chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA na wanaharakati wengine, wekezeni kwenye techinolojia, teembeeni na secret Camera, au virecord sauti vya siri.

    Kwa techinolojia ya sasa kuna, vifaa vingi sana vya siri vya kuwezesha kupata Data. Hii ni moja ya njia ya kudili na hawa Police CCM. Kwenye nyumba wekeni Camera za siri zisizo onekana kabisa na zile za kawaida yaani CCTV Camera zinazo onekana. Mfano pale makao makuu ya CHADEMA zinapaswa...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni kulialia, acheni matamko, fanyeni kwa vitendo

    Hivi kama mliamua kwa dhati kushinikiza madai ya reforms na mkawa na imani na ujasiri kuwa inawezekana,, mmekosa namna ya kufika mahakamani kufuatilia mwenendo wa kesi ya kiongozi wenu kweli? Je, madhani mtashinikiza tena hizo reforms kama tu kukabiliana na wanaowashima haki zenu inashindikana...
  3. I

    JamiiForums Tanzania 'NO REFORMS, NO ELECTION': Manifestation of the Opposition's Half Baked Political Suicide Mission

    ▪︎Back to the roots Tanzania's main opposition party CHADEMA bore the 'No reforms, No election' campaign with the said aim of sabotaging the calendered elections expected to be held in October this year. With the party's newly elected cream of leadership led by party's now chairman Mr. Tundu...
  4. JamiiForums Tanzania Ni chama gani cha siasa cha upinzani nchini kinafurahia zaidi anguko la chadema kisiasa kuliko vyama vingine na kinatarajia kunufaika na anguko hilo?

    Maana chadema is no more, sote ni mashahidi. Na wanachadema wote nchini wamekata tamaa kabisa, na wanajuta kupindukia kuchagua uongozi uliokosa mipango na maono ya kisiasa na kusababisha kuangusha gari lao la kisiasa, kwasababu ya kiburi, ubishi na ubinafsi wa dereva wao mpya. Kama mdau wa...
  5. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 CHADEMA Yaomba Tume ya Uchaguzi Kuwaruhusu Kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, amesema kuwa chama hicho kiko tayari kushiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, endapo Tume ya Uchaguzi itawapa nafasi hiyo.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Muliro awakana Makada wa CHADEMA wanaodai kuteswa, kutupwa porini

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amekanusha jeshi hilo kuwakamata makada wa Chadema waliokuwa wakihudhuria kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Aprili 24, 2025. Awali Kamanda Muliro aliwaonya viongozi na wanachama...
  7. S

    JamiiForums Tanzania WaTanzania Chadema ni wajanja ,wameshajipanga tena kutuacha kwenye mataa

    MOSI, Magereza mbalimbali nchini naamini wameanza kukarabati vyumba vya kulalia wafungwa na kuboresha miundo mbinu ya kuwadhibiti wanaoweza kuhatarisha usalama wa mazingira ya wafungwa sugu na wale wachochezi wasioitakia mema nchi ,wanazuka kama uyoga unapokaribia Uchaguzi mkuu ,inasemwa wapate...
  8. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Polisi wamezingira nyumbani kwangu na kwa Tundu Lissu

    Makamu mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa nyumba yake imezingirwa na polisi wakiwa na gari nne. Anaandika; "Nimezingirwa nyumbani kwangu tangu saa 10 alfajiri ya leo. Askari wakiwa na magari manne wako kwenye milango ya kuingilia."...
  9. S

    JamiiForums Tanzania WaTanzania wameamka CHADEMA msitegemee wazungu - Hongera Ibrahim Traoré

    Safari zenu za ukimbizi na kufanya kazi nje ya nchi zimewapa kiburi na sasa mnategemea nchi za kimagharibi kuwasaidia katika kupata malengo yenu. Ila kwa sasa itakuwa mumechelewa sana sana kutegemea wazungu ,haya mambo ya kutegemea ughaibuni na nyinyi kutumiwa kutekeleza uasi kwa serikali...
  10. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu amefanya kazi kubwa mno tena kirahisi sana ya kuivuruga na kuibomoa CHADEMA kwa muda mfupi sana, je apongezwe au alaumiwe kwa kazi hiyo?

    Tuwe wakweli ndugu zangu, kazi ya kujenga taasisi na ikasimama vizuri ni ngumu sana, na inahitaji ustahimilivu, weledi, maarifa, hekima na busara za kiwango cha juu sana kuiendeleza. Tundu Lisu alikua Rais wa TLS, na alitumia style na aina hii hii ya uongozi kujaribu kuibomoa TLS kwa kuropoka...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ohoo! CCM waanza kumkana Samia juu ya ubabe wake kwa Chadema.

  12. JamiiForums Tanzania Unashauri ndoto za vijana wa chadema zilizozimwa kwa makusudi na ghafla kwa ubinafsi wa uongozi wao mpya wakazitimizie kwenye chama gani cha siasa?

    Maana uongozi mpya wa chadema umewakatisha ndoto, matamanio na matarajio yao ya kiasia waliojiandaa na kuvumilia kuyatimiza kwa muda mrefu sana ndani ya chadema. Leo hii ghafla, na kwa makusudi, chama chao Chadema kimewakosesha haki na fursa hiyo muhimu ya kutimiza ndoto zao za uongozi, lakini...
  13. JamiiForums Tanzania Chadema watathubutu kuandamana kesho tarehe 28?

    Au bado wanauguza majeraha? Kwa nini inakuwa lazima kuwapiga watu kama vile wao ni watoto? Kwa nini Chalamila hataki kuona kwamba watu wakija kutoka mikoani kusikiliza kesi ya Lissu Gesti House Dar zitafurika?
  14. JamiiForums Tanzania Nani atawaambia Dola na CCM kwamba wapinzani ni Watanzania

    Kuna kila aina ya vitisho na hisia hasi juu ya upinzani na wapinzani. Mimi ni kijani niliyesomeshwa kwa fedhg za serikali kuanzia sekondari hadi chuo kikuu. Sioni ubaya wala sina uadui na CCM lakini mtizamo wangu ni kwamba tunahitaji kwa namna moja au nyingine kuongozwa na akili mpya maana...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mzozo wa Rais Samia na CHADEMA wakiwamo wadau wengine ni kuwa: "yeye hataki uchaguzi wa haki." Nani wa kumfunga paka kengele?

    Baada ya kuufutilia mzozo huu ambapo siyo siri pana wengi wamepoteza maisha, wengi wamepotezwa na sasa waziwazi wengi wameumizwa na wengine akiwamo TAL, bayana wapo magerezani: Kwamba tatizo ni mama wala si CCM, yeye hataki kusikia uchaguzi wa haki: Jamani nani asiyejua tofauti ya haki na...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi CHADEMA imechokwa na wanaCHADEMA wenyewe kwa kukosa agenda na kupoteza uelekeo au ni kwa sababu uongozi wake mpya kukosa maono na dhamira njema?

    Ni wazi CHADEMA inaelekea kupotea kwanye medani ya siasa za Tanzania ikiwa katika hali ngumu, baya na dhaifu sana kiuchumi, kisiasa na kijamii hasa baada ya kukosa kabisa agenda hata moja ya kutetea mambo yanayohusu mahitaji ya kila siku ya wananchi bali kwa kujikita kuwatumia wanachi kutetea...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Ndani ya kipindi kifupi tu Lisu amekipasua chama vipande viwili, G55 na timu Lissu

    Mbowe amekijenga chama miaka 20 kikiwa na umoja na mshikamano hadi anakabidhi kijiti alicho king"ang'ania Lissu. Mtoto akililie wembe mpe! baada ya siku chache tu Chadema imegawanyika vipande, G55 na timu Lisu. Umoja na mshikamano alio ujenga mbowe kwa zaidi ya miaka 20 umevurugwa na Lisu ndani...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia ikipishana na matarajio ya raia, ina maana gani?

    25 Aprili 2025 JAMIIFORUMS NI JUKWAA KUBWA LA MEDIA, NAAMINI WATU WAMEITAFAKARI HOTUBA PIA TOFAUTI NA MEDIA ZINGINE TUNAWEZA KUIJADILI ILI KUJENGA TAIFA Leo mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano, jioni tarehe 25 Aprili 2025 alitoa hotuba inayo semekana aliongea na taifa. Je wewe kama...
  19. JamiiForums Tanzania Nikimuangalia Lissu na Maria Sarungi namuona Kibwetere alivyowaangamiza wafu wake kwa kukosa maarifa

    Askofu kibwetere alikuwa na wafuasi wake waliokosa maarifa na kumtegemea yeye kwa kila asemalo bila kupima madhara yake mwisho wa siku akawafungia kanisani na kuwachoma moto wakaangamia kwa kukosa maarifa yeye akatokomea kusiko julikana. Hivi sasa hilo jambo naliona kwa wafuasi wa chadema...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia acha kusema uongo na kukuza mambo. CHADEMA ilihamasisha mabadiliko ya uchaguzi sio vurugu

    Nilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ? Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii ina maana Samia anaenda kuwa Dikteta kwenye nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…