Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Gabriel Mwita wa CHADEMA unataka Nini?
Nina swali moja Kwa huyu kada wa CHADEMA Gabriel Mwita , Je Gabriel Mwita unataka Nini?.
Kwanza, nakuuliza Gabriel Mwita unataka nini kwa sababu maamuzi ya kupitishwa kwa tamko la no reforms no election yalifanywa na vikao vyote halali vya Chama. Kuanzia...
Nimeelezwa na mnyetishaji wangu kuwa kimbunga cha vijukuu wawili wa Mungu, Tundu Lissu na John Heche kimeleta tafrani isiyo ya kawaida huko CCM.
Support kubwa waliyopata CHADEMA kwenye mikutano waliyofanya Kanda ya Nyasa tu inasemwa kusababisha watu kulala na viatu huko CCM.
Kujitokeza kwa...
Makada nane wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Jimbo la Buchosa wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hatua hii imetokana na kuridhishwa na kazi zinazotekelezwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan pamoja na Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo.
Miongoni mwa...
Mwenyekiti mstaafu BAVICHA mkoa Kilimanjaro na Mwenyekiti wa wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome ametangaza nia yake ya kugombea Ubunge bila kujali harakati za Chama chake, CHADEMA za kuzuia Uchaguzi kama hakutakua na Mabadikiliko.
Kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa X, Mchome mwanachama wa...
Kwa mnyukano unaoendelea ndani ya chama kinachoongozwa na adui wa demokrasia Tundu Lissu ni wazi kuwa laana mbalimbali za kupuuza ushauri uliwahi kutolewa na wabobezi wa siasa za nchi hii nikiwemo mimi, Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah zinawatafuna kwa sasa.
Mwaka 2021 nilitahadharisha kuwa bado...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amewataka wale wote wanaotaka kugombea ubunge kupitia chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kuchukua fomu za maoni na kwenda nazo majimboni kwa ajili ya kukusanya saini za Watanzania.
Kupata matukio na...
Ni wazi sisa za vyama vya siasa ikiwemo CCM, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CUF vinawavutia zaidi wanachama wengi kutoka CHADEMA na kujiunga navyo, baada ya uongozi mpya chini ya Tundu Lissu kushika usukani kuongoza chama hicho ambacho kinaonekana wazi kuyumba na kupoteza uelekeo kutokana na...
Aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Bw. Julius Mwita amemtaka Mwanaharakati Maria Sarungi kujitokeza hadharani na kueleza ikiwa ni mwanachama wa Chadema kwa kuonesha kadi yake ya uanachama wake ndani ya Chadema.
Mwita ambaye amezungumza na wanahabari...
Makamu Mwenyekiti CHADEMA TAifa upande wa Zanzibar, Said Mzee ameeleza kuwa Chadema haiwezi kufa kwa hila za CCM, aidha amewapongeza watia nia waliojitokesza katika mkutano huo wa kuwajengea uwezo kuhusu ajenda ya No reforms No election.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
CHADEMA wakimtangaza mgombea urais,nchi itakuwa tayari kwa Uchaguzi.
Lakini badala ya kumtangaza mgombea urais CHADEMA wanafanya utalii mikoani. Halafu Chadema hawana upendo na Umoja katika Chama chao.
Hatujaona mass exodus kutoka kwenye Chama kama iliyokuwepo Freeman alipokuwa Mwenyekiti,hata...
Romanus Mapunda na Team yake watatangaza maandamano wakitaka Tundu Lissu ajiuzulu kwani hakitakii mema chama. Katika maandamano hayo yataanzia mkoa wa Dar es Salaam
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
Maandalizi ya mkutano wa viongozi wa Chama Taifa na watia nia wa nafasi ya ubunge katika majimbo mbalimbali nchini yamekamilika katika ukumbi wa Makao Makuu ya Chama, Mikocheni Dar es salaam. Mkutano huo utafanyika kesho tarehe 03 Aprili 2025 na mgeni rasmi akiwa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe...
Maridhiano yalikua ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu la chama na watu walitoka hadharani na kupinga kwa uhuru kabisa.
No reform No election ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu kwanini iwe haramu kupinga?. Binafsi ntagombe ubunge Mwanga mwaka huu.
Tayari viongozi wa juu wa CHADEMA wanaonyesha wanawagombea wao mfukoni !! Ukisema unawaita watia nia unajuaje kwamba Jimbo Moja Lina watia nia wangapi ? Mfano Mimi Niko Jimbo la Ileje na watia nia ileje wako 70 huyo mmoja mliemuita mmempataje?
Mimi nachojua watia nia watachujwa kwenye majimbo...
Kuna UPUMBAVU mwingi na hujuma nyingi sana zinaendelea juu ya uongozi na utawala wa Mh Tundu Lissu, ninafikiri UPUMBAVU huu unapswa kusemwa na kukemewa hadharani , ikiwa ni lazima itabidi tuongee mambo ambayo hayakupaswa kusemwa ili kila mtu ajue mwanzo wa dhamira zilivyo kuwa na hata sasa...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema Siku CHADEMA ikifa haki ya Mungu mtapigwa mnada, hiki ni chama Chenu kiwekeni moyoni mwenu”
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania...
🗣️ NO REFORM, NO ELECTION! 🚨
Hatutaingia kwenye uchaguzi wa 2025 bila mabadiliko ya msingi katika Katiba na mfumo wa uchaguzi! Watanzania wanastahili Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ili kuhakikisha haki na usawa kwa vyama vyote.
🔥 Hakuna Mabadiliko? Hakuna Uchaguzi! 🔥
Tuwaunge mkono...
Ni kwanini nchi za Africa haziendelei
Ujinga
Upumbavu
Ubinafsi
CHADEMA kamati kuu imekuja na azimio la No reform No election, kwa maana kua wanataka uchaguzi huru na haki kwanzia kwenye tume ifumuliwe na kusukwa upya,
Kinachofanyika hapa ni CHADEMA inataka suluhusho la kudumu la uchaguzi kwa...
Ukitazama hali halisi ilivyo sasa ni wazi kabisa matajiri, watu wenye uchumi mzuri, biashara kubwa, na watu wa serikali ndo wanaridhika na mwenendo wa serikali kwa sasa. Sasahivi wanasukuma magari ya mill 300 na 400 kama wanaigiza ila ndo kweli hivo.
Kula kwa urefu wa kamba ndo slogan ya...