chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi Polisi wasivyoaminika, sintashangaa wakitangaza waliomshambulia Dr. Kitima walitumwa na Chadema ili kuichafua serikali

    Mwelekeo wa Polisi kuanza kupotosha umma kuhusu shambulizi la mwenyekiti wa CET Dr. Kitima umeanza kuonekana, wakianza kwa kusema alikuwa akipata kinywaji nk, wakidokeza ni mtu wa kunywa pombe kupita kiasi. Sasa hili suala la kusema kuna mtu tayari wamemkamata, sintashangaa kama mtu huyo ni wa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kwa mmkakati huu Chadema mmewakamata na kuwafikia wengi

    Jana nimepanda coaster inayotoka Airport kuelekea Buhongwa jijiji Mwanza, ambapo niliona ubunifu wa CDM kuwafikia watu wengi hasa katika hii Kampeni ya NRE. Nilivyoingia nilikuta ukimya, huku sauti ya John Heche ikisikika vyema. Awali nilifikiri ni msafiri anacheza clip kutoka kwenye simu...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki sio sawa na CHADEMA, kulishambulia ni kuishambulia Vatican

    Siasa za Tanzania ziishie Tanzania zisivuke mipaka. Chuki za serikali kwa Chadema zisiliingize Kanisa. Kanisa ni kubwa kuliko chama chochote cha siasa nchini, kiwe CCM au CHADEMA kimuundo, kiuchumi, kiuwezo, idadi ya wanachama. Lipo dunia nzima. Ili Kanisa lijiendeshe duniani kiufasaha...
  4. JamiiForums Tanzania Kuhusu sakata la G55 CHADEMA, Mbowe anahusika kwa asilimia 100

    Wataalamu wa historia wanasema historia hutuambia kwa nini tupo hapa. Nimelazimika kutafakari na kurejea matukio mbali mbali yanayomhusu Mwenyekiti Mbowe kabla ya kupumzishwa na wanachama kwenye nafasi ya wenyekiti wake. Nimerejea matukio mbali mbali hususani baada ya mwenyekiti Mbowe kutoka...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Ali Omari Mwanachama wa Chadema kutoka Kigamboni alikamatwa Nje ya Mahakama na Kuachwa Temeke

    Ali Omari Mwanachama wa Chadema kutoka Kigamboni, alikamatiwa nje ya geti la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kupelekwa na kuachwa Temeke, karibu na stendi ya Sudan. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: Barua inayosambaa ya kuvuliwa Uanachama wa CHADEMA, hainihusu kwani haijataja namba ya Uanachama wangu

    TAARIFA KWA UMMA. YAHUSU TAARIFA INAYOSAMBAZWA MTANDAONI KUWA MIMI JOHN EDWARD MREMA NIMEVULIWA UANACHAMA WA CHADEMA NA TAWI LA BONYOKWA. Kutokana na taarifa hizo kuzua taharuki kubwa na kusababisha watu mbalimbali kupiga simu, napenda kutoa ufafanuzi ufuatao; 1. Mimi John Mrema ambaye ni...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema avuliwa uanachama wa CHADEMA

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kupitia Tawi lake la Bonyokwa mkoani Dar es Salaam, kimemvua rasmi uanachama, John Mrema, kwa kile kilichoelezwa kuwa ni utovu wa nidhamu, dharau kwa mamlaka halali za chama, na kukaidi misingi na maadili ya chama. Kwa mujibu wa barua rasmi...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Lupembe asema CHADEMA wanavuka mipaka kwenda kuvuruga haki za wengine kupiga kura

    Mbunge wa Jimbo la Lupembe (CCM), Edwin Swalle, amesema ni makosa kuzuia uchaguzi au kuhamasisha watu wasishiriki kwa kuwa kushiriki uchaguzi ni haki ya kikatiba kwa kila Mtanzania. Swalle ametoa kauli hiyo leo Aprili 30, 2025 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia mjadala wa Makadirio ya...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: Hoja ya kutakiwa kufanyika mbadiliko kabla ya uchaguzi si hoja ya CHADEMA ni hoja ya umma

    "Tunatambua kwamba sauti hii ya haja ya mabadiliko ya kuwezesha uchaguzi huru na haki sio sauti ya CHADEMA peke yake, na tunashukuru sana viongozi wa dini ambao wameiasa serikali isikilize sauti ya wanaotaka mabadiliko kufanyika kabla ya uchaguzi kuwezesha uchaguzi huru na haki tunaamini, kwa...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hoja sita CHADEMA, Madai ya makada wake kukamatwa na kupigwa

    "Niseme hatua kadhaa ambazo tunataka zichukuliwe (kutokana na kile ambacho CHADEMA inadai kuwa Jeshi la Polisi kupitia Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro imetoa taarifa za uongo kuhusu madai ya viongozi na makada wao kukamatwa, kupigwa na kuteswa mnamo tarehe...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika amtaka IGP kuwajibika na kutoa taarifa halisi ya viongozi wa CHADEMA waliokamatwa na kuteswa

    "Tunamtaka mkuu wa jeshi la polisi Tanzania IGP, kama haya matendo hayana baraka zake ajitoze yeye mwenyewe atoe taarifa kwa umma, juu ya matukio ya kupigwa kuteswa kuumizwa kwa wanachama na viongozi wa CHADEMA akitaja idadi halisi, akitaja sababu sababu ya hali hizo na kuwajibika kutokana na...
  12. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Geita: Wananchi 38 waikacha CHADEMA na kujiunga CCM

    Wanachama 38 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Jimbo la Buchosa, wamekihama chama hicho na kujiunga na CCM. Miongoni mwao yupo aliyekuwa katibu mwenezi wa chama hicho katika Jimbo la Buchosa, Ovu Malagila ambaye ameeleza sababu za kukihama Chadema na kummwagia sifa Rais...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA wasema Muliro alidanganya, Mnyika atoa ushahidi jinsi polisi walivyowakamata viongozi na wanachama wa CHADEMA

    "Tutaonesha kwa muhutasari matukio ya msingi yenye kuthibitisha kwamba jeshi la polisi lilikamata viongozi na wanachama wa CHADEMA, lilihusika kupiga viongozi na wanachama wa CHADEMA, lilihusika kufanya uharamia wa kudhalilisha utu wa viongozi na wanachama wa CHADEMA, na baada ya kuonesha...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: Kamanda Muliro ametoa taarifa za uongo juu ya yaliyotokea tarehe 24/04/2025. Waliwakamata zaidi ya watu 20 na si watu 2

    Katibu mkuu wa CHADEMA aonyesha ushahidi Kwa Ulimwengu kuwa Polisi waliwakamata zaidi ya watu 20 na kisha kuwaondoa maeneo ya Kisutu kisha kuwatelekeza sehemu za Coco Beach, Ununio, Mabwepande, Bagamoyo na katika mitaa ya jijini Dar es Salaam "Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam...
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wabunge 19 Machachari wa CHADEMA kupokelewa CCM Mei Mosi

    Waheshimiwa wabunge 19 Machachari toka CHADEMA watakaribishwa rasmi CCM siku ya Mei Mosi akiwemo Nusrat Hanje (Mrs Kitenge) anayewania ubunge Jimbo mojawapo Mkoani Singida.
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Sophia Mwakagenda aitema CHADEMA, Ajiunga rasmi na CCM

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Sophia Mwakagenda, ametangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM), akisema uamuzi huo unalenga kuendeleza jitihada zake za kuwatumikia wananchi kwa ufanisi zaidi. Akizungumza mbele ya mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maandalizi ya Mikutano ya No Reforms No Election Kanda ya Kati yamekamilika, Moto Utawaka muda wowote kuanzia sasa

    Taarifa kutoka Chadema Makao Makuu zinaeleza kwamba, Maandalizi ya ile kampeni Takatifu ya No Reforms No Election Kanda ya Kati yamekamilika. Taarifa iliyonaswa na Mleta Mada huyu hii hapa.
  18. JamiiForums Tanzania Ukiachana na Dola, Simba, Yanga, Harmonize na Diamond jambo gani tena linaifanya CHADEMA isiungwe mkono na wananchi walio wengi?

    Kichwa hakihitaji maelezo mengi saana. Kinajitosheleza. Tuwasaidie maana binafsi nadhani wafuasi wengi wa Chama hiki hawafanyi [introspection]. Najua nitashambuliwa saana na sina wasiwasi na hili.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Naibu katibu mkuu bara chadema ninawasiwasi nae

    Harakati zote hizo yeye hata hajaguswa na vyombo vya dola. Mpinzani kweli huyu? Haendi KISUTU huyu? Waliobaki wote naona wanampigania lissu badala yeye
  20. S

    JamiiForums Tanzania Napenda Chadema ishinde Uchaguzi Mkuu.

    Vipi iwapo Chama chetu cha Chadema kitashinda uchaguzi wataruhusu au tuseme kukubaliana na nchi wanazozitegemea kuwapa sapoti, yaani Chadema itaruhusu uvutaji wa bangi na mambo mengine. Kila kitu huria mladi usivuke mipaka.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…