chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika alivyomkabidhi fomu Tundu Lissu kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amechukua rasmi fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho leo, Jumanne Desemba 17, 2024, katika ofisi za makao makuu ya CHADEMA zilizopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam. Pia, Soma: CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Edgar Mwakabela (Sativa) alipia fedha za fomu ya Tundu Lissu kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Edgar Mwakalebela maarufu kama Sativa amelifadhili zoezi la Lissu kuchukua fomu yake ya kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA. "Kuna wanachama wema wanaofikiri kama mimi, wanaofikiri kwamba uchaguzi huu [Uenyekiti CHADEMA] uwe mwanzo mpya kwa chama chetu, ambao wamechanga fedha ya kulipia...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Taarifa Kamili itakujia hivi Punde ======== Ikiwa leo tarehe 17/12/2024 ndio siku ambayo kipyenga cha kuchukua fomu kwa Wagombea wa nafasi za Kitaifa kimepulizwa, Tundu Lissu amekuwa Mgombea wa kwanza kujitokeza kwenye ofisi za Makao Makuu kuchukua fomu hizo. Lissu amesindikizwa na kundi dogo...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Askofu Emmaus Bendekile Mwamakula ataendelea kuwatetea chadema? Au maonyo yake yamekiukwa?

    Askofu Mwamakula aliwahi kuonya kuwa siku akigundua kuwa ndani ya chadema kuna ufinyaji wa haki hatawatetea tena. Sasa kwa hili la Tundu Lisu kuandamwa na wanachadema wenyewe baada ya kutangaza kugombea uenyekiti, analisemeaje...
  5. Amo1

    JamiiForums Tanzania Eti Leo CCM wanaihurumia CHADEMA kuwa itakufa Lissu akiwa mwenyekiti

    Hivi ni kwa nini CCM wanaumizwa na Lissu kuwa mwenyekiti? Wanahofu na nini? Ghafula wanaanza kuihurumia CHADEMA kuwa itakufa Lissu akiwa mwenyekiti, mara ooh hawezi...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afunguka A-Z wasiojulikana kutaka kumuumiza!

    Wakuu Jana kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu ambaye pia ni Mgombea Uenyekiti wa Chama hicho, alisema watu wasiojulikana wanapanga njama za kumuumiza kisha wamsingizie Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Soma, Pia: Tundu Lissu: Watekaji...
  7. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi sana kwa CHADEMA kumpa Tundu Lissu nafasi awe Rais wa nchi kuliko kumpa uenyekiti wa chama

    Friends and Our Enemies, Siku zote tumekuwa tunasema hapa kuwa shida kubwa cha CHADEMA na hususani mwenyekiti wa chama hiko ni kushindwa kuandaa succession plan ya chama chao. Sisi hatuna shida na kuwa chama hiko waasisi wao ni KASKAZINI...Ni cham ambacho kimepitia mawimbi mengi makubwa...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Zitto na wenzake walianzisha 'Mtandao wa Ushindi' ndani ya CHADEMA, Lissu anafuata utaratibu

    Tuliokuwepo miaka ya 2010 tunakumbuka Zitto, Mwigamba, na Kitila walianzisha na kuratibu mtandao wa siri ulioitwa ' 'Mtandao wa Ushindi' nje ya utaratibu wa Chadema ili kumwezesha Zitto Zuberi Kabwe kutwaa nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Taifa; Remember MM, MM1 MM2 na MM3. Similarities ya...
  9. kichongeochuma

    JamiiForums Tanzania Majibu ya CCM: hoja yao ilikuwa CHADEMA haina demokrasia ina mwenyekiti wa maisha, sasa CHADEMA wanataka mabadiliko ya mwenyekiti CCM wanapinga tena

    Hapo unaweza kujiuliza ndani ya CCM kuna watu wenye vichwa vya aina gani , maana wanaona sasa watakosa hoja ya kuikosoa CHADEMA hivyo wanalazimisha abaki mbowe ili hoja yao iendelee kutamalaki. CCM imejaa viongozi wabinafsi sana wananchi wenye akili wanaliona hilo, wamevuruga uchaguzi wa...
  10. technically

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Yeriko ndani ya chadema ni upi?

    Ninataka kujua mchango wa Chawa Yeriko Nyerere chadema Zaidi ya kukitumia chama kuuza vitabu fake ana mchango gani kwa chama?
  11. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Chadema wemebaki na machaguo mawili tu, Kumpa Uenyekiti Tundu Lissu au kukiua chama chao

    Chadema Imebakisha Mwezi mmoja tu kufa au kupona. Kumpa uenyekiti Tundu Lissu au kukiua chama chao.
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda Lissu akajiengua mapema kabla ya uchaguzi wa CHADEMA kukwepa aibu na fedheha za kushindwa vibaya sana uchaguzi wa ndani wa chama

    Mtaka yote kwa pupa, hukosa yote, na usiache mbachao kwa msala upitao. Kwa mazingira yaliyopo mpaka sasa, na kwa namna ambavyo hana mpango mikakati wowote wa kushinda uchaguzi huo zaidi ya kupumbazwa na mitandao ya kijamii. Na ukimya wa chairman Mbowe dhidi yake na uchaguzi kwa ujumla, umempa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mtifuano unaoendelea chadema umeandaliwa na ccm? Sasa Makalla alijuaje kuwa utatokea?

    https://www.jamiiforums.com/threads/amos-makalla-kuna-mgogoro-mkubwa-unakuja-ndani-ya-chadema.2282803/ Hapa Makalla anataja tarehe za mgogoro kutokea na sababu za mgogoro kutokea, halafu kapita mule mule! Makalla alijuaje kama kimkamia
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Za ndani kabisa. Kuna chama kipya cha siasa kitasajiliwa hivi karibuni. Nyaraka muhimu zinafanyiwa kazi ofisi ya msajili

    Bado nafuatilia jina la chama hicho na nembo yake. Lakini kitashiriki uchaguzi mkuu ujao wa Madiwani, Wabunge na Rais. Watanzania wengi sana wanakisubiri chama hicho kwa hamu kubwa. Mungu ibariki Tanzania.
  15. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msicheze Upatu kwenye Uenyekiti wa chama mtakuja kujuta

    Uongozi ni kipaji si kila mtu anaweza kuwa kiongozi anaweza kuwa mtendaji mzuri lakini asiwe kiongozi mzuri. Sisemi chama kisifanye uchaguzi au kiengue wagombea hapana, bali wajumbe wawe makini watakapokuwa wanafanya maamuzi siku ya uchaguzi. Kiongozi huandaliwa hajiandai, lazima kiongozi awe...
  16. funaku

    JamiiForums Tanzania Chadema inatumia stratejia ya "matukio" kujiweka kwenye ramani ya siasa...CCM imeshawashtukia!

    Kinachondelea ndani ya Chadema ni mbinu ya kukifanya chama chao kisemwe na kusikika katika jamii na nyanja za kisiasa. Hii ni mbinu iliyopitwa na muda yaani kutengeneza drama ili msikike na kutajwatajwa. Kamwe mbinu hii haitaondoa ukweli kwamba CCM imeshawashinda kwa kuchukua sehemu kubwa ya...
  17. PLOII

    JamiiForums Tanzania Imefika wakati viongozi na wafuasi wa CHADEMA kusikiliza hata wanaofikiri ni wajinga

    UMOFIA wana Jukwaa! Kumekuwa na malumbano ambayo yamegeuka" symbolize high level of ignorance" kuwa Ujuha. I expected as a strong political party to bring cream people to its members without this nonsense & stupidity. CHADEMA hakijafikia level za Chama cha Mapinduzi huku tunazinguana kwa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Mbowe akirudi madarakani, CHADEMA na viongozi wake watapoteza heshima na ushawishi

    Huu ndio ukweli mchungu na pia mtakosa uhalali wa kumpinga Samia au Mtawala mwingine yoyotw ataeamua kubadili katiba ili ajiongezee muda wa kubaki madarakani. Mtapoteza uhalali wa kuhoji katiba hii mbovu tuliyonayo na hata madai ys tume huru nayo yatakuwa yamekufa kifo cha mende kwasababu ni...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Lissu kaangukia pua, ahame chama au aunde chama?

    Uchaguzi una matokeo mawili makubwa, kushinda na kushindwa, na katika hayo kuna mambo mawili pia, kuridhika (kukubali) na kutoridhika (kukataa kukubali). Lissu ninayemfahamu, huwa haamini katika kushindwa, bali kushinda. He's such a people who believes they are always right. Sasa ikitokea...
  20. Alexandry Nemesi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ratiba Kamili Ya Uchaguzi Wa CHADEMA Taifa

    Ratiba Kamili Ya Uchaguzi Wa CHADEMA Taifa. Katibu Mkuu anawatangazia wanachama wote kuwa kutakuwa na uchaguzi wa viongozi wa Chama na Mabaraza kwa ngazi ya Taifa utakaofanyika Januari, 2025. Fomu za kuomba kugombea nafasi za uongozi ngazi ya Taifa zinapatikana ofisi za Makao Makuu ya Chama...
Back
Top Bottom