Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Wakuu
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hakina fursa wala mipango ya kuwanufaisha wananchi, zaidi ya maneno matupu na kampeni ya kuomba michango, na kwamba...
Hellow!
Bandiko hili litunzwe.
Nadhani umesikia kuwa CHADEMA haitoruhusiwa kushiriki uchaguzi ujao eti sababu hawajasaini fomu ya maadili feki, hii SI kweli.
Utafanyika uchaguzi na CHADEMA itashiriki na itapata wabunge wengi kuliko chama Cha majani mabichi, na jambo hili haliingii akilini kwa...
Katibu wa NEC anayeshughulikia Itikadi, Uenezi na Mafunzo ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla, ameielezea CHADEMA kuwa haina dira ya kisera inayoweza kuwasaidia wananchi, zaidi ya kutegemea maneno na misaada ya kifedha kutoka kwa wanachama wake.
Akihutubia mkutano wa hadhara...
Ninaamini wengi wa wanachadema waliomchagua Lissu ndani ya chadema waliamini kulikuwa na matatizo yaliyohitaji REFORMS
Sasa ukijiuliza hadi leo ndani ya CDM ni reforms zipi zimeanza kufanyika zaidi ya chama kubakia ombaomba?
GENTAMYCINE nilidhani baada ya Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti Taifa basi asingeacha kuwa karibu na aliyemshinda Freeman Mbowe.
Yawezekana kabisa kuwa Tundu Lissu alimhitaji zaidi Mbowe na baadhi ya Watu kwa Ushauri thabiti ndani ya Chama cha CHADEMA na Uhai wake.
Kwa Kitendo cha CHADEMA...
Yupo wapi huyo?
Hivi ni wapi Africa Mashariki kwa mfano, Mwenyekiti wa Tume huru ya taifa ya uchaguzi hateuliwi na Rais?
Ni nchi gani Africa michakato ya teuzi za umma kitaifa hazipitii kwa rais na mkuu wa nchi?
Hivi kwa madai ya chadema mtu huyo ateuliwe na nani sasa kwa mfano? Au ateuliwe na...
Kipindi flani wakati Mbowe yuko gerezani na kesi yake ya ugaidi, ilikua haipiti siku mbili bila kuletewa feedback humu jukwaani kuwa wanachama kadhaa wa CHADEMA wameenda kumtembelea mwenyekiti gerezani na kawapa ujumbe flani waulete kwa umma.
Sasa nashangaa zama hizi za Lissu, yuko gerezani lkn...
Hakuna haja ya kusimama jukwaani na kuwashutumu watu kuwa wanampango wa kuharibu amani.
Serikali ipo vizuri na imesimama imara na iwape wananchi uhuru wa kuchagua wanyemtaka kwenye uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025.
WATANZANIA tuna akili timamu huwezi kunambia eti CHADEMA kusimama majukwaani na...
Kundi au watu wafuatao wameshiriki kuiuwa CHADEMA kwa mikono yao kwa makusudi mazima na wanastahili kulaumiwa sana
1.Wajumbe wa mkutano mkuu
2.Lissu
3.Lema
4.Heche
5.Wanaharakati uchwara
6.Dr Slaa
Ndani ya mioyo yao ni kuuwa chama.
Naomba kuanza na Msingi wa kisheria ( Legal principle) ya “Waiver of right principle” Waiving a right means that such a right cannot be claimed by that individual. Kwa tafsiri yangu isiyo rasmi ni kwamba, ukipewa haki na mamlaka au mtu na ukashindwa au ukasusa kutumia haki hiyo; huwezi kurudi...
Anaandika JJ Mnyika Katibu Mkuu.
Kujibu andiko la Wakili Msomi Jonathan Mndeme
———————
Kabla ya vifungu vya 162(2) na (3) vya Sheria ulipaswa kuanza na 162 (1).
Kifungu cha 162(1) kinaeleza Tume baada ya kushauriana na vyama vyote vya siasa na Serikali itandaa na kuchapisha katika Gazeti la...
Jamani naomba kuuliza mimi sijaelewa. Chadema wametolewa kwenye mchakato wa uchaguzi au wameondolewa?
Lipi sahihi kusema wa meondolewa kwenye mchakato wa uchaguzi. Au kusema wamejiondoa kernye mchakato wa uchaguzi
Miaka ya 1950+ hivi chama cha ANC kule Afrika Kusini chini ya Mandela kilianza kuonesha makali kwa serikali ya makaburu. Harakati za ANC za kudai uhuru wa watu weusi zilipamba moto mno kiasi cha makaburu kukosa usingizi. Makaburu wakawaza ni namna gani wafanye kudhibiti harakati za chama hicho...
Ndugu zangu Watanzania,
Tunaweza kuwa tunailaumu CHADEMA kwa mpasuko, Mgawanyiko,mtanziko, mvurugano na mivutano bila kujua kiini chake na kwanini chama kinapitia Mkwamo na hali hiyo .
Ikumbukwe kuwa Ushindi wa Jeshi lolote lile katika uwanja wa vita unaanzia katika Umoja na Nidhamu ya hali...
Nimefuatilia sana kwanini baadhi ya wananchi wakiwemo viongozi wa dini wanapendwa sana na wananchi, kwa mfano Askofu Bagona anayefanana kichwa na msanii Mwijaku amekuwa akiisema sana vibaya serikali kwa kisingizo cha uhuru wa kutoa maoni, kauli zake zinatumiwa sana na wapinzani wa serikali...
Vyama vya upinzani kutokuwepo kwenye uchaguzi kuna athari nyingi, ambazo zinaweza kuwa na matokeo makubwa kwa mfumo wa kisiasa na jamii kwa ujumla.
1. Kuimarisha Tawala za Kidemokrasia
- Udikteta: Kukosekana kwa upinzani kunaweza kupelekea kuimarika kwa utawala wa kidikteta, ambapo chama...
SEHEMU YA KWANZA
Salaam na heshima nyingi kwenu; Uongozi, Wanachama, Wapenzi na Wadau wote wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Waswahili husema; haraka haraka haina baraka, simba mwendapole ndiye mla nyama, polepole ndio mwendo lakini pia haba na haba hujaza kibaba...
Kwanza...
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kusikitishwa na tafsiri ya sheria inayochukuliwa na Tume huru ya Taifa ya uchaguzi, akisema hakuna sheria inayozuia Chama cha siasa kushiriki uchaguzi kwa kutosaini Kanuni za maadili ya uchaguzi.
Kupitia ukurasa...