chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Side effect za CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi (Kufeli kwa Campaign ya No Reform No Reaction lawama zangu nazitupa kwa Intelligence ya chama)

    Duniani hakuna kitu ambacho hakina side effects. Mlevi mmoja huko nchini Uingereza, aliejulikana kwa jina la Isack Newton, siku moja baada ya kumaliza kufanya masterbation, alitamka maneno yafuatayo:👇👇 " To every action there is an equal and opposite reaction ". Na hii ndio wasomi wa...
  2. I

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nilisema CHADEMA ya Lissu itakufa rasmi kabla ya 2026 na CHADEMA ya mzee Mbowe itafufuka rasmi soon!

    No Reforms No Election ya Ndugu Tundu Antipas Lissu imejiziika RASMI leo kwani hata Serikali ya awamu ya Sita ikileta Reforms nzuri kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani 2025,ni RASMI kuwa Chadema hawawezi kushiriki Uchaguzi Mkuu wowote wa INEC mpaka mwaka 2030 Tume ya Huru ya...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba nieleweshwe, Chadema wanapata faida gani wasiposhiriki uchaguzi?

    Naomba mwenye akili timamu anieleweshwe nielewe vizuri the logic behind ya kutoshiriki uchaguzi. Je CHADEMA expectations zao ni zipi? Yaani wata achieve kitu gani kwa wao kususia uchaguzi?
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM wameshindwa kuelewa mtego Sasa twende taratibu

    "The most potent weapon in the hands of the oppressor is the mind of the oppressed." — Steve Bi Msemo huu unasisitiza kuwa usababua wengi ziamke. Ninaumia sana
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA chini ya Lissu wamefanikiwa kwa kishindo

    Tangu kuchaguliwa kwa Lissu na kuja na Falsafa ya NO REFORM NO ELECTION sijaandika uzi hapa jamvini,Leo baada ya CHADEMA kutoshiriki utiwaji wa saini katika kanuni za Uchaguzi kitendo kinachowaweka CHADEMA kuwa nje moja kwa moja kushiriki Uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025 nimeona nitie neno fupi...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Unawezaje kujiita chama kikuu cha upinzani wakati una mbunge mmoja na covid 19 uliyofukuza uanachama?

    Chadema mnachanganya mambo!! Kwa sasa chadema ni chama kidogo sana chenye mbunge Mmoja wa kuchaguliwa!!! Mmeharibu zaidi kwa kukataa kushiruki uchaguzi .Hili siyo sawa .kumbe hamna mipango mizuri kabisa!! Yani mnaamini kuwa mnaweza kishinda uchaguzi bila kuwa na wabunge wengi? Kwa nini...
  7. JamiiForums Tanzania Mabadiliko makubwa yanakwenda kutokea Tanzania kupitia Chadema ya Lissu. Mbowe alitumika kuwanyima haki Watanzania.

    Kitendo cha Chadema kukataa kushiriki kusaini kanuni za maadili uchaguzi 2025 ni ishara njema. Hii ni ishara kubwa kuwa hii sio Chadema ya waganga njaa ambo wapo kwa ajili ya matumbo yao. Kama viongozi waandamizi wa CCM kama Diallo , Nape na yule Disii aliyetimuliwa walitamka wazi kuwa CCM...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA haitoweza kushiriki uchaguzi ndani ya miaka mitano ikiwemo wa mwaka huu

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima amesema Chadema ambayo haikusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, haitashiriki Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu na chaguzi zote ndogo zitakazofuata kwa muda wa miaka mitano. Kanuni hizo...
  9. C

    JamiiForums Tanzania CHAUMMA mbadala wa CHADEMA

    Ikiwa CHADEMA wamesusia uchaguzi Wana CHADEMA twendeni na CHAUMMA
  10. JamiiForums Tanzania ChatGP: Kwa nini CCM wanataka sana CHADEMA washiriki uchaguzi?

    Swali lako ni zuri na linahusu siasa za Tanzania kwa sasa. Kuna sababu kadhaa zinazoweza kueleza kwa nini CCM inaweza kutaka CHADEMA washiriki uchaguzi: Uhalali wa Uchaguzi (Legitimacy): Uchaguzi wa vyama vingi wenye ushindani wa kweli huonekana kuwa na uhalali zaidi ndani na nje ya nchi. Ikiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Nakipongeza chama changu CHADEMA kwa msimamo thabiti juu ya UCHAFUZI. Binafsi nitatumia uwezo wangu wote kuhakikisha nakuwa sehemu ya kuuvuruga

    Naapa kwa Mungu lazima niuvuruge Uchafuzi mkuu wa mwaka 2025. Nikiondoka na roho hata moja tu ya mchafuzi nitakuwa na amani kubwa moyoni. Kubwa sana! Nikipongeze Chama changu CHADEMA kwa msimamo thabiti. Sasa huko mitaani kazi yetu itakiwa nyepesi sana maana itakuwa ni kazi moja tu ya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Walio na uchu wa madaraka toka CHADEMA sasa ni ruksa kujiunga na vyama vingine

    CHADEMA wamegoma kusaini kanuni za maadili toka Tume Huru ya Uchaguzi na hivyo hawatashiriki uchaguzi mkuu mwaka huu. Mwanachama yeyote toka CHADEMA aliye na uchu wa madaraka sasa ni ruksa kuhamia Vyama vingine ili awe na uwezo kuwa Mhe. Mbunge au Diwani. Wakati ni sasa na usipoteze muda wako.
  13. JamiiForums Tanzania Tunaposema awepo mgombea binafsi muwe mnaelewa, angalia Sasa vijana waliokuwa wanategemea kupambana kupitia Chadema

    Chadema angalau ni chama ambacho kinajulikana kwa wananchi mpaka wa vijijini na kina hamasa kwenye uchaguzi Vijana wengi walitegemea Chadema maana kule ccm ni wazee na matajiri,kijana kupenya si rahisi
  14. JamiiForums Tanzania Mnyika nenda kasaini,kutakuwa hakuna tena suala la kuitafakari CHADEMA

    Kiburi kiliponza kichwa, kwa chadema kutosaini, huku vyama vyote 18 halali vikisaini makubaliano ya namna ya kuendesha kampeni kimaadili, chadema isije jiona ni mwamba kana kwamba itabembelezwa, hakuna kitu kama hicho!, nasisitiza chadema haita bembelezwa au kuombwa ili itie saini, lake...
  15. JamiiForums Tanzania Nimefurahi sana CHADEMA kutokwenda kusaini kanuni za maadili, mwaka huu hakuna mgombea atayepotea , kutekwa wala mwananchi kufa kwa sababu ya Uchaguzi

    Wasalaam ndugu zangu Binafsi nawapongeza CHADEMA kutokwenda kusaini kanuni za maadili kwa sababu naona wamejitambua kwa sababu zifuatazo: 1.Uchaguzi ni fursa ya kwa wanachi kuchagua viongozi wanaowahitaji kulinga na muda na mazingira yaliyopo.Kupima wagombea kulingana na sera zao kisha...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hatua ya BAWACHA Songwe kutaka kutembea uchi ni ishara ya kukosekana kwa Dira ndani ya CHADEMA

    Maamuzi ya baadhi ya wanawake wa CHADEMA kupitia BAWACHA mkoani Songwe kutishia au kutaka kutembea bila nguo kama njia ya kuonyesha hasira zao ni hatua mbaya na isiyofaa kwa chama cha siasa makini, na kwa Tanzania kwa ujumla. Hii ni aina ya hatua inayoashiria kukosa mwelekeo wa kisiasa na...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume ya Uchaguzi: Vyama 18 kati ya 19 vyasaini kanuni za maadili ya uchaguzi. Visivyosaini havitaruhusiwa kushiriki Uchaguzi Mkuu

    Dodoma: Zoezi la Utiaji Saini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi Aprili 12, 2025 https://www.youtube.com/live/BgdcX0YUdHI?si=B53f6t_tREhsGBeD Vyama 18 vya Siasa Vyasaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi 2025 Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima, amesema kuwa...
  18. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mkisusa uchaguzi Sisi Twala

    Endeleeni na drama zenu huko Rumande. Sisi Veggies Twala MEMA ya uchaguzi. Tukutane 2030 panapo majaliwa.
  19. JamiiForums Tanzania Mtandao wa X (Twitter) TANZANIA umefungwa Tangu jana 12 april 2025 kuelekea vuguvugu la CHADEMA na kukamatwa kwa Tundulissu bila VPN huwezi kuufungua

    Mtandao wa X (Twitter) TANZANIA umefungwa Tangu jana 12 april 2025 kuelekea vuguvugu la CHADEMA na kukamatwa kwa Tundulissu bila VPN huwezi kuufungua
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini kuumizana na kumbakiana kesi za uhaini? Tuwe na kampeni mbili; No Reforms, No Election iongozwe na CHADEMA na No Reforms, Yes Election - CCM

    Hivi kuna sababu gani kwa polisi wetu kutumika vibaya na CCM kwa kuteka, kukamata, kuumiza na kumbakia kesi ya uhaini Mh Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA wakati tunaweza kushindana kwa hoja na hoja zinazoshinda ndizo zitoe mwelekeo wa taifa na nchi hii... TUAMUE TU NA TUFANYE HIVI: Tuwe na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…