Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Chama cha ACT Wazalendo kimesema hakiwezi kunyamaza kimya endapo CHADEMA itakandamizwa, kikisisitiza mshikamano wake na chama hicho kikuu cha upinzani nchini.
Akizungumza katika kikao cha ndani cha chama hicho kilichofanyika wilayani Kilwa, mkoani Lindi, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado...
Katika watu makini katika wakati huu ni watu waliotengeneza hii slogan ya No Reform, No Election,.mmeweza. Wenzenu wanasema kazi na utu, wakati hizo kazi hazionekani Wala huo utu haonekani. No Reform, No Election ni kauli iliyobeba common course and unified ideology ndo maana tunaona ikiungwa...
Habarini wadau!
Hii agenda imekuwa mwiba mkali sana Kwa CCM na machawa wake, wameingiwa mhaho, hawaoni pa kutokea.
Kwa kweli wananchi tukiiunga mkono na ikafanikiwa ndio itakuwa mwisho wa hiki chama Cha machawa.
Mitandao ya kijamii ni njia mojawapo ya kufikisha ujumbe Kwa wananchi Kwa...
Katika kile kinachoonekana kama mgawanyiko unaokua ndani ya CHADEMA, taarifa za kuaminika zinaeleza kuwa Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Siglad, alipigwa na walinzi wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche. Tukio hilo lilitokea usiku wa jana mkoani Njombe, katika...
Bila shaka kila Mwananchi sasa ataelewa maana ya No reforms No election na kuachana na propaganda za serikali hii ya kidhalimu ya CCM.
Tundu Lissu anatumia lugha rahisi kabisa kueleweka kwa kila mtu, ni mwendawazimu pekee ndiye atakayeweza KUSHUPAZA SHINGO na kung'ang'ania kushiriki kwenye...
Hii ni aibu sana kwa kiongozi,
yaani kwa vile yeye hana pesa kwaajili ya kampeni, lakini pia baada ya kujipima na kujitathimini kwamba haupo uwezekano wa yeye kushinda uchaguzi mkuu wa Oct, kwa nafasi yake, sasa akaamua kuhakisha anaanzisha movement ya kuwakosesha na wagombeaji wa nafasi...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Antiphas Lissu ameamua kumtangaza aliyekuwa mgombea wa nafasi ya uenyekiti katika kijiji cha Ntalamila wilayani Nkasi mkoani Rukwa, ikidai kuwa alishinda katika uchaguzi huo na hakutangazwa
Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
Wanachadema katika eneo langu hawajajiandikisha katika daftari la kupiga kura baada ya kiongozi wetu Lissu kutuelekeza tususie uchaguzi.
Wagombea wenzangu walikuwa wamerltunza hela wafanyie kampeni, sasa wameamua kuzinywea pombe na kufanyia shughuli nyingine. Wenzetu CCM wanajisuka mashinani...
Naam....
Ndivyo mchezo wa chess ya madaraka ilivyo..... Kutoonekana kwa Mbowe kumewaacha mahasimu wake wakijiuliza, na wengine wakitaka atoe neno tu au ashiriki kwenye ziara zao ambazo zimedorora ili awape endorsement.
Lissu ameamua kuitenga kanda ya kaskazini kwa kuwa anaamini haikumpa kura
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akiongea na viongozi pamoja na wananchama wa chama hicho katika kikao cha ndani Kyela mkoani Mbeya.
"Mbunge wako akiugua Mungu ametuweka Tanzania nchi yenye neema kuliko nchi nyingi, mimi nimezunguka duniani unakwenda nchi unakuta ina rasimali moja tu...
John Mnyika, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kusema hatua alizochukua dhidi ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla aliyedai CHADEMA inachangisha fedha kwenda kununua Virusi vya Ebola na Epox...
Jamani hili ni swali naamini jibu lake unalo mwenyewe, huku mitaani Vijana,Wadada,Kinamama,kinababa,Wazee wote wenye uelewa wa mambo ni washabiki wa Chadema,hata humu jukwaani bila kusahau Viongozi wa dini
Lakini ukienda upande wa pili kule ufahamu wa mambo ni mdogo sana,naamini hata nyiye...
CHADEMA hawana standard wangekuwa na standard wasingemrudisha Dkt. Slaa, vyama vya upinzani vingi vya afrika havina ideology, na standard, mtu aliyeandika mambo ya uongo na uzindaki dhidi ya chama chake cha zamani leo tena anapewa nafasi ni ajabu sana.
Moja ya mambo yanayowafanya baadhi ya...
Akihojiwa na redio ya Kyela FM, ya wilayani Kyela, ambako anashiriki kampeni Tukufu ya No Reform No Election inayoendelea Nchi nzima, Dkt Slaa amesema kwamba lengo la kujiunga na Makamanda wa Chadema ni kwa faida za vizazi vijavyo, na kwamba kwa umri alionao hana haja ya kugombea Urais.
Zaidi...
Nimeshaandika mara kibao!
Chadema wale vijana wa mbowe wamepewa kazi kuuhujumu uongozi wa lissu.
BAVICHA Mnalemba nini kuwaonya hawa vijana wenzenu?
Yericko Nyerere, Nchome, Ntobi walitakiwa wawe wameshashika adabu mpaka muda huu!
Habari nilizopokea za maagizo ya hao vijana zitakichafua chama...
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ChademaTz Wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome amesema amemuandikia barua Msajili wa Vyama vya Siasa kufanya uchunguzi juu ya uhalali wa Kikao cha Baraza Kuu la chama hicho kilichofanyika tarehe 22, Januari 2025 na kumpitisha John Mnyika kuwa Katibu...
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa muda wa wiki moja kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kiwe kimewasilisha maelezo kuhusu malalamiko ya mjumbe wa Baraza Kuu wa chama hicho, Lembrus Mchome.
Mchome aliwasilisha malalamiko kwa msajili wa vyama akilalamikia kikao cha Baraza...
Nimesikitishwa na Kauli ya Amosi Makala.
It is such a shame kuwa na viongozi wa aina hii. CCM ni chaama cha watu wenye intellectual ndogo snaa.
Shutuma za kutengeneza Biological Weapons ni global suicide sio tu kwa Tanzania bali duniani kote.
Ikumbukwe pia Corona ilitengenezwa maabara from...
Hakuna kilichobadilika, hakuna kipya kilichoanzishwa cha maana, hakuna kinachofanikiwa miongoni mwa wanavyojaribu kuvipush.
no reform no elections umepuuzwa na inapingwa mpaka na viongozi waandamizi wa chadema yenyewe.
mchongo pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone kitaifa umekgomewa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.