ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Sio kweli kwamba CCM inakubalika ndio maana ilipata watia nia wengi kwenye ubunge udiwani bali ubunge na udiwani vimeguka kuwa mtaji wa kibiashara.

    Huu ndio ukweli wenyewe watia nia wengi wanaenda walikuwa na nia ya kupata peaa tu maana ubunge unalipa. Mshahara mnono wa mil 15, posho ya kikao laki tatu kwa siku bado madili kibao ukiwa na miradi ya maendeleo jimboni. Hili la kusema eti ni kwa sababu CCM inakubalika sio kweli
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe UWT CCM Mkoa wa Njombe Kupiga kura za maoni Uchaguzi Wabunge Viti Maalum

    Wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa Umoja wa Wanawake (UWT) Mkoa wa Njombe wakiwa kwenye Ukumbi wa Agreement uliopo halmashauri ya mji wa Njombe kwa ajili ya kupiga kura za maoni katika uchaguzi wa wabunge wa viti maalumu Mkoa wa Njombe Chanzo: Mwananch_official
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kama siyo mchafu unatafuta nini huko CCM maana CCM ni makao Makuu ya Uchafu, maovu, ukatili and the like...

    Nimesoma andiko la Askofu Bagonza. Anasema Wooote, walioshindwa/waliopenya ie walioshinda?? wote ni wale wale. Wote ni waovu., (maharamia, majambazi, wahuni ........nyongeza yangu) WALIOSHINDWA, actually, though it looks strange, washukuru Mungu maana wameepushwa na mauti huko mbele
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Familia ya Kikwete yakosa upinzani CCM mbio za ubunge majimbo ya Mchinga na Chalinze

    Kufuatia majina ya waliopitishwa na uongozi wa juu wa ccm pale Dodoma. Jimbo la Mchinga kapita mama Salma Kikwete pekee hana mpinzani. Jimbo la Chalinze kapita Ridhiwani Kikwete maana hakuna aliyejitokeza kuchukua form. Hakika huu ni uthibitisho kuwa hawa wabunge waliwatumikia wananchi wa...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Salim Kikeke mbunge mtarajiwa wa Moshi Vijijini anauliza Jina la Mwenyekiti wa Tawi lake Jumuia ya wazazi CCM!

    Huyu mtu, ni mgombea hewa,kwani hajui kiongozi hata mmoja ndani ya Jimbo aliloomba kutia nia,ila ameteuliwa. Kuanzia shina,tawi, Kata na hata Jimbo,hafahamu mtu hata mmoja na hatujui kura atazipsta kutoka wapi.
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Bagonza: MKEKA WA CCM, Mashaka ni Mengi Kuliko Matumaini

    Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook. ==== MKEKA WA CCM: Mashaka ni Mengi Kuliko Matumaini. CCM ni kama Marekani. Uchaguzi wake unawala macho hata wasiohusika. Leo mkeka umeshangaza watu. Mimi nimejikaza na kufanikiwa kutafakari haya: 1. Waliokatwa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Njoo tupate elimu juu ya uhalisia wa hatua za mchakato wa upatikanaji wa mgombea ubunge na udiwani ndani ya CCM

    Salaam Wengi wetu tumekuwa tukishindwa kuelewa hatua za michujo anazopitia mwanachama wa CCM kuanzia kuchukua form hadi kula za maoni na kuchaguliwa mtu mmoja kama mgombea wa jimbo au kata fulani. Tafadhari kama unauelewa juu ya hili share nasi hatua moja baada ya nyingine hasa utaratibu mpya...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua CPA Charles Mhando Njama Kaimu Meneja Mkuu wa Barrick Tanzania, kuwa mmoja wa wagombea wa nafasi ya Ubunge Korogwe

    Jina: Charles Mhando Njama Cheo: Kaimu Meneja Mkuu – Barrick Tanzania Utaaluma: CPA (NBAA), MBA – Mzumbe University Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo: Korogwe Mjini Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua rasmi CPA Charles Mhando Njama, Kaimu Meneja Mkuu wa Barrick Tanzania, kuwa mmoja wa...
  9. JamiiForums Tanzania Hayo maumivu mnayopitia mliokatwa majina huko CCM ndio maumivu tunayopata kwenye aviator

    Ila aviator haina huruma
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Masuala ya Mazingira na sakata la Ngorongoro huenda lilipelekea wabunge hawa kukatwa na kamati kuu

    Wakuu, Nimeona Kamati Kuu ya CCM imewakata hawa wabunge wawili ambao ni kutokea Arusha Wabunge hao ni Emmanuel Ole Shangai kutokea Ngorongoro pamoja na Christopher Ole Sendeka kutokea Simanjiro Ukiangalia hawa wabunge walikuwa very efficient kwenye ile issue ya Ngorongoro na namna ambavyo...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Samia, CCM na wanasiasa sio wa kulaumiwa!wapo wanaopaswa kulaumiwa juu ya haya yanayotokea!

    Ni rahis kusema CCM inaharibu nchi,Samiah kafanya vile pia wanasiasa wanafanya bike ndio maana tumefika hapa! Kabla samiah hajashika madaraka Tanzania ilikuwepo,kabla ccm haijaanzishwa mwaka 1977 Taifa lilikuwepo,na kabla mwingine hajawa rais was nchi atakuta Taifa liitwalo Tanzania lilisha...
  12. JamiiForums Tanzania CCM inakubali kuendeshwa kihuni

    Mambo ya ajabu kabosa yanaendelea. Yaani Bashite na yeye amegeuka kuwa Godfather ndani ya CCM kiasi cha kutuma na kusimamia majina ya watu wake mbalimbali kupitishwa ikiwemo Kigamboni, Kawe, Nyamagana na kwingineko...serious kabisa hawa wazee wamezidiwa na Bashite na mfumo unaangalia na kukubali...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Familia ya Kikwete, Samia na Mwinyi ndiyo CCM wengine wote machawa

    Familia ya Kikwete, Samia na Mwinyi ndiyo CCM wengine wote machawa . Kama unasifia sifia na hutaki No reform no election endelea lakini ukweli ndiyo huo
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Tulifatilia Majina ya Wateuliwa CCM ili kuona Hatima ya Maisha ya Kisiasa ya Wakosoaji wa Rais Samia , ameendelea kudhihirisha Hana Uwezo

    Chawa wa Mama naona wanafanya ionekane CCM ni chama Kikubwa !! La hashaa !!. CCM ni chama kilichojifia, kilichochokwa na watanzania na Kipo kwenye Hatua ya mwisho ya Kifo chake , CCM hakuna namna yoyote Ile ya kufanya kiwe hai mioyoni Kwa Wananchi. In fact, Watu wamechoka tu kuongozwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Miamba ya CCM iliyotemwa kwenye ubunge, ikihamia chama kimoja cha upinzani italeta change of regime?

    1. January Makamba 2. Kassim Majaliwa 3. Humphrey Polepole 4. Josephat Gwajima 5. Luhaga Mpina Tukumbuke, vigogo hawa wametemwa na CCM ubunge 2025 kutokana na misimano thabiti isiyotetereka na isiyo na uoga na mtu yeyote.
  16. JamiiForums Tanzania Masikini Byabato ametupwa kabisa Bukoba aliponzwa na makundi ndani ya CCM

    Huyu dogo BYABATO alikuwa ni kijana kichwa sana pale mjengoni. Wana BUKOBA alikuwa na mbunge mwenye uweledi sana kuanzia maisha ya Elimu na heshima kwa jamii. Lakini akakutana n a wabunge mapapa hasa pale alipo kuwa kwenye unaibu waziri chini ya January pale Nishati. Leo hii masikini uteuzi...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Kada wa CCM ageuka mbogo sakata la uteuzi wa wagombea ubunge, majina hayakufika Dodoma

    https://youtu.be/BhcymOXCtEM Kamati kuu ya Chama wajaribu kurudia na kutazama upya mchakato wa kuteuwa wagombe wa Ubunge hususani kutoka Jimbo la Meatu ili haki itendeke zaidi. Ambapo viongozi wa chama waje Jimbo la Meatu wasikilizeni wananchi kilichokuwa kinafanyika, ambapo viongozi wa chama...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Vigogo wa CCM Waliopita bila Kuwa na Wagombea wenza ndani ya chama au bila kupingwa mchujo wa kuwania Ubunge uchaguzi mkuu 2025

    Hawa ndiyo Wabunge waliopitishwa bila kupingwa kuwania kuwania ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwa hawakuwa na wapinzani wowote kutoka ndani ya chama hicho. Wamepitishwa moja kwa moja kutokana na kukosekana kwa wagombea wengine waliotia nia katika...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Muinja Maingu: Nimeridhika Na Uteuzi, Nitabaki CCM

    Mwanachama wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Muinja Maingu, amesema ameridhishwa na mchakato wa uteuzi uliofanywa na chama hicho kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao, akibainisha kuwa ataendelea kubaki ndani ya CCM na kuunga mkono maamuzi ya chama. Akizungumza mara baada ya kutangazwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…