chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. L

    JamiiForums Tanzania Hivi Tundu Lissu kwa sasa anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato inayoweza kumfanya akisaidie hata Chama Kama ilivyo kwa Mwamba?

    Ndugu zangu Watanzania, Nauliza hivi Tundu lissu kwa sasa anafanya kazi gani ya kumpatia kipato .inayoweza kumfanya akisaidie hata chama kama ambavyo amekuwa akifanya Mheshimiwa Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini? Maana kukaa bila shughuli ya kumuingiza kipato ni rahisi...
  2. G Sam

    JamiiForums Tanzania Mbowe awamu hii tumekukataa, sababu tunazo. Ukipumzika tutakuheshimu ila uking'ang'ania tunakukumbusha hatutokuwa sehemu ya Chadema utakayoongoza

    Sababu zetu ni zile zile. 1. Hatujui kwanini unagombea awamu hii. Huna ilani wala vipaumbele! Tutakupima vipi? 2. Umeishiwa mbinu na hilo linaonekana waziwazi kwenye muelekeo wa wanachama. 3. Huna tena ushawishi ukilinganisha na wengine. 4. Una harufu ya kuhongwa na CCM. Unaonekana pasipo...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kuna hatari ya Posho na nauli za wajumbe wa CHADEMA kutumika Kama rushwa. CHADEMA iweke wajumbe wazi juu ya bajeti hiyo au wanademokrasia wachangie

    Hiyo ni tahadhari naitoa mapema kabla ya mkutano mkuu wa chama Chadema . Leo imeshuhudiwa vurugu kubwa kwenye Baraza la vijana baada ya kutokuelewana juu Posho zao . Chama kiweke wazi juu ya bajeti ya mkutano mkuu wa chama , Kama haikuwepo hakukuwa na haja ya kupitisha uchaguzi Na Kama...
  4. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Simiyu: Wajumbe Wa Mkutano Mkuu Chadema watangaza rasmi kumuunga mkono Tundu Lissu Uenyekiti Taifa, Wanakuwa ni Mkoa wa 17 sawa na 55% ya Mikoa yote

    https://youtu.be/cI7hJHpYUOA?si=QZSStKHprjHvB6Rm Leo SIMIYU imeungana na mikioa mingine 17 katika kutoa tamko la kumuunga mkono Mhe Lissu hadharani, Hali inazidi kuwa ngumu kwa upande wa Freeman Mbowe baada ya wajumbe 75% kutoka Mikoa mbalimbali kutangaza kumuunga mkono Tundu Lissu,
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mjue Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA, Mzee Kasyupa Lumuli Alipipi kutoka Kyela

    Kamati Kuu ya CHADEMA kupitia ofisi ya Katibu Mkuu imetangaza Majina ya watu wanaoaminika sana miongoni mwa wengi, ambao wameteuliwa kusimamia Uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho, Kumbuka kwamba hawa waliochaguliwa ni watu ambao uadilifu wao hautiliwi mashaka na yeyote...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hawezi kumshinda Freeman Mbowe kwa chochote na kwa vyovyote vile atafedheheka sana hususani kwenye uchaguzi wa CHADEMA taifa Januari 21

    My friends, ladies and gentleman, Na huu ndio ukweli mnapaswa kufahamu na kuuelewa vyema kwamba, Tundu Antipas Mughwai Lisu, hawezi kumshinda Freeman Aikali Mbowe kwa namna yoyote ile, hususan chadema inapoelekea kwenye uchaguzi wa ngazi ya taifa Jan.21.2025. Hawezi kumshinda kwa kura za...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hivi Chadema wana Mtunza Hazina kweli kama ilivyo CCM na ACT Wazalendo?

    Nauliza tu kwamba Fedha za Chadema na accounts zake zinatunzwa na nani? Na Malipo ya Posho Kwa Wajumbe mbalimbali yanasimamiwa na nani? Kwako CPA Ruge Nimekaa pale 🐼
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mbowe alianzisha CHADEMA akiwa kijana, Lissu alianzisha nini akiwa kijana?

    Tuongee kwa mifano, wewe ulianzisha nini kama hao uliowataja ili tuige?
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Aliyoyasema Abdul Nondo akiwa kwenye mkutano wa Baraza La Vijana la CHADEMA (BAVICHA)

    Wakuu, Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo, Abdul Nondo, Nondo wakati akitoa salamu za ngome hiyo katika mkutano wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) unaoendelea katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam leo Jumatatu, Januari 13, 2025 amesema: “Sisi vijana wa vyama...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mnyika ataja majina ya watakaosimamia mikutano ya kitaifa ya uchaguzi wa CHADEMA

    TANGAZO LA JOHN MNYIKA Katibu Mkuu CHADEMA napenda kuwatangazia kuwa Kamati ya Wazee Wastaafu itakayosimamia mikutano ya kitaifa ya uchaguzi itahusisha Wazee Wastaafu wafuatao: 1. Ahmed Rashid 2. Alfred Kinyondo 3. Prof. Azaveli Lwaitama 4. Wakili Edson Mbogoro 5. Francis Mushi 6. Lumuli...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema kufanya mkutano na Waandishi wa Habari Januari 14, 2025. Je, atamuunga mkono Tundu Lissu?

    Godbless Lema amepanga kuzungumza na Waandishi wa Habari Januari 14, 2025 ifikapo saa 5:00 Asubuhi Seashells Millennium Hotel. Je, atamuunga mkono Tundu Lissu?
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mch. Peter Msigwa: Mbowe hastahili kuongoza CHADEMA hata kwa Sekunde 2

    Kada wa CCM Mchungaji Peter Msigwa amesema Freeman Mbowe hastahili kuongoza CHADEMA hata kwa Sekunde 2 kwasababu hana jipya. "Ningekuwepo ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mbowe hastahili kuongoza kile Chama hata kwa Sekunde 2." Pia, Soma: Mchungaji Msigwa: Ningependa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Mbowe, CHADEMA kuna biashara gani?

    Ndugu Mwenyekiti, miaka 21 ya kuwa mwenyekiti ni mingi sana, isitoshe umeshafanya mengi mazuri kama Mwenyekiti na kwa sasa hatutarajia jipya lolote kutoka kwako bali tunatamani kukuona unastaafu kwa heshima na kuachia wengine waendeleze guruduma. Pengine Mwenyekiti sasa utuambie CHADEMA kuna...
  14. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania 21.01.2025 CHADEMA kufa au kupona

    Wananchi wameapa kama Lissu hata shida Uchaguzi ndio utakuwa Mwanzo wa mwisho wa CHADEMA
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kiasili na kisheria, uchaguzi ni gharama. Ni muhimu sana wagombea uongozi wa CHADEMA kutumia fedha ipasavyo bila rushwa wala hofu ili kushinda uchaguz

    Nimeona nakuskia watu mbalimbali mitandaoni na kwenye vyombo vya habari wakipiga wayowe na kulalamika ati mgombea uongozi Fulani wa uongozi chadema Taifa ametenga kiasi fulani cha fedha kwaajili ya uchaguzi. Nikashangaa na kucheka sana, kwamba mpaka karne hii ya sayansi na teknolijia kuna watu...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nn viongozi wastaafu wote wa chadema taifa wanaishia kukimbia

    Inavyoonekana huko ndani ya chadema kuna mengi tusiyoyajua na yasiyosemwa maana karibia wastaafu wao wengi wa kitaifa huishia kukikimbia. Rejea kina Arfi Slaa Zito Sumaye Lowasa Safari Nk
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi wagombea uongozi wa chadema ngazi ya taifa wana misimamo ipi na mikakati gani kuhusu suala la kupambana na kutokomeza ushoga nchini Tanzania?

    Maana wathirika wakubwa wa fedheha hii ni pmoja na watoto wao, ndugu, jamaa, marafiki, wanachama wa chadema wafuasi wa chadema na waTanzania kwa ujumla.. Je, ni ipi hasa mipango mikakati yao katika kukabiliana na ufirauni huo, ikiwa watapata fursa ya kuiongoza chadema Taifa? au itakua ni aibu...
  18. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania Mambo 14 yaliyomshinda Mbowe kwa miaka 34 CHADEMA

    20+ Years Freeman Mbowe ameshindwa kuitoa CCM madarakani. Ameshindwa kulinda kura za Watanzania. Ameshindwa kuweka mashinikizo chanya juu ya chaguzi huru na haki. Ameshindwa kuwatengenezea viti maalum kwa wajimbo na kupisha wengine. Ameshindwa kutengeneza vyanzo vya mapato ili achangie yeye na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania CCM, mnawaona CHADEMA walivyo na akili kubwa na ujasiri?

    Wagombea uongozi wa CHADEMA wanafanya sana midahalo. Mimi nimewapenda sana kwa kufanya hivyo. Ninachokiamini ni kwamba, CCM walivyo waoga, hata ukimwambia mgombea ubunge wa CCM afanye mdahalo na mwanafunzi wa darasa la pili, huyo mgombea ubunge ataogopa na atakimbia mdahalo. CHADEMA mmeonesha...
  20. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania DR Slaa alisahau nini Chadema?

    Ndugu zangu, kuna huyu Kiumbe anaitwa Dk Slaa, Sikatai mchango wake kwenye kukijenga Chama cha Demokrasia na Maendeleo lakini kwa sasa anakera. Wote mnakumbuka, baada ya Mzee Lowasa kuja Chadema huyu jamaa aliondoka Chadema akahamia CCM, NA kupewa Ubalozi huko CANADA, kiuhalisia kwangu Mimi...
Back
Top Bottom