chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Halima Mdee: Hoja za CHADEMA kudai Reforms zina uzito mkubwa

    Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee, amesema kuwa hoja za vyama vya upinzani hasa CHADEMA na ACT Wazalendo kuhusu kudai reforms kuwa zina uzito mkubwa. Mdee amesisitiza juu ya usahihi wa CHADEMA kutokusaini kanuni za maadili kwani hakuna kanuni inayoweza kuwa juu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano...
  2. JamiiForums Tanzania Kauli ya Lema yaidhihirisha CHADEMA haina ajenda kwa vijana na michezo

    Kauli ya Mjumbe wa Kamati Kuu wa CHADEMA, Godbless Lema, ya kusema anaomba Mungu Simba na Yanga zipotee zisiwepo, ni kauli isiyoendana na hali halisi ya umuhimu wa michezo katika jamii ya Kitanzania na hata duniani kwa ujumla. Ni muhimu kuelewa kwamba michezo si burudani tu bali pia ni chombo...
  3. JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki ndio taasisi inayoweza kumuokoa Lissu na kuirudisha CHADEMA katika uchaguzi kwa sasa.

    Kati ya taasisi ambazo zingeweza kupiga kelele kushinikiza Lissu asihukumiwe kwa uhaini ni balozi za Marekani na Umoja wa Ulaya lakini kwa sasa ni dhaifu sana na zimepoteza hadhi na heshima ya kutiliwa maanani na dola. Taasisi muhimu iliyobaki yenye ushawishi mkubwa katika jamii inayoweza...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kila anachosema Lissu wafuasi wa CHADEMA wa sasa hivi wanashangilia tu, bila kupima kama kina faida au hasara kwa chama chao au jamii

    Yaani wengi wamekua kama hawana bongo vichwani mwao.mtu mmoja ndio amekuwa think tank ya chama. wengi wamekuwa na sifa za uchawa.hawajiulizi,hawahoji,hawafikirii,hawakosoi wala hawashauri chochote. Wao kila asemalo na atendalo mwenyekiti wao ni ndio na vigelegele. Mbaya zaidi zaidi hiyo...
  5. JamiiForums Tanzania Jamani kuna nini kinaendelea kati ya Azam TV na CHADEMA?

    Jamani kuna nini kinaendelea kwa anaejua kati ya Azam media na CHADEMA,naona wanareport taarifa hasi tu kuhusu CHADEMA, kama ni taarifa nyingine basi wanapewa muda mfupi mno,au CCM wameinunua kana walivyo fanya kwa channel 10,mwenye kujua tafadhali.
  6. JamiiForums Tanzania Boniphace Jackob ashangaa Watanzania hawajashtushwa na kitendo cha CHADEMA kususia uchaguzi

    Boniphace Jackob Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Pwani ameahangaa kitendo cha wa Tanzania kutoshtushwa na No Reform No election Boniphace Jackob aliyasema hayo wakati akihutubia wakazi wa Tandale. Boniphace Jackob alijigamba kwamba yeye ndiye amejenga barabara za Tandale kana kwamba alikuwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yaomba siku 21 kujibu hoja zilizowasilishwa Mahakamani na wanachadema wanne kusimamisha shughuli zote za kisiasa za chama

    CHADEMA kimeomba muda wa siku 21 kujibu hoja za kisheria zilizowasilishwa Mahakamani na Saidi Issa Mohammed na wenzake watatu, waliowasilisha kesi Mahakama Kuu ya Tanzania, wakitaka Mahakama isimamishe shughuli zote za kisiasa za chama hicho hadi shauri lao la msingi litakaposikilizwa. Kuhusu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Boni Yai asema Chadema inakufa na kujizika wenyewe

    Wakuu hili la kwamba BoniYai amesema Chadema inakufa na kujizika yenyewe ni ya kweli?
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri wa bure kwa CCM: Tunaelewa Mmechanganyikiwa na Chadema, Ila tumieni fedha zenu kwa akili

    Ni ukweli usiopingika kuwa CCM sasa wanaiogopa CHADEMA kuliko hata namna wanavyomwogopa Mungu. Ukweli huu unatokana na ukweli kuwa, ni dhahili kuwa Watanzania wote sasa hivi wameona na wameelewa kuwa Chama cha Kweli cha Siasa ambacho kipo kwa ajili ya kuwapigania kweli ili kuwapatia maisha bora...
  10. JamiiForums Tanzania Amakweli kifo cha Simba furaha kwa Swala, ACT Wazalendo wanatumia matatizo ya CHADEMA kama fursa katika Chama chao

    Amakweli kifo cha Simba furaha kwa Swala, ACT Wazalendo wanatumia matatizo ya CHADEMA kama fursa katika Chama chao ACT wamesikika wakishawishi Wanachama wa CHADEMA wajiunge katika Chama chao endapo kama wanataka kufanikiwa kisiasa ACT inajulikama kama Chama pinzani lakini kimekuwa kikifurahia...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche awataka wananchi kuunga mkono msimamo wa 'No Reforms No Election'

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amewataka wananchi kuendelea kuwaunga mkono katika kuhakikisha yanafanyika mabadiliko ya sheria za uchaguzi, ili kufanya siasa safi na kushiriki uchaguzi ambao watapatikana viongozi bora na watakaoleta mabadiliko kwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA waburuzana mahakamani, kesi kuanza leo

    Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutoka Zanzibar, wamekiburuza mahakamani chama hicho pamoja na mambo mengine wakilalamikia upendeleo katika mgawanyo wa rasilimali za chama pamoja na stahiki nyinginezo. Kesi hiyo ya madai namba ya mwaka 2025...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA ifanye nini kuondokana na sura ya udini na ushari iliyojivika?

    Maana ukiitazama chadema kwa haraka utadhani ni nyumba ya ibada au dhebebu Fulani la dini. Uongozi wa kitaifa mpaka kwenye majukwaa ya kisiasa, udini unajidhihirisha wenyewe kabisa bila kificho. Ukianza kutazama kiongozi mojamoja kuanzia ngazi ya kitaifa utakubalina na mimi kwamba huenda chama...
  14. M

    JamiiForums Tanzania John Heche, nakukubali sana kwa kazi ngumu unayoifanya ya ukombozi wa Nchi hii. Naomba kutoa maoni yangu

    Binafsi nakukubali sana kwa kazi ngumu unayoifanya ya ukombozi wa Nchi hii. Naomba kutoa maoni yangu kama ifuatavyo:- 1. Pamoja na kuendelea kutoa Elimu ya No Reforms No election, naomba kiundwe kikosi maalumu kitakachoongoza movement ya kumtoa Tundu Lissu mahabusu. Wakiona tupo kimya sana...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amani Golugwa: CHADEMA kutosaini kanuni za uchaguzi Mkuu 2025, tupo sawa

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, Amani Golugwa amesema msimamo wa chama hicho kutosaini kanuni za uchaguzi Mkuu 2025, wanajiona wako sawa huku akikisisitiza hawatakimbilia kusaini zaidi ya kufichua yasiyofaa. “Tunaona tunaenda sawa kabisa na watu...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Lisu na CHADEMA yake na Mpinzani mkuu wa Museveni, Bob Wine na chama chake

    Tofauti ya Lisu na CHADEMA yake na Mpinzani mkuu wa Museveni, Bob Wine na chama chake Bob wine alipohojiwa na BBC swahili kuwa uchaguzi mkuu Uganda unafanyika mwakani je atagombea pamoja na kuwa mara nyingi akigombea amekuwa akishindwa Akajibu akasema yeye watu wanaompenda na wako tayari...
  17. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuseme ukweli: CHADEMA msithubutu kugomea uchaguzi maana hata Ulaya na Marekani sasa hivi wana matatizo yao kiuchaguzi na hakuna wa kuwaogopa tena

    Kila taifa SASA HIVI linajiendesha kwa mtazamo na matakwa yake kiuchaguzi... Dunia imebadilika kwa haraka sana...ULAYA na MAREKANI nao zile rafu tulizozea kuchezwa Afrika kwao ndio zinachezwa kwa uwazi Kila kiumbe kinaona.. Angalieni chaguzi za HIVI karibuni za Afrika licha ya mapungufu kibao...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Musukuma: CHADEMA waruhusiwe hata kwa mlango wa nyuma, tukutane nao majukwaani

    Mbunge wa Geita Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Joseph Kasheku ‘Musukuma’ amesema kwa niaba ya Wabunge wa CCM, hawana hofu na vyama vya upinzani na kwamba wako tayari kukutana nao majukwaani endapo uchaguzi mkuu utafanyika. Akizungumza leo Aprili 16, 2025, Bungeni jijini Dodoma...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Huwezi Kupata Kamwe Picha Kama Hii kutoka CHADEMA ya Stephen Wasira Akisalimiana Na Protase Kardinali Rugambwa hii Leo.

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiwa na heshima na kuheshimika ni jambo la kawaida kukutana na kukutanishwa na watu wenye heshima kubwa katika jamii. Ni kawaida kwa mtu anayeheshimika kuona akifanya mazungumzo na majadiliano na watu wenye heshima kubwa . Ni kawaida kwa chama kinachoheshimika kama CCM...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema kugomea kusaini maadili ya uchaguzi wamelenga nini?

    Sasa hivi inaonekana kama vile chadema inatumia nguvu kubwa ya ziada kupambana na matokeo ya kugomea kusaini maadili ya uchaguzi mbali na nguvu inayotumika kwenye No reforms No election. Kama chadema wangesaini maadili ya uchaguzi kisha wakaendelea na harakati yao ya No reforms No election...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…