Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kinafuatilia kwa karibu na kinafanya uchunguzi wa kina juu ya tuhuma zinazosambazwa mitandaoni kuhusu madai ya kupigwa kwa Mratibu wa Uenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA), Mh. Sigrada Mligo ili kubaini ukweli wa jambo hilo na...
Helow!
Kurejea kwa mwanamikakati mahiri ndani ya chama kumeleta upya nguvu iliyokuwepo kabla ya gia Ile kubadilishiwa angani .
Dr Slaa anarudisha kundi lile kubwa lililokuwa nyuma yake ambalo lilimlazimu hayati Magufuli kukopi ilani ya CHADEMA na kutekeleza baadhi ya maono yao ikiwemo :
1...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema madai yanayotolewa kwamba chama hicho kinaogopa uchaguzi hayana ukweli wowote na kusisitiza kwamba wanachotaka ni mabadiliko katika mfumo wa uchaguzi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Ile kampeni Tukufu ya No Reform No Election kwenye kanda nzito ya Nyasa imehitimishwa leo Mjini Iringa
Pichani ni Tundu Lissu akiwa na Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa, Bilionea William Mungai wakisalimia Wananchi
Taarifa zingine zinaeleza kwamba Baada ya kuona...
Kwa Huu Mkutano wa Iringa Mjini, kama Makapu yangepita zaidi ya Milioni 20 ingekusanywa papo papo.
Huu utaratibu wa kuchangia Kupitia Simu, Bank , ni mzuri sana, ila unahitaji Elimu , Muda, Upatikanaji wa mtandao n.k.
Mbaya zaidi wapo Wananchinwa kawaida ,Wana CCM wenyewe ambao wanaogopa...
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) imetoa taarifa ya kuelezea kuhusu upotoshaji uliofanywa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche kuhusu Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kukabidhiwa kwa watu wa Oman.
Kauli hiyo ya upotoshaji aliitoa hivi karibuni jijini Mbeya, TAA...
Wakuu,
Mambo yanazidi kuchangamka huko, ni bandika bandua!
=====
katibu wa NEC Itikadi Mafunzo na Uenezi Taifa Amos Makalla amemjibu Heche kuhusu kukomesha kubeti wakiingia madarakani. Ameuliza CHADEMA watakomeshaje wakati hawashiriki uchaguzi? Je, hilo lipo kwenye ilani yao? Kama ipo...
Wakuu,
Mbona kama kuna ka upepo kanatengenezwa hivi!🤨🧐🤔
Kamanda Lilian Byebalilo (BAWACHA) ameshambuliwa kwa kupigwa na watu wa Taskforce iliyopo chini ya Waziri Mweneviale (Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Ilala), shambulio hilo limepelekea Lilian kupoteza fahamu na kukimbizwa hospital kwa...
Kampeni Tukufu ya No Reform No Election imeingia Jimbo la Lupa, Mkoani Mbeya na kupokelewa na Maelfu ya Wananchi.
Elimu kabambe imetolewa kiasi cha Wananchi wote kukubali kwamba sasa ni lazima kwenda na Mkakati wa Chadema ili kuepuka mauaji ya Wagombea wa Upinzani
Awali Mwenyekiti wa Kanda...
CHADEMA na hata ACT Wazalendo kila mara wamemtaja hayati Magufuli ndiye aliyeharibu demokrasia na haki za watu, LAKINI kuendelea kumsema marehemu ni kupoteza muda. Maana hata kama ikiwa ni kweli, marehemu huwa haadhibiwi. Tuangalie waliopo.
Ni ukweli ulio wazi kuwa uchaguzi wa 2024 ulikiwa wa...
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Iringa Mjini, Pascal Chibala amehamia na kutangazwa rasmi kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Chibala ameeleza kuwa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi unaofanywa na CCM ni sababu kubwa ya kumfanya ahamie chama hicho kwani...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara Tundu Lissu aliwahi kueleza hadharani namna kada wa chama hicho Edgar Edson Mwakabela (SATIVA) alivyomlipia fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho Taifa. Ikumbukwe Stavia ni Afisa Ubashiri hivyo fedha...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla, amesema kuwa uchaguzi utafanyika hata bila ushiriki wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwani vyama vingine vingi vimeshajipanga kushiriki.
Akizungumza kwenye mkutano wa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche amewataka vijana na Watanzania kwa ujumla kuiunga mkono CHADEMA katika mchakato na dhamira yake ya kuiletea nchi maendeleo ya mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.
Heche ameyasema hayo hivi karibuni katika Jimbo la...
Bi sagrada ni kiongozi wa kitaifa ! Ni mwanamke aliyepokea kipigo kitakatifu mbele ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA na ujumbe wake ndani ya eneo la ukumbi wa mikutano hapo njombe mjini !!
Bi sagrada kapigika haswaa kiasi Cha kutapika damu na kufanya taharuki iwe kubwa juu ya majaliwa yake ...
Katibu wa cha ACT Wazalendo mkoa wa Njombe Stanley Mbembati amesema chama chao kinaunga mkono kampeni ya chama cha CHADEMA ya No Reforms No Election kwani kama yatafanyika mabadiliko wanayoyahitaji yatanufaisha vyama vyote vya kisiasa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
Wakuu Mbeya vipi huko ni kweli barabara zimekuwa nzuri kiasi hicho hadi mnarudi CCM?
Aliyerudisha kadi ya Chama amesema ameamua kurudi CCM kwani Chadema hawana mipango inayoeleweka na kwamba maendeleo yanayofanywa na Rais Samia jijini Mbeya sio ya kuyafumbia macho.
Kupata matukio na taarifa...
Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa imeonesha kushangazwa na kitendo cha Baraza la Wanawake wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) kutokutoa kauli yoyote baada ya Katibu Mwenezi wa BAWACHA Taifa, Sigrada Mligo (34), kushambuliwa kimwili.
Ikumbukwe kuwa, tarehe 25 Machi...
Nawashauri kipindi hiki kuelekea Oktoba na hatma ya uchaguzi mkuu jaribuni kuwa active. Wenzenu upande wa pili wako vizuri sana. Vijana wenu hasa kwenye online platforms waambieni wajaribu kwenda na kasi zaidi ya wenzenu upande wa pili.
Pangu Pakavu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.