chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA wajipanga kuanika madudu ya SGR, wanusa harufu ya wizi na ufisadi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Bara John Heche amesema chama hicho kina kila hoja za kushindana na chama cha mapinduzi na watazitumia pindi wakianza kufanya ziara na kuzungumza na wananchi. Heche amesema hayo leo akiwa jijini Arusha na kueleza kuwa miongoni mwa hoja...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Viongozi waliokatiwa mrija ndio wanaoleta chokochoko CHADEMA

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara, John Heche amewataka wanachama wa chama hicho kutokuingia kwenye kile alichokiita mtego wa kukipasua chama. Soma: John Mnyika adai kuna hujuma za kuyumbisha harakati za 'No Reforms No Election' kufuatia pingamizi la uteuzi...
  3. Just Pray

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Millard Ayo amechapisha taarifa inayosema 'Boni Yai kujiuzulu uenyekiti CHADEMA kanda ya pwani'

    Wakuu hii taarifa nimekutana nayo Facebook je, ni ya kweli? 𝐁𝐎𝐍𝐈 𝐘𝐀𝐈 𝐊𝐔𝐉𝐈𝐔𝐙𝐔𝐋𝐔 𝐍𝐀𝐅𝐀𝐒𝐈 𝐘𝐀 𝐔𝐄𝐍𝐘𝐄𝐊𝐈𝐓𝐈 𝐂𝐇𝐀𝐃𝐄𝐌𝐀 𝐊𝐀𝐍𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐏𝐖𝐀𝐍𝐈 Habari za ndani kabisa ya CHADEMA zinasema bundi ameendelea kulia; safari hii Boni Yai akitajwa kuwa mbioni kujiuzulu kutoka nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho Kanda ya...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani, unganeni na CHADEMA , Waachieni CCM uchaguzi wao wenyewe , unganeni kupigania Hatima yenu ya Sasa na Baadae !!

    Ninawahakikishia, Siku mtakayotoa Kauli Moja tu ya kwamba, HAMTASHIRIKI UCHAGUZI WOTE BILA MABADILIKO , mchakato waabadiliko hayo utaanza mara Moja . Waachieni CCM uchaguzi wao, wajifanyie Kampeni wao, wajichague wenyewe !!. Achanane na Hadaa za muda mfupi za CCM , kwamba zitakupa Ruzuku ...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA ifanyeni hoja ya Mchengerwa, Mkwe wa Rais Samia kuwa Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi (TAMISEMI) kuwa hoja kubwa, itaeleweka kwa haraka

    Hii Hoja, ni Hoja ya kimantiki sana na Nzito ambayo hata MTU asokua na Elimu ataiamini na kuikubali haraka. Ifanyeni Hoja hii iwe kubwaaaaaa sana ,ikishakua Kubwa, inaaminika kirahisi. Tatizo la CHADEMA, Hamfanyi matumizi sahihi mitandao ya kijamii. Hii ni Hoja nzito Sanaa . Kwanza...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu atembelewa na Viongozi wa ACT Wazalendo makao makuu ya Chama

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Tundu Lissu leo ametembelewa ofisini kwake Makao Makuu ya chama hicho na viongozi wa ACT Wazalendo ambao ni Makamu Mwenyekiti Zanzibar Ismail Jussa (kulia) na Katibu Mkuu Ado Shaibu. Pamoja na mambo mengine, wameongelea hali ya kisiasa nchini.
  7. J

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Lissu asema hata akibaki mwenyewe CHADEMA itasonga. Mimi ni ''One Man Army''

    LISSU KWENYE UKURASA WAKE WA X (TWITTER) AMENENA MAZITO ASEMA HATA AKIBAKI MWENYEWE CHADEMA ITASONGA. Hayo yamekuja mara baada ya viongozi mbalimbali wa Kanda wa CHADEMA kujiuzulu kwa madai ya Chama chao (CHADEMA) kukosa Muelekeo na Kwenda kujiunga na ACT wazalendo ili kuongeza nguvu kwenye...
  8. Kong xin cai

    JamiiForums Tanzania Kumbe naota!

    Ilipofika tarehe 21 Oktoba 2025, Tanzania ilikuwa katika hali ya taharuki. Mamilioni ya Watanzania walikuwa wanatazama kwa hamu kubwa tangazo rasmi la matokeo ya uchaguzi mkuu, uchaguzi ulioweka historia kwa kuwa na ushindani mkali zaidi kuwahi kutokea. Katika mitaa, vijiji, na miji mikubwa...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kisa Lissu na Katiba Mpya, CCM na CHADEMA watupiana maneno ''Vijana wa CCM wameishia kupiga makofi na kubeba mabegi"

    Amani Ayoub ambaye ni Mwenyekiti, UVCCM - UDSM Mabibo - Hostel amemkabia kwa juu na Elia Evarist ambaye ni Mjumbe wa mkutano mkuu CHADEMA kisa hoja ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya 'No Reform No Election' na Katiba Mpya akidai hoja haina mashiko...
  10. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu, CHADEMA na watanzania wenye mapenzi mema tusisubiri hadi Oktoba ikaribie, wakati ni sasa

    Tutakuwa tumechelewa sana tukisubiri hadi October ifike. Kuiondoa CCM madarakani hakuhitaji mazungumzo bali nguvu ya wananchi mitaani. Lissu na CHADEMA mtupe miongozo kazi ianze mara moja.
  11. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwezi mmoja baada ya uchaguzi, Mbowe yuko kimya lakini CHADEMA wanakanyagana

    Baada ya kushindwa uchaguzi Freeman Mbowe hajaongea lolote. Akina Lissu na timu yake walitumia nguvu nyingi kumbomoa ili washinde uchaguzi kwa hila. Kumbe walikuwa hawana mkakati wa kukiongoza chama. Sasa wanakanyagana kumtukana Mwenyekiti mstaafu...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mdahalo kati ya kijana wa Chadema vs CCM kuhusu " No reforms, no elections. " Kijana wa CCM azidiwa kwa hoja.

    ..kwa kweli CCM hawawezi kabisa kukabiliana na wapinzani kwa hoja. ..kama uv-ccm ndio hawa basi taifa letu linaelekea siko. https://www.youtube.com/watch?v=PFxl6jTnFzE
  13. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA badilisheni hiyo kauli mbiu ya "No Reforms, No Elections"

    My two cents from a distance. Siyo siri kwamba naunga mkono kutokushiriki chaguzi za maigizo zinazoendeshwa na CCM. Naunga mkono harakati karibu zote za mwenyekiti mpya wa CHADEMA za kuleta mabadiliko ya kweli. Yote anayofanya ni sahihi kasoro hili la kusema kuwa watazuia uchaguzi kufanyika...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wito: Watu Wenye Uwezo, Tujitokeze Tujitolee Kumsaidia TAL na Kuisaidia Chadema to Play Real Politics, No Reforms No Election ni Utopian Politics!.

    Wanabodi Nimemsikiliza TAL kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV kuhusu falsafa yake ya No Reforms No Election. https://www.youtube.com/live/u5PkOqrHdZI?si=Mtma0U4QBfJ8TJ6x Japo hakuna ubishi kuhusu umahiri wa TAL kama mwanasheria, mwanasiasa, mbunge, mnadhimu mkuu wa upinzani, M/Mwenyekiti wa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kutoshiriki uchaguzi mkuu 2025 litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan na serikali ya CCM kidiplomasia na kiutawala

    No reforms, no election ni mfupa mgumu sana kwa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa kitaifa October 2025. Kama serikali ya CCM italazimisha kufanya uchaguzi pasipo ushiriki wa chama kikuu cha upinzani Tanzania yaani CHADEMA basi litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan kidiplomasia...
  16. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasanii wa Bongo movie waliokuwa CHADEMA wahamia CCM

    Wakuu naona sasa kila mkate utalainika kwa wakati wake ni suala la kupata chai tu. Wasanii waliokuwa wakii Support Chadema sasa wamekwenda kujiunga na Chama cha mapinduzi. Kwanza lini wamewahi kuwa Chadema? ==== Wasanii wa filamu Jimmy Mafufu, Shamsa Ford, Stamina pamoja na wengine wengi...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Barua ya malalamiko kuhusu Uteuzi wa viongozi watendaji na wajumbe wa kamati kuu CHADEMA imewafikia Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, imesema barua ya malalamiko kuhusu uteuzi wa viongozi watendaji wa juu na wajumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), iliyowasilishwa katika ofisi hiyo na kada wa chama hicho, imewafikia. Kanda huyo Lembrus Mchome, mjumbe wa Baraza...
  18. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 No reforms, no elections’ yawaweka CHADEMA njiapanda

    No reforms, no elections’ yawaweka Chadema njiapanda. Kampeni inayoratibiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya ‘No reforms, no elections’ ikimaanisha “Bila mabadiliko, hakuna uchaguzi”, imewaweka njiapanda baadhi ya viongozi na makada wa chama hicho. Wanaobaki njiapanda, ni...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Dkt.Rugemeleza Nshala kaipata hii nafasi ya mwanasheria wa CHADEMA?

    Dkt.Rugemeleza Nshala ana uchungu na CHADEMA? Maana tangu kufatilia siasa za upinzani huyu sijawahi kumuona kuvaa gwanda. Leo ndio mwanasheria mkuu wa CHADEMA. Au urafiki wa Lissu ndio kumemfanya kupata nafasi hii?
  20. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maandamano ya CHADEMA Mwanza kupinga kutoweka kwa Katibu wa BAVICHA yapigwa marufuku

    Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza limefanikiwa kudhibiti maandamano ya wanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA yaliyokuwa yamepangwa kufanyika siku ya leo katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Mwanza hasa katika wilaya ya Ilemela na Nyamagana. Akizungumza na waandishi wa habari...
Back
Top Bottom