ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Maswali ya Msingi kwa Mgombea Urais, Wabunge na Madiwani wa CCM Wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu 2025

    Watanzania tunapaswa kutumia kampeni hizi kuuliza maswali ya msingi kwa viongozi wanaotaka kutuongoza kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tunahitaji majibu ya kweli, siyo ahadi za maneno matupu. Zifuatazo ni baadhi ya kero ambazo zimekuwepo kwa muda mrefu, lakini viongozi waliopo madarakani...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth Singh katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Uchaguzi Mkuu 2025

    Mfanyabishara na Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth akiwa katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuchangia fedha za Uchaguzi Mkuu
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Mtwara: Wanachama wa CCM Kata ya Namwanga wamkataa diwani aliyeongoza kura za maoni

    Wanachama wa CCM Kata ya Namwanga, mkoani Mtwara wamekutana na kuazimia kumkataa diwani aliyeteuliwa katika uchaguzi wa kura za maoni. Hatua hiyo imefikiwa baada ya vikao vyao vilivyofanyika katika kijiji cha Nakalola, wilayani Masasi ambapo wameeleza hoja zao za kumkataa mteuliwa huyo.
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Ikulu ya Tanzania: Mmeshindwa kutenganisha CCM na Serikali?

    Wakati sina shida kabisa na CCM kufanya fundraising, napata changamoto kuelewa Mamlaka za nchi zimefikiria nini kuruhusu hili kutokea. Kwanini akaunti za Ikulu zitumike kwenye shughuli za kisiasa? Hivi ni kwamba tumefika huku kweli?
  5. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje ? Upande mmoja CCM inagawa baiskel bodaboda na bajaji na upande mwengne inaomba kuchangiwa hela za kampeni

    Hii imekaaje au ina maana gani CCM inagawa baiskel, bodaboda vitenge kanga na zawadi nyengine kwa watanzania. Ila cha kushangaza pia inaomba mchango wa hela za kampeni billion 100.
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Harambee ya kuchangia kampeni za CCM 2025, Mlimani city (CCM gala dinner 2025) wamekusanya Bilioni 86.31

    https://www.youtube.com/live/Kl7JY-zdy0c?si=TWJ9NKMmXZrdQII6 Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Mlimani City jijini Dar Es Salaam ambapo leo tarehe 12 Agosti 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinafanya harambee ya kuchangia Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wawakilishi, Wabunge na...
  7. JamiiForums Tanzania Wasanii Wajitokeza kwa Wingi Uzinduzi wa Harambee ya Kuchangia Kampeni za CCM Mlimani City

    Wasanii kibao kutoka tasnia mbalimbali wakiwasili Mlimani City jijini Dar es Salaam kunakofanyika uzinduzi wa harambee ya kuchangia kampeni za CCM kuelekea uchaguzi mkuu.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Samia na CCM wanajiandaa kutumia Billion 700 na Billion 100 ya CCM kutanua wakati wa kampeni

    Wakati wakandarasi hawalipwi na wanalazimika kulipa 10% hata kama pesa imechelewa serikali na Mama Samia wanajiandaa kutanua wakati wa kampeni na chama cha ubwabwa Wamajiwekea buget ya kutumia Billion 700 na Billion 100 ya CCM pekee. Kati ya pesa hizi vyama sindikizi vitasaidiwa
  9. JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere na wenzake waende Stand Up Comedy; kama walimshindwa Lissu CHADEMA wataiweza CCM yenye Dola?

    Hamjambo! Unajua kuna watu wanadunia ya peke Yao. Hasa kwenye hawa Vituko Show, au Futuhi. Kina Yericko Nyerere na wenzake ni watu wenye vipaji bora sana katika ufutuhi na standup comedy. Coy Mzungu ni vile hajawaona. Lakini nina uhakika wananamba Pale Cheka Tuu. Hasa Yericko namwona kama mtu...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 RC Kihongosi aongoza Wananchi wa Arusha kumdhamini mgombea Urais wa CCM, Dkt. Samia

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Kenani Laban Kihongosi leo Jumanne Agosti 12, 2025 amewaongoza wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Arusha kujitokeza kwenye Ofisi za Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Arusha, kumdhamini Mgombea Urais wa Chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni...
  11. JamiiForums Tanzania CCM walisambaza BAISKELI na PIKIPIKI Nchi nzima ili waje kukusanya hela kwa Wananchi hao hao

    Ngoja nianze na moja ya habari kutoka Wilaya Mpwapwa. Week mbili nyuma kama sio tatu ndugu Makalla alikuwa Wilaya ya Mpwapwa,watu walikuja kutoka pande zote za vijiji kwa kubebwa na Malori. Walifika na kurudi bila ya kitu chochote lakini kubwa lilikuwa kwa wapiga ngoma walikuwa 22 baada ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kama CCM hawatatimiza Bilioni 500 kwenye harambee yao nipigwe ban ya maisha

    Hello! Mimi sina chama, wala siwezi kumshabikia mwanadamu anayekufa na kuoza ingawa kwa baadhi ya circumstances huwa nakuwa upande wa mtu fulani au kundi fulani. Mfano, Kwenye issue ya huyu Polepole tapeli wa kiasiasa lazima niwe upande wa Samia. Turudi kwenye mada. CCM inafanya harambee...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Picha: CCM aidha inakosa watu wenye akili wakaishauri au inaona Watanzania hawana akili

    Katika haya mawili. Moja ni sahihi. 1. CCM haina au haitumii washauri wenye akili imeamua kuongozwa na wasio au wenye akili ndogo. 2. CCM imegundua watanzania wengi hawana either au hawatumii akili
  14. JamiiForums Tanzania Je, 2025 CCM itafanikiwa tena kama ilivyozoea kulaghai watanzania wote 2+2=5?

    JE, 2025 OCTOBER 2+2=5? Kuna wakati huja katika kila ustaarabu unaokaribia kufa ambapo watu wanalazimishwa kupiga magoti mbele ya uongo. Wanaambiwa waukariri, wauidhinishe, wauamini, si kwa sababu ni kweli, bali kwa sababu mamlaka yanataka hivyo. Hapo ndipo Tanzania tulipo sasa. Tunaishi...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tumuulize H. Polepole, Nini kinafuata baada ya CCM kushupaza shingo?

    Mimi niko na wewe ( at least kwa hili, ingawa wakati wa Magufuli hukuonesha uzalendo huu), sasa tunatokaje kwenye mkwamo huu? My suggestions: 1. Weka page yako ya inbox ambapo unaweza kupata mawazo na mbinu za kwenda mbele....mbinu za vita haziwekwi hadharani 2. Tumia influence ya ubalozi wako...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Mpina siyo katoka CCM, kafukuzwa, akufukuzaye hakwambii toka

    Wakuu Seleman Bungara (Bwege), aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, amefunguka kuhusu Luhaga Mpina, mgombea wa Urais kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, akisisitiza kuwa “Mpina hajatoka CCM amefukuzwa CCM” ,
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Hakika Lissu ndiye ataweza, Mbowe hakutegemea hiki

    Amani muswano mtanzania. Katika jambo nililojiuliza ni moja, kwa nini Lissu?. Nimepitia mijadala mingi na kujipa jibu, kwamba kumbe hatukuwahi kuwa na kiongozi wa kisiasa anayetaka kuiondoa CCM kiringeni. Wote hawa ni sinema tu. Siku Lissu alipovaa jacket la kuzuia risasi nikaelewa, siku...
  18. M

    JamiiForums Tanzania CCM tuambieni hivi mnaenda mbele au mnarudi nyuma?

    Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 tuliambiwa ccm ni tajiri haitapigia magoti wadau kuomba pesa za kufanikisha uchaguzi na ni kweli mpaka uchaguzi unaisha hatukuona kiongozi wa CCM akiita waandishi wa habari kuomba msaada lakini baada ya miaka 5 (2025) tunaambiwa ccm haina hela za kufanikisha mchakato...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Doyo Hassan: Matarajio yangu ni kuiangusha CCM

    Mgombea Urais kupitia Chama cha National League for Democracy, Doyo Hassan Doyo Akizungumzia Moja ya Sababu Iliyomfanya Agombee Kiti Cha Urais na matarajio yake ni kuiondoa CCM madarakani Soma Pia: Mgombea wa nafasi ya urais kupitia chama cha (NLD) Doyo amefika kuchukua fomu akiwa na Bajaj
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Siasa za CCM Mafia zinazidi kuwaka moto

    HUKU vikao vya Chama ngazi ya Mkoa vikiendelea kwa ajili ya kufanya maamuzi ya mwisho kwa Wagombea Udiwani na Ubunge, siasa za Kisiwa cha Mafia zinatajwa kuwa moto. Pamoja na ushindi wa Omar Kipanga katika kura za maoni bado kunaonekana kunafukuta chini kwa chini huku maamuzi ya mkoa yakiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…