chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Mbeya: Mkituletea Mbowe Chama kinakufa

    Wafuasi na Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoani Mbeya wamewataka wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho watakaoshiriki uchaguzi wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho ngazi ya Taifa kumchagua Tundu Lissu ili aweze kushika wadhifa huo. Wakizugumza katika mkutano na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa CHADEMA umethibitisha utafti wangu kwamba binadamu ni kipofu ingawa ana macho

    Mimi siyo mwanasiasa! Kwa wale wasionijua niwafahamishe tu mimi ni Fundi umeme na ujenzi natambulika popote kama chata la fundi SAMICO! Uchaguzi wa CHADEMA umenifanya nimtafakari sana binadamu! Ndipo nikakumbuka moja utafti wangu nilioufanya kipindi niko nachunga ng'ombe huko Hanang...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Atakayeiongoza CHADEMA 2025-2030 atapitia misukosuko mingi sana ya visasi vya kisiasa katika kuimarisha na kudhibiti chama

    Na hii ni pamoja na hujuma za makusudi kutoka kwa wanachama, wapambe na viongozi wa mgombea wa kambi pinzani watakaokuwemo uongozini. Infact, bila umakini kwenye hili, chadema will be no more in Tanzanian political scene. Watatumia kila aina ya mbinu kukwamisha malengo na mipango mahususi ya...
  4. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni ujinga na upuuzi kwa viongozi CHADEMA kutengeneza mkakati wa kuwarejesha Dkt. Slaa, Msigwa au wabunge 19

    Kama kuna vitu vya kipuuzi, kijinga na kipumbavu basi ni uwepo wa mikakati madhubuti kutoka kambi zote mbili zinazovutana sasa (Mbowe na Lissu) kutengeneza mikakati tofauti tofauti wa kuwarejesha wasaliti wa Chadema (Dr. Slaa, Msigwa, Covid 19). Upande wa kambi ya Mbowe wao wanatengeneza...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu akishinda uchaguzi chadema watabaki Chadema, akishindwa wafuasi wake watahama chama kwani hawana uvumilivu

    Ni wazi kwamba Tundu Lisu ni mwenyekiti Mpya wa CHADEMA. Wakati huo Mbowe anakwenda kuwa mjumbe na mshauri wa chama. Mabaraza yote yamesimama na Lisu siyo kwa bahati mbaya, wamesukwa kufanya hivyo. Kitendo cha Lema kujitokeza mwishoni ni mkakati wa chama kupata attention zaidi ya umma. Leo hadi...
  6. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu akiwa Mwenyekiti Mpya; Mbowe akawa mshauri wa Chama, Dr. Slaa atarejea CHADEMA?

    Ni wazi kwamba Tundu Lisu ni mwenyekiti Mpya wa CHADEMA. Wakati huo Mbowe anakwenda kuwa mjumbe na mshauri wa chama. Mabaraza yote yamesimama na Lisu siyo kwa bahati mbaya, wamesukwa kufanya hivyo. Kitendo cha Lema kujitokeza mwishoni ni mkakati wa chama kupata attention zaidi ya umma. Leo hadi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Sitashangaa kumsikia Mbowe akisema, baada ya kumsikiliza Lema, nimetafakari na kuamua kujitoa kugombea uenyekiti wa CHADEMA

    Habari Wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyosema, hicho ndio kitu kinachoweza kutokea wakati wowote kuanzia sasa, ila uwezekano ni kujitoa dakika za jioni. Ataongea mengi na atakuja na ngonjera za kuwa pia kuna watu wengine maarufu ambao nao wamemtaka apumzike halafu atamalizia na hotuba ya...
  8. S

    JamiiForums Tanzania CCM mnaikumbuka hii?

    ..
  9. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Kanda ya kaskazini kutoa wazee 3 kati ya 8 watakao simamia uchaguzi CHADEMA ni dalili nzuri kwa mjomba angu

    Nimebubujikwa na machozi ya furaha baanda ya kuona ndugu yangu John Mnyika kajitosa kuokoa jahazi baada ya kuchagua wazee 3 toka kaskazini. (Kuna kanda hazijatoa mzee hata 1:D) Napendekeza CCM itusaidie pia karatasi za kupigia kura zenye kale ka teknolojia ketu pamoja na askari wa kuzuia fujo...
  10. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa CHADEMA 2025 na uchaguzi wa TLS 2017

    I don’t have a dog in the fight, but I’m starting to see similar kind of vibes between 2017 and 2025 in relation to Tundu Lisu. Mwaka 2017 Lisu aligombea urais wa TLS. Kabla ya uchaguzi huo, washabiki wa Lisu walikuwa vocal sana, hususan humu mitandaoni. Ilikuwa huwaelezi kitu kuhusu huyo...
  11. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ninahofu kuhusu uchaguzi mkuu wa CHADEMA lakini dawa ni moja tu

    Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu A.M. Lissu amesema kuwa ana hofu kubwa juu ya mustakabali wa CHADEMA baada ya uchaguzi mkuu utakaofanyika juma lijalo. Lissu ameyasema hayo katika kipindi cha runinga cha Crown Media kijulikanacho kama Kasri la Kikeke kilichoongozwa na...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Je, mikakati ya CHADEMA inaratibiwa na wakina nani? Kwanini chama hiki kinaimarika na kupanuka huku CCM ikiondoka miyoyoni mwa watu?

    Naamini Mbowe na Kisu kuna mchezo wanacheza baada yakuona CCM imepania kuondoa siasa za ushindani nchni Ni miezi miwili sasa vyombo vya habari na wananchi wamejikita kufuatilia siasa za CHADEMA. Ni chama ambacho kimefanya mfumo wa uchaguzi uwe huru kuanzia kutangaza nia, kugombea na kushika...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wazo Langu: Hii itakuwa hotuba ya Tundu Lissu baada ya uchaguzi CHADEMA

    HOTUBA YA TUNDU LISSU BAADA YA KUSHINDWA NA MWINYEKITI FREEMAN MBOWE KATIKA UCHAGUZI WA NDANI Ndugu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, Ndugu viongozi wa chama, wanachama wenzangu, na Watanzania wote, Kwanza kabisa, nataka kutoa pongezi zangu za dhati kwa...
  14. popomwitu

    JamiiForums Tanzania Je, haya yanayoendelea CHADEMA kufuatia uchaguzi mkuu wa chama, sio mpango kazi wa ndani kupata attention kutoka kwa wananchi?

    Nimejaribu tu kuwaza, hizi sarakasi za Mbowe na Lissu pamoja na team zao, sio mpango kazi wa ndani kuchukua attention kutoka kwa wananchi?, kwa yanayoendelea sio rahisi.
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema: Namuomba Mbowe apumzike, amuachie Lissu afanye kazi ya Uenyekiti CHADEMA

    Wakuu, Siku ya jana aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini kupitia akaunti yake ya X aliahidi kwamba siku ya leo Tarehe 14 January 2024 atakuwa anazungumza na wanahabari. Wengi wameshuku kuwa huenda Lema atazungumzia kuhusu Uchaguzi wa CHADEMA na kuainisha ni mgombea gani ya...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Kwani Mbowe ni lazima awe mwenyekiti ndo achangie CHADEMA, kwani wote wanaochangia Wana cheo CHADEMA?

    Hii hoja ingekuwa na nguvu Sana kama Mbowe asingejitangaza hadharani kwamba amechangia Chama hivyo anaona astahili kuwa Mkiti Anataka kutuaminisha kwamba uongozi wa CHADEMA Huwa unanuliwa Mtu yeyote mwenye hela hata za mihadarati au kibaraka wa watu waovu wanaweza wakapewa Kwa sababu ya kuwa...
  17. Mbangaizaji wa Taifa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Spika wa Bunge la Wananchi Selestine Simba atangaza kumuunga mkono Lissu huku akitangaza kugombea Uenyekiti BAWACHA Taifa ili kujenga CHADEMA mpya

    Kama Kuna kitu BAWACHA wamepata na wanapashwa kujivunia basi ni huyu Mama, Kwa ujasiri alionao huyu mama ni kama Simba Kweli Kweli hakika ni Mama anayestahili kufanya kazi na jasiri TUNDU LISSU. BAWACHA MUNGU AWAONGOZE VEMA
  18. B

    JamiiForums Tanzania Je, Mwenyekiti mpya BAVICHA, Wakili Deogratius Mahinyila ni nani?

    14 Januari 2024 Wakili wa Mahakama Kuu achaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa BAVICHA Chadema leo 14.01.25. Je Wakili msomi Deogratius Mahinyila ni nani ? Picha maktaba : Deogratius Cosmas Mahinyila Wakili wa mahakama kuu ya Tanganyika Deogratius Mahinyila leo ametangazwa kuwa mwenyekiti mpya wa...
  19. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa Peter Msigwa kurudi CHADEMA kama Lissu atashinda kuwa mwenyekiti wa CHADEMA Taifa

    Kuficha jambo ambalo unalipenda ni ngumu sana, nafsi hauwezi kuipinga juu jambo fulani. Ukimwangalia Peter Msigwa kwa jicho la tatu bado CHADEMA anaipenda sana, ingawaje yupo CCM, unaweza kuona body language yake, inazungumza kuwa endqpo Lissu atashinda kuna uwezekano mkubwa wa kurudi CHADEMA...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Andrew Mwambeje: CHADEMA imefika hapa si kwa sababu ya Mbowe wala pesa zake, bali ni juhudi za wanachama wote

    Baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mbeya wanaomuunga mkono Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu wamewataka wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA Taifa kuhakikisha wanamchagua Lissu kuwa Mwenyekiti wa chama hicho. Wamedai kuwa Mwenyekiti wa sasa...
Back
Top Bottom