1. Maridhiano ya kweli au maigizo ya kisiasa?
Tumekuwa tukisikia kauli za “maridhiano” kati ya CCM na CHADEMA, lakini ukitazama Kwa makini vitendo vinavyoendelea, ni vigumu kuona dhamira safi ya hizo kauli za maridhiano.
Serikali hii hii inayosema inaleta amani na maridhiano, ndiyo hiyo hiyo...