chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyama vya upinzani kama chadema ,kutokuwepo kwenye uchaguzi kuna athari nyingi, ambazo zinaweza kuwa na matokeo makubwa kwa mfumo wa kisiasa na jamii

    Vyama vya upinzani kutokuwepo kwenye uchaguzi kuna athari nyingi, ambazo zinaweza kuwa na matokeo makubwa kwa mfumo wa kisiasa na jamii kwa ujumla. 1. Kuimarisha Tawala za Kidemokrasia - Udikteta: Kukosekana kwa upinzani kunaweza kupelekea kuimarika kwa utawala wa kidikteta, ambapo chama...
  2. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA; baada ya tamko la kutoshiriki Uchaguzi Mkuu, fanyeni haya

    SEHEMU YA KWANZA Salaam na heshima nyingi kwenu; Uongozi, Wanachama, Wapenzi na Wadau wote wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Waswahili husema; haraka haraka haina baraka, simba mwendapole ndiye mla nyama, polepole ndio mwendo lakini pia haba na haba hujaza kibaba... Kwanza...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais wa TLS Mwabukusi: Kutosaini kanuni za maadili hakuzuii Chama kushiriki Uchaguzi

    Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kusikitishwa na tafsiri ya sheria inayochukuliwa na Tume huru ya Taifa ya uchaguzi, akisema hakuna sheria inayozuia Chama cha siasa kushiriki uchaguzi kwa kutosaini Kanuni za maadili ya uchaguzi. Kupitia ukurasa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wapongezwe CHADEMA kwa kutosaini kwa uchaguzi kama na hili la kutohoji popote nalo, limo!

    Kwamba kwenye masharti na hili #12 limo? Na bado watu wameanguka? Heko CHADEMA kwa kutokuwa tayari kuyaiga ya Mangungu!
  5. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ilipaswa Msajili wa vyama vya siasa ndio asaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi kwa niaba ya vyama vyote, Wagombea ni Watu siyo Chama!

    Kwa sheria za Tanzania Mtu binafsi ndiye anagombea uongozi iwe urais, ubunge, udiwani nk na chama cha siasa kinamdhamini tu Tume ya uchaguzi inashughulika na Wagombea wenye sifa za kugombea na moja ya sifa ni kuwa mwanachama wa chama cha kisiasa ndio sababu Halima Mdee na wenzake ni wabunge...
  6. JamiiForums Tanzania Kwaheri mbowe, kwaheri chadema

    Huko miaka ya 2000s baba aliwahi kunambia kuwa Mbowe na ZZK ni vijana wa mfumo, wanaeongoza vyama vya upinzani lakini kwa kulinda na kusimamia miongozo waliyopewa na mfumo. Kitendo cha Mbowe kukabidhi madaraka kwa mtu mwengine rasmi inaonesha hatokuwa na mamlaka tena ya kutaka na kuamua namna...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema kujitoa kwenye uchaguzi ni pigo kubwa kwa wasanii

    Kipindi Cha uchaguzi, Kila msanii anaingiaga studio na kurekodi nyimbo za kuwasifu CCM, na kuwakashifu wapinzani (Chadema) CCM utumia pesa nyingi kuwalipa wasanii Ili kampeini zinoge. Mwaka huu itabidi wasanii watunge nyimbo za kuwachamba kina Dovutwa, Selasini na Rungwe. Je CCM itatumia...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hata kama CHADEMA (Na vyama vingine) watashiriki au wangeshiriki, wanakuwa kama hawajashiriki tu

    Twende pamoja: Hoja hii kwamba “Hata kama CHADEMA ( Na vyama vingine) watashiriki au wangeshiriki, wanakuwa kama hawajashiriki tu.” ina mizizi katika hali halisi ya kisiasa na kisheria nchini Tanzania, hususan katika masuala ya uchaguzi, uhuru wa vyama vya siasa, na uwazi wa mchakato wa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA chini ya Lissu haiwezi ishi bila ruzuku kwa miaka mitano itakufa jeuri waliyonayo sasa ni ya ruzuku inayoishia June 2025

    Ruzuku ya CHADEMA itaisha June mwaka huu 2025 bunge baada ya kuvunjwa Wamesusa uchaguzi hivyo kwa miaka mitano ijayo CHADEMA haitakuwa na pesa za ruzuku hata shilingi 100 Maana yake kwa miaka mitano ijayo CHADEMA haitakuwa na pesa kabisa za kuendesha ofisi zao za makao makuu na kanda na...
  10. 4

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nipongeze Chadema kuwa vibaraka wa wananchi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

    Amani iwe kwenu watu wa Mungu wanajf popote mlipo kila mmoja kwa imani yake, ila sio kwa machawa wa ccm.( zingatia neno sio kwa machawa wa ccm) Rejea mada tajwa. Binafsi nachukua nafasi hii ya kipekee sana ,kukipongeza chama cha Demokrasia na maendeleo( Chadema Tz) kuonesha dunia na...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: Chadema mliojiandikisha muda ukifika chagueni CCM

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na mafunzo wa CCM, Amos Makalla wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi katika Uwanja wa Maulid ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake katika mikoa ya Lindi na Mtwara, amesema; "Mko tayari kwa uchaguzi...Niwaombe muda utakapofika mkiunge mkono...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema kutoshiriki Uchaguzi, hasara kwa CCM, Tume na jamii hizi hapa

    Na:Mathias Byabato Binafsi uwa siandiki sana kuhusu mambo ya siasa. Leo nimeona nisaidie muktadha kadri ya uelewa wangu. Kwa watu wanaojua mantiki na umuhimu demokrasia katika taifa lolote wanajua hasara kadhaa zitazojitokeza iwapo itasalia hivi hivi Kwa chadema kutoshiriki uchaguzi wowote 2025...
  13. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni fursa nzuri kwa Mbowe na Wanachadema wenye ndoto za ubunge kuhamia CCM kwa sababu Chadema imeondolewa

    Nimesoma kule Al jazira kwamba Chadema imepoteza sifa za kushiriki uchaguzi mkuu wa 2025 Hii ni fursa kwa wanachadema wenye taranta za uongozi kuhamia ccm na kugombea ubunge na udiwani Nawatakia SB ya Mitende yenye Baraka
  14. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya Lissu, harakati za ukombozi; CHADEMA kuweni macho na mamluki, "katika viwalavyo, na nguoni mwenu, vimo!"

    Hili ni angalizo la usalama kwa mustakabala mwema wa harakati za ukombozi na Mh. Lissu mikononi mwa watesi wetu: Kama huyu ni wakili msomi akiiwakilisha CHADEMA na mwamba kwa kipindi chote: "ama?!" Kwa hakika jopo la utetezi, mipango na mikakati nyeti ya mapambano haiwezi kuwa bwerere kwa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 SI KWELI Maria Sarungi amesema CHADEMA kutokusaini fomu ya maadili ndiyo anguko lao rasmi

  16. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa wakili kwenye hili la chadema

    Credit kwa yerrico G55 😄
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yatawakuta ya uchaguzi mdogo Jimbo la mbarali 2023

    Habari wanajukwaa na heri ya sikukuu ya matawi. Ndugu wanabodi kama mtakumbuka mwaka 2023 ilitokea ajali ya pawatila na pikipiki iliyopelekea kifo Cha mbunge wa Jimbo letu ndg. Mtega. Tukio Hilo lilivuta hisia na kuleta majozi makuu katika Jimbo la mbarali na kuacha mijadala katika maeneo...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hatutakubali Tena Kuishi kwa Hofu – Kukosoa Siyo Uasi, Ni Uzalendo wa Kweli!

    Tunaomba Nini? Si Miujiza – Ni Mambo ya Msingi: 1. Katiba Mpya – Ili tuwe na msingi wa haki kwa wote, si kwa wachache. 2. Tume Huru ya Uchaguzi – Ili kura iwe na maana, na si maigizo ya ushindi wa lazima. 3. Uhuru wa Kujieleza na Kushiriki Kisiasa – Ili kila sauti ihesabiwe, si kuzimwa...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema ni chama kinachoongozwa kutajwa midomoni mwa watu. Ni kweli kumbe ni chama kikuu

    Humu JF hakuna Chama kinatajwa kwa siku kama Chadema. Yaani kuna watu mpaka kwa siku wanaanzisha nyuzi 5 hadi 10 kuhusu Chadema na Lissu. Kisha anafuatiwa kutajwa Mbowe. Namba 1. Chadema 2. Lissu 3. Mbowe Hii inaonesha ukubwa na ugumu wa hiki chama kufa. Maana kutajwa tajwa huko ndo uhai...
  20. JamiiForums Tanzania Zamani nilipoifahamu JamiiForums, Nilijua ni mtandao wa CHADEMA.

    Mwishoni mwa utawala wa Jk awamu ya pili, ndio nipo o level nilijua JF ni ya chadema. Kipindi hicho hoja nasikia zilikuwa za moto ile mbaya. Mpaka maafisa wa serikali nasikia walikuwa hawataki kuusikia kutokana na uozo wao kuanikwa humu. Sasa automatically nikajua this forum na belongs to...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…