Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Aliyewahi kuwa Katibu wa Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole, aliwahi kunukuliwa akisema kuwa mtu akiwa amenyooka kama rula ndani ya CCM, akimaanisha kuwa mtu wa kufuata maadili na taratibu, basi ni vigumu sana kutoboa (kufanikiwa) ndani ya chama hicho.
Polepole alisema hiyo...
Moja kati ya tabia ya uanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM ni unafiki hasa wale viongozi wa juu ikitokea Rais aliyekuwepo madarakani analipendelea tabaka fulani basi humkingia kifua na kufumbia mabaya yake ila akija rais mwengne akiwatenga au kua na sera tofauti na zao wananza kukukosa kudhihaki...
Pamoja na uhovyo wao CCM Kuna kitu kimoja wamefanya vizuri sana. Kubalance suala la dini kwenye chama chao. Watu wa dini zote wanaweza kujiona ni Wana CCM bila tatizo. Nchi yetu ni ya kipekee sana. Wakati mataifa mengi ya kiafrika Yana siasa za ukabila na ukanda sisi hilo hatuna. Ila Kuna mizani...
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo Janeth Rithe amesema Chama chao kimedhamiria kushiriki uchaguzi na kulinda kura zao kwakuwa wana dhamira ya dhati ya kuwatumikia watanzania kwa kuborsha elimu ambayo kwa sasa inatolewa kwa matabaka
Soma pia...
CHADEMA NJOONI MBISHE KAMA HAMJAPEWA PESA ZA NO REFORMS NO ELECTION NA SERIKALI YA CCM.
Rais Samia ameliwezesha Baraza la Vyama vya Siasa kufanya mikutano sita (6) na baraza hilo kutoa mawazo na ushauri uliowasilishwa Serikalini na kufanyiwa kazi.
Kufuatia mashauriano yaliyowahusisha wadau...
Kiuhalisia mwaka huu Rais Samia Suluhu Hassan ametimiza miaka 10 ya mihula miwili ya awamu ya tano yaani 2015-2025 ambapo hayati John Magufuli alifariki mwezi March 2021.
Lakini kilofanyika Dodoma miezi michache ilopita katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kilikuwa ni kumtangaza rais Samia...
Kama mwanachama wa chama cha upinzani, nimekuwa nikifuatilia kwa makini mwenendo wa siasa ndani ya vyama vyote, si kwa ajili ya kushangilia mapungufu ya wengine, bali kwa kutambua kuwa mustakabali wa Taifa letu hutegemea afya ya kisiasa ya kila upande.
Hivyo basi, matukio yanayoripotiwa kutokea...
Unafaidika na kanga? Baiskeli na Tisheti? CCM imekosa muelekeo.
Tumuunge mkono shujaa wa Tanganyika Tundu Lissu Antipass tupate mabadiliko ambayo yataleta ustawi wa taifa letu
Akizungumza leo Julai 14, 2025 na wanachama wa chama hicho, Kaimu Katibu Mkuu wa Bara, Benson Kigaila amesema mabadiliko yanayohitajika yatapiganiwa wakiwa bungeni badala ya kukwepa uchaguzi na kuiacha CCM kuendelea kuongoza.
Amesema bila kuingia katika uchaguzi Bunge litabaki kuwa la CCM...
Mkuu wa Wilaya ya Lindi- Bi Victoria Mwanziva amekabidhi magurudumu (Matairi) kwa ajili ya gari ya Chama - CCM Wilaya ya Lindi Vijijini- katika kuunga mkono jitihada na kazi nzuri inayoendelea kufanywa na Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Lindi Vijijini inayohudumia Jimbo la Mtama- Halmashauri ya...
Salaam!
Kwa andiko ulilloandika Jana Mh Polepole, ni dhahiri kuwa, watanzania tumekusamehe madhambi yako yote ikiwamo Ile ya kuturingushia v8 tulliyokununulia kwa pesa zetu.
Baada ya Mh Gwajima,Mpina,Padre Kitima,Lissu, sasa ni zamu yako ndugu Pole Pole, ujasiri huu ni mkubwa,tunakupongeza...
Tunajaribu kugombana na:
1.wasukuma kupitia kwa askofu Gwajima na Mpina .kabila hili ni hatari , umoja wao na kwa wingi wao.na sasa amekuja POLEPOLE tunaanza kumjibu kwa kejeli ? hapa tunakosea .afadhali kunyamazi kuliko kuongea .
2.Taasisi za dini kupitia Askofu GWAJIMA na KKAM ,na TEC ...
GT
CCM minds zao ziko corrupted kiasi kwamba hawawezi kuona hatari mbele hata mambo madogo madogo..huku kwenye social media watu wenye Ubongo wao na kuoana mbali ndo wamejaa siyo hao wachunga ng'ombe mnaowakusnaya majukawaani kwa malori.
Mpaka dakika hii huwa najiuliza hii NRNE ina mwaka mzima...
Ni dhahiri shairi kuwa kuna fukuto kubwa linaendelea ndani ya chama tawala ambalo ni kero kubwa kwa wanachama wao wengi.
Jambo la kufurahisha na kutia moyo ajenda kubwa ya chama kikuu cha upinzani CHADEMA ya No reform no election imeingia kwa kasi ya mwendo wa Ngiri katika jumba la kijani...
Katika mfumo wa siasa za Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina nafasi muhimu katika mchakato wa uteuzi wa wabunge. Mfumo huu unatoa picha ya jinsi siasa za nchi zinavyoweza kuathiriwa na muundo wa chama, hasa katika muktadha wa uwakilishi wa wananchi. Katika mchakato huu, kamati za siasa za...
CCM imepasuka, ndani ya Chama sio wote wanafurahishwa na yatendekayo. Mama mpendwa wa Lucas Mwashambwa (huyu kijana anampenda Mama Abduli kuliko anavyompenda mama yake mzazi aliyepo Ihanda kule Mbozi) amekuwa akiwatesa wapinzani wake wa ndani ya Chama na wale wa nje ya CCM.
Tumeona...
askari
askari polisi
ccm
diwani
dola
halmashauri
hata
hawataki
ibada
jeshi
jeshi la polisi
katiba
katiba mpya
kuzuia
kwenda
mpya
muhimu
mungu
polisi
rais
rais samia
samia
simu
uenyekiti
ufufuo na uzima
ushahidi
wanandoa
waumini
Kwa kweli kujiuzulu kwa balozi Humphrey Polepole kumeishtua CCM lakini zaidi sana kimemshtua mwenyekiti wa CCM na rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
Kujiuzulu kwa balozi Polepole kumetokea wakati ambapo serikali ya Tanzania inashutumiwa ndani na nje kwa kukandamiza haki za raia.
Tayari...
Ushaghalabaghala wa mambo ndani ya CCM , ni kama tafrani inayotokea pale kipofu anapokuwa akimuongoza kipofu mwenzie kuipita njia Mpya.
Na ndiyo maana watu wengi ndani ya CCM wanaishi kwa staili ile ya "ukila na kipofu usimshike mkono".
CCM wanauishi ule msemo wa kiafrika kuwa uruhusiwi...