Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Wasalaam
Vyama vya upinzani msiwe kama manabii wa utapeli waliojazana mijini
Mtaji wa CCM ni ujinga wa watu wengi walio vijijini...huku mjini mnakubalika sana...ushahidi ni kabla ya Mhe. Mwendazake...mtaji wa CCM ni vijijini
Wao huwatishia kuwa amani ndio jambo la msingi na endapo chama...
CHADEMA, Kuleta Mpox na Ebola
Ukweli, Propaganda au Vita vya Kisaikolojia?
Baada ya Kuisikia Kauli Ya Kiongozi katibu Itikadii Unezi wa @ccm_tanzania Taifa
Dhidi ya @ChademaTz
Kwamba CDM Wanampango wa kufanya Biological attack dhidi ya Watanzania.
Niilijiuliza maswaliMengi sanaa Haswa Ya...
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pwani Boniface Jacob maarufu Boni Yai amefuturisha mamia ya Wananchi wa Kanda ya hiyo katika Iftari maalum iliyofanyika katika ukumbi wa Golden Hall Sinza jijini Dar es Salaam tarehe 22 Machi 2025.
Akizungumza Baada ya iftar...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema Chadema hawawezi kuuzuia uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika mwaka huu, kwani upo kikatiba na sheria.
Makalla ameyasema hayo Jumamosi Machi 22, 2025 akizungumza na wanachama wa chama hicho mkoani Simiyu...
Unaweza kuhisi chuki au upinzani wa fikra ila hapa.
Raila ni mtu mwenye laana katika mikono ya siasa hakuna kiongozi ambaye hajawahi kupitia mateso ya machafuko huko Kenya bila Raila kutokuhusika anzia Mwai Kibaki, Kenyata na Ruto. Mateso na mauji yote ya upinzani yalitoka kwenye kinywa chake...
Makada wake maeneo mbalimbali nchini wamegawanyika,
wapo waoendelea kujipanga na kutangaza nia za kugombea urasi, ubunge na udiwani,
huku wengine wakiwa na msimamo sawa na ule wa mwenyekiti wa chama hicho Taifa na katibu mkuu wake, ambao mara kwa mara wamekua wakidai kutoshiriki uchaguz mkuu...
22 MARCH 2025
Dar es Salaam, Tanzania
MWENYEKITI WA KANDA YA CHADEMA PWANI AFANYA JAMBO KWA WANANCHI WA DAR ES SALAAM
Hotuba nzito za tolewa kuhusu umoja wa waTanzani katika Iftari iliyofanyika leo huku wageni wakitoka Kibaha, Tanga na Kaskazini..
https://m.youtube.com/watch?v=4FXNwtlkcHA
Mwanaharakati huru, Cyprian Musiba, amekishauri Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuelekeza juhudi zake katika kushughulikia changamoto zinazowakabili wananchi, kama vile umaskini na mfumuko wa bei, badala ya kuendelea kusisitiza ajenda ya kuzuia uchaguzi, ambayo anaamini haitaweza...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amepotea kutokana na matusi ya wanachama wa chama chake.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara Kata ya Kemondo, Wilaya ya Bukoba, mkoani Kagera...
Kupitia ukurasa wake wa X nguli wa demokrasia nchini Kenya.
Nilifanya majadiliano na viongozi wa upinzani kutoka Tanzania waliokuja kunitembelea kwa ziara ya heshima. Tulibadilishana mawazo kuhusu kuimarisha demokrasia barani Afrika, ikiwemo mchango madhubuti wa vyama vya siasa katika maendeleo...
Sijajua kwa hakika yule Nahodha ama captain alikuwa anajisikiaje kwenye nafsi. Lakini jambo moja naloweza kusema nimeona Yeye na Wenzake wakiwa na Furaha isiyo na kifani.
Huku wakiteta jambo na chombo kikiwa kinkata mawimbi basi wameonekna wakicheka na kufurahi pamoja.
Bwana Asem palipo wawili...
CHADEMA chini ya mh Tundu Lissu, wameamua na wamejipanga sana na "No reform No election"
Nimeona hatua wanazo zichukua ni peaceful means, well organized, and the best plans ever seen in Tanzania to uproot the ruling political party( ccm)
Wameanza na tone kampeni,
Wamewaita wahalili wa vyombo...
Hakuna ubishi kuwa tangu Lisu achukue nafasi hiyo kwa figisu kali dhidi ya Mbowe, Chama kimepoteza mvuto na ushawishi.....kadiri siku zinavyo zidi kusonga mbele ndivyo athari ya kukosekana kwa Mbowe inavyo zidi kuonekana, chama kimepwaya sana, kimepoteza nguvu na ushawishi.
tuache masihara Mbowe...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara kimewasilisha ripoti maalum kwa Kanisa Katoliki, ikielezea matukio ya watu waliouawa au kupotea katika mkoa huo. Sambamba na hilo, chama hicho kimetumia nafasi hiyo kueleza msimamo wake wa No Reform No Election, ukimaanisha kwamba kitazuia...
TAARIFA KWA WANACHAMA, WANANCHI NA WAPENZI WA CHADEMA TANZANIA
Ndugu wanachama, Wananchi na wapenzi wa CHADEMA,
Tunapenda kuwajulisha kuwa tarehe ya uzinduzi wa Operation #NoReforms, NoElection – Kanda ya Nyasa (Mbeya) imebadilishwa kutoka 23 Machi 2025 hadi 1 Aprili 2025.
Marekebisho haya...
Kutokana na hali na mazingira mapya ya kisiasa ninashauri wale wabunge 19 warudishwe kujenga chama na kuongeza ushawishi kuelekea uchaguzi Mkuu kwa misngi ifuatavyo
1. Wabunge hawa pamoja na makosa waliyoyafanya lakini hawakuibagaza chadema wao waliendelea kujitetea uwemo wao bungeni na...
Mwanachama Wa Chama Cha Demokasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye ni mtia nia wa Urais kupitia Chama hicho, Ndugu Romanus Mapunda, amejitokeza Hadharani na kupinga vikali sera ya " No reform No Election" Kwa Kuwa unaweza kuzima ndoto yake kuwa Rais na Haina Afya Katika Demokrasia ya Nchi.
Kupata...
Hii slogan ya "No Reform No Election" imetumiwa vizuri sana na wanachama wa CCM.Wanachama na mashabiki wa CCM wakahamasishana na kuhamasishana kwenda kujiandikisha kwa wingi ili wawe na sifa ya kupiga kura.
Wanachama na mashabiki wa CHADEMA wakahamasishana na kuhamasishana kutojiandikisha kwa...
Chadema wapo busy na "no reform no election" mara Matone ya mvua na mambo mengine ya hovyo hovyo halafu baadae waje kusema wameibiwa kura.
Kwanza Huku kwetu wananchi wanajiandikisha kama kawaida hapa ndio nakuja kuamini kumbe hata Hawajulikani.
Chadema wapo busy na "no reform no election" mara...
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo ambaye ni Mtia nia nafasi ya Urais katika Uchaguzi wa Oktoba mwaka huu Dorothy Semu anasema kuwa wao hawakubaliani na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika ajenda ya ‘No Reform, No Election’.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.