Wakuu JF amani iwe nanyi,
Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania kumkuta Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, na kesi ya kujibu kwenye mashtaka ya uhaini, mjadala mkubwa umehamia kwenye orodha ya mashahidi wa utetezi.
Katika uamuzi wake kuhusu maombi ya utetezi, Mahakama Kuu imeridhia waitwe viongozi...