Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Hizi kaulimbiu/slogans zinazotolewa kwa English zinawafanya watanzania wawaone viongozi wa CHADEMA kama watu fulani wanaojifanya wasomi na waelewa wa mambo kuliko wananchi wa kawaida.
Ikumbukwe watanza wanawaogopa watu wanaongeza sana kiingereza kwa mfano jamaa zangu wawili walibadili dini...
Kada huyu wa CHADEMA Romanus Mapunda amelimwa barua na kamati ya utendaji tawi na Mtongani kata ya Kunduchi jimbo la Kawe kwa tuhuma mbili.
Soma, Pia: Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda atangaza nia ya kugombea Urais 2025
Kupinga kauli ya "No reform No election" pamoja na kudanganya umma kwa...
Naona hivi karibuni, Kila kiongozi wa serikali au wa kidini anayesimama anasema vyama vya siasa vinapaswa kuilinda amani ya nchi.
Lakini katika maelezo ya Kila mmoja kwa kina, utagundua anazungumia agenda za CHADEMA ikiwemo Ile ya "no reforms, no election". Yaani kwa tafsiri nyepesi...
Moja ya sifa kubwa ya kiongozi kwenye taasisi yoyote ni uwezo wa kuunganisha watu, kusuluisha migogoro na kujenga timu.
Kinachotokea sasa hivi CHADEMA ni dhahiri kwamba mwenyekiti wa chama na wasaidizi wake wameshindwa kuifanya chadema kuwa moja.
Chama kimekuwa hakuna masikilizano, hakuna...
Ndugu zangu Watanzania,
Tukio la Kupigwa ,kuumizwa ,kujeruhiwa na kuteswa kwa Katibu Mwenezi wa BAWACHA Taifa limewaacha watu na maswali Mengi sana vichwani Mwao. Watu wanajiuliza ikiwa Kiongozi mwenye cheo cha Mwenezi wa BAWACHA Taifa anaweza kutendewa unyama wa aina ile wa kupigwa kikatili...
Allah Akbar !!.
Jambo Moja ninalowakubali WAISLAM ni Imani na Misimamo mikali.
Quran tukufu inakata Uonevu na Dhuluma Kwa namna yoyote.
Kama Mzee Kibao alikua Kiongozi Mkubwa wa CHADEMA, na Muislam mwenzenu, vipi kuhusu Raia wa kawaida kabisaa ambaye ni Muislam na ni Mfuasi wa kawaida wa...
Sababu ziko nyingi lakini kwa uchache tu haya ndio yanayooneka waziwazi:
1. Wameshindwa kuvunja makundi waliyoyatengeneza kipindi cha kampeni za uchaguzi wao wa ndani. Makundi yanazidi kukomaa na athari yake itakuwa kubwa wakati wa uteuzi wa wagombea. Kuna timu wagombea wake watakatwa hata...
Baraka za Idd El Fitri zimfikie kila mmoja wetu popote Alipo, tusherehekee kwa Amani.
Baada ya Utangulizi huo Muruwa, naomba niingie moja kwa moja kwenye hoja.
Ni hivi, Ile kampeni Tukufu ya No Reform No Election sasa inaingia Kanda ya Kusini, Na kwa Uzuri wa Bahati imeangukia Masasi.
Kupata...
Tulitegemea tutaona Lissu na kundi lake baraza la eidel la liloandaliwa na Bakwata
Au baraza la eidel liloandaliwa na Shura ya imamu kupitia sheikh Ponda.
Lakini kokote hawapo. Halafu wanataka kuungwa mkono na waislam?
Mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA James Mbowe ameeleza kuwa Kitendo cha Chadema kukaa kimya kwa siku takribani saba tangu kushambuliwa kwa Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa Chadema BAWACHA Bi. Sigrada Mligo, sio kitendo cha kiungwana, akikosoa pia taarifa ya Chadema Taifa ya...
Nimesikitishwa na taarifa hii ya Chama ,pamoja na kutolewa kwa kuchelewa sana ,masikitio yangu yanatokana na mambo yafuatayo;
1. Chama hakikuona haja ya kulaani tukio la kiongozi wa wanawake taifa kupigwa na kuumizwa ,kipigo kilichotolewa na Mwanaume,bali kinasema ni taarifa zinazosambazwa...
Soma mwenyewe uone toka a/c yake huko X......
Umezoea kusema uongo sana na ndio imekuwa silaha yako mara zote kushambulia watu na kuwafanyia bullying ili wakae kimya .
Kwa taarifa yako siku za nyuma nilipokuwa kiongozi nililazimika kuukalia kimya uongo wako ili kulinda maslahi mapana ya...
Amani iwe nanyi Wanabodi,
Kwa miaka mingi sana tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi, moja ya mbinu ambayo imekuwa ikitumiwa na CHAMA CHA MAPINDUZI ili kuendelea kubaki mabarakani ni kununua Viongozi wa vyama vya Upinzani na kuwatumia kama Mapandikizi yao.
Viongozi hawa wa vyama hivi vya...
Moja ya mambo ambayo ccm waga haivumilii ni kuona mwanachama anakengeuka na kwenda kinyume na makubaliano ya chama, ni mwanachama kuondoka mwenyewe kwenye chama au kufukuzwa uanachama.
Makala kwa kujua weakness ya CHADEMA na kutokana na boko lake la ebola, sasa wanataka kutumia baadhi ya makada...
Nimesikitishwa na taarifa hii ya Chama ,pamoja na kutolewa kwa kuchelewa sana ,masikitio yangu yanatokana na mambo yafuatayo;
1. Chama hakikuona haja ya kulaani tukio la kiongozi wa wanawake taifa kupigwa na kuumizwa ,kipigo kilichotolewa na Mwanaume,bali kinasema ni taarifa zinazosambazwa...
chadema
chama
heche
itifaki
john
john heche
john mrema
kiongozi
kuhusu
kupigwa
mambo
mambo ya nje
masikitiko
mawasiliano
mkurugenzi
mlinzi
mrema
nje
taarifa
taifa
Hello!
Magu na uzalendo na upendo wake kwa wananchi maskini alishindwa kupiga marufuku kamari ambayo kwa jicho la haraka ni Kodi kidogo inaingia serikalini, lakini inaleta hasara kubwa kwa kuwafanya vijana wengi kutofanya kazi wakiamini betting ni mojawapo ya kazi. Pesa nyingi inaenda nje...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kinafuatilia kwa karibu na kinafanya uchunguzi wa kina juu ya tuhuma zinazosambazwa mitandaoni kuhusu madai ya kupigwa kwa Mratibu wa Uenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA), Mh. Sigrada Mligo ili kubaini ukweli wa jambo hilo na...
Helow!
Kurejea kwa mwanamikakati mahiri ndani ya chama kumeleta upya nguvu iliyokuwepo kabla ya gia Ile kubadilishiwa angani .
Dr Slaa anarudisha kundi lile kubwa lililokuwa nyuma yake ambalo lilimlazimu hayati Magufuli kukopi ilani ya CHADEMA na kutekeleza baadhi ya maono yao ikiwemo :
1...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema madai yanayotolewa kwamba chama hicho kinaogopa uchaguzi hayana ukweli wowote na kusisitiza kwamba wanachotaka ni mabadiliko katika mfumo wa uchaguzi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...