwamba CHADEMA itasusia uchaguzi ujao bali uchaguzi huo unaweza usifanyike kabisa, Kigaila amesema kuwa bila mabadiliko ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yanayotokea CHADEMA, ni wazi CCM inayo miaka mingine 100 ya kutawala

    Moja ya agenda kuu ya Msomi Lissu ni kuhakiksha chama kinaendeshwa kama taasisi badala ya chama kutegemea mtu mmoja ambae kimsingi ni huyu Mwenyekiti wa sasa Mzee Mbowe. Kinachosikitisha ni matusi na kejeli toka kwa mchawa wanaomuunga mkono mzee Mbowe kuonyesha sura halisi ya kuwa huyu mzee...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mbowe anaungwa mkono na Wajumbe wapiga kura wengi ndani ya CHADEMA, Lissu anaungwa mkono na umati mkubwa wa wapiga kelele

    Friends, ladies and gentlemen. Kwa kifupi kabisa, ukipima kwa jicho la rohoni kabisa, numbers of votes zinamfavor chairman Mbowe, huku useless mass popularity ikimfavor vice chairman Lisu, ikiwa uchaguzi wa ndani wa chadema utafanyika mwaka huu 2024 au 2025. There is no way Lissu can beat...
  7. sonofobia

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: CHADEMA ipo nusu kaputi, Mbowe hataki kupambana na Samia

    MAHOJIANO YA LISSU NA VOICE OF AMERICA (VOA) VOA: Nini kimetokea na uongozi wa sasa? Lissu: Umekuwa madarakani kwa miaka 20 na muafaka tunatakiwa kufanya mabadiliko ya lazima ili tuweze kupeleka chama mbele. VOA: Plani yako nini kama ukiwa M’kti, unapeleka chama vipi? Lissu: Hapa tulipo...
  8. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Kwenye Uchaguzi Huu CHADEMA hatuna cha kujifunza kutoka CCM

    Chadema inacheza katika kiwanja cha Demokrasia kiwanja ambacho CCM haiwezi kuingiza team uwanjani, Chadema imeshikilia kurasa zote za mbele za vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi juu ya uenyekiti wa chama. CCM ni wageni wa mashindano haya ya Demokrasia ukiona wanashangilia usiwashangae...
  9. R

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Ni furaha mtaa ninaoishi kuongozwa na chama Cha upinzani

    Hellow!! Leo mtaani kulikuwa na shamrashamra za kutosha wakati Mwenyekiti wa mtaa Mteule katika mtaa ninaoishi alipoitisha kikao kuwashukuru wananchi Kwa kumchagua. Sasa umati uliojitokeza ndio Hasa umenipa kufurahi maana wananchi wameitika Kweli Kweli Kwa kuacha KAZI zao kumpokea kiongozi...
  10. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Haya Yakitokea Chadema Mnarusha Taulo Ulingoni

    Hakika wanachadema mpo kwenye wakati mgumu kuliko wakati mwingine wowote ambao mmepitia kama Chama Kuna viongozi wengi na wanachama wenu wengi wameondoka kutokana na sababu moja au nyingine lkn naweza sema halikuwashtusha kama ambavyo litawashtusha hili ambalo litatokea sasa hivi Ni wazi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Freeman Aikael Mbowe kesho atatangaza rasmi kugombea uenyekiti CHADEMA wakati wa ufunguzi wa ofisi ya CHADEMA Kinondoni

    Kesho CHADEMA watafungua ofisi yao pale Kinondoni ambapo mgeni rasmi atakuwa mwenyekiti wa chama hicho na mtafuta hela wa chama hicho Freeman Mbowe. Mbowe ametafuta platform hiyo ili amjibu vizuri sana Tundu Lissu. Wengi wamemshauri asikae kimya, Yale yote yaliyosemwa na Makamu wake ayatolee...
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Intelligence ya ccm iko hoi bin taaban.. Ya CHADEMA iko above next level..

    Imagine mpaka leo hii ccm wameshindwa kabisa kujua chanzo cha mapato kilichogharamia press conference ya TAL pale mlimani city.. Sasa wamebaki kuzushazusha tuu.. Mara eti mchungwaji Peter Msiigwa ndio kagharamia🤣🤣🤣 Mara Lissu kachangisha mwenyewe nknk Iteligensia ya CCM pia imeshindwa kabisa...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni wazi mchuano wa Freeman Mbowe na Tundu Lissu umeipasua CHADEMA, na kuibua mgawanyiko wa kikanda, kikabila, na kimikoa

    Hata hivyo, sura zaidi ya sekeseke hili zinatarajiwa kujitokeza ikiwa ni pamoja na sura ya kizalendo na ile ya ukibaraka, nazo zitachukua mkondo wake kwa wakati muafaka. Mpaka sasa, tayari kuna kanda, makabila na mikoa yao imeonyesha wazi wazi kumuunga mkono mwenyekiti wa wa sasa wa Chadema, na...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Tundu Lissu unaweza kukabiliwa na assassination attempt nyingine wakasingiziwa CHADEMA kiwa hoja ya maswala ya uchaguzi ndani ya chama

    Tundu Lissu, wewe kwa sasa ndio tishio kubwa sana kwa watu wa chama fulani na mgombea wao mtatajiwa wa uchaguzi mkuu wa mwakani. Hivyo, nakushauri uwe makini sana katika mienendo yake yote kwani wanaweza kukufanyia jambo lolote baya na wakasingia chama chako ndio kimehusika kwa hoja ya vuguvugu...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Huenda uchaguzi wa CHADEMA wa taifa ukaahirishwa hadi baada ya uchaguzi mkuu october 2025

    Inasemekana, barua inayelezea kinagaubaga sababu mahususi za msingi za kuahirishwa kwa uchaguzi huo wa ndani Chadema, tayari imewasilishwa na kupokelewa kwenye taasisi mahususi, inayohusika na masuala ya vyama vya siasa nchini. Haijafahamika bado ikiwa wajumbe wahusika wa uchaguzi huo wa...
  16. MwajabuOmary

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA kuelekea uchaguzi wa mwenyekiti taifa

    Awali ya yote napenda kusema mimi sio mwanachama wa CHADEMA lakini kama Mtaanzania na mwanadamu ninachoamini mimi ni kwamba Siasa ni sehemu ya maisha yangu. Nimekua mfuatiliaji wa mambo mengi ya Kisiasa hapa nchini kwa muda mrefu kwa sababu naamini ni wajibu wangu. Tangu tarehe 12/12/2024 Mh...
  17. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Lissu hajafanya kosa kuwania uenyekiti wa CHADEMA

    Nilikuwa naitzama hii story sasa hivi kwamba mwaka 1969 fighter jet ya North Korea ilifanya shambulizi na kuleta madhara kidogo kwa jeshi la Marekani, Pacific Fleet. Halafu rais wa Marekani akaamuru shambulizi la nuclear dhidi ya North Korea. Halafu Jeshi la Marekani likajitayarisha kufanya...
  18. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya pazia kinachoendelea CHADEMA

    Nafuatilia kinamna siasa za nchi hii. Ni siasa za kihuni sana. Siasa ambazo wanasiasa wanaamini hawawezi kuishi bila siasa. Hawawezi kuishi bila kuwa chama tawala. Hawawezi kujitegemea bila Dola na viambatanishi vyake. Ni siasa za kukereketa, hasa ukiwa nje ya chama tawala. Ni siasa za kufa...
  19. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Demokrasia CHADEMA ni kubwa kuliko CCM. Sidhani kuna mtu atathubutu kutangaza nia yake kugombea uenyekiti wa CCM dhidi ya rais Samia Suluhu Hassan

    Hongera CDM kwa kuonesha upeo mkubwa wa ki-demokrasia kwa kuwa na mfumo unaoruhusu wanachama kugombea vyeo mbalimbali ikiwa ni pamoja na uenyekiti wa chama. Huwezi kusikia mwanachama wa CCM anatangaza nia yake ya kugombea uenyekiti wa CCM dhidi ya mwenyekiti aliyepo madarakani. Chadema...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA Mbeya: Tutamlazimisha Mbowe agombee Uenyekiti

    Wakuu, Tunaendelea kumywa mtori tukifiatilia hili kwa karibu. Bado ni mbinu ya kuichanganya CCM?? ==== Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Mbeya Masaga Kaloli, amesema anaamini bado Mwenyekiti wa sasa wa chama hicho Taifa Freeman Mbowe ana nguvu za kukitumikia chama hicho. Akizungumza na...
Back
Top Bottom