ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Sisi hatuendi na 'Tone Tone' tunamimina Fedha

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Wilaya ya Kondoa kuendelea kuamini chama hicho kwa kuchagua wagombea wake kuanzia ngazi ya urais, ubunge hadi udiwani, na kwamba chama hicho hakiendi na “tone tone,”...
  2. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 The Chanzo, Crown Media na Mwananchi wamechapisha kuwa'RC Mtaka anashirikiana na Denis Ekwabi kuihujumu CCM, Ukabila wahusishwa'

    Wakuu ==== Kuna ukweli wa taarifa hizi?
  3. JamiiForums Tanzania Anayeijua nguvu ya CCM, Hawezi kupoteza muda kujibizana mitandaoni

    Mara nyingi huenda sieleweki kwenye baadhi ya misimamo ninayoichukua hususani kwenye mambo ya kitaifa ya kisiasa. Mathalani mambo yanayolalamikiwa na wapinzani wa CCM. Uzoefu wangu wa siasa za CCM, kwa yale niliyoyaona kwa macho, CCM haitegemei siasa za majukwaani hata kidogo kushinda uchaguzi...
  4. JamiiForums Tanzania MBIO ZA KUINADI ILANI YA CCM BUKOMBE KUANZA SEPTEMBA MBILI

  5. JamiiForums Tanzania Leo "Live" za mikutano ya kampeni ya CCM huko mitandaoni hazifikishi hata Viewers 100

    Ingekuwa wanaweza kusomba viewers kwa mabasi huko kwenye social networks hakika wangefanya ivo kama wanavyofanya huko mitaani. Hali ni tete, ukiunganisha viewers wa media zooote kwenye social media zoooote huenda wasifike hata 500 tu.
  6. JamiiForums Tanzania Mapokezi ya mgombea urais CCM Kibaigwa-Dodoma

    "Kibaigwa tumeshuhudia historia ikijengwa—umoja na maendeleo mbele kwa mbele! ✊🌍
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Picha hii ni nyomi iliyosombwa na Malori kwenye kampeni za CCM Morogoro

  8. H

    JamiiForums Tanzania Kama kweli novena na albadili vinanguvu kwanini visitumike kuitoa ccm kwenye madaraka,kuondoa mafisadi,nk?

    WaTanzania na waAfrika kwa ujumla ufike wakati bongo zifanye kazi inashindikana nini kutumia novena na albadili kuisafisha Tanzania na Afrika? Fanyeni basi huo ujinga wenu watu waondokane na ccm,ufisadi,maradhi,wauaji,wizi,nk. Mapadri,masheikh,wachungaji,maaskofu,mapapa,manabii,nk wanakufa na...
  9. JamiiForums Tanzania Mgombea wa CCM hajawahi kutamka neno Rushwa au Ufisadi. Watanzania kuweni makini

    Watanzania. Kuweni makini. Huyu mgombea wa CCM hajawahi kutamka neno rushwa na ufisadi uliokithiri katika nchi yetu. Mnakwenda kumchagua ki vipi? Wote Hawa mgombea na mwenza wake wamechora ramani. Ndo maana msamiati wa ufisadi haupo kwenye vinywa vyao na hata kwenye ilani yao. Sasa mjiulize...
  10. JamiiForums Tanzania CCM Kufanya uchaguzi bila CHADEMA ni kujitekenya na kujichekesha

    Hii nchi washaifanya kama ya bibi yao, ila kweli Lissu fundi na kiboko yao...CCM wanajua huu uchaguzi sio mkuu bali uchaguzi wakiduwanzi kuwahi kutokea.... Sijui watashangilia kuwa wameshinda uchaguzi kutoka kwa nani!? Yaani wamemshinda mpinzani gani!? Hili ndo linawauma ccm na Lissu kapiga...
  11. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua nguvu ya CHADEMA fuatilia Kampeni za CCM

    Iwe ni moja kwa moja ama kwa mafumbo, utagundua kuwa ingawa CCM imo kwenye uchaguzi inashindana na vyama vingine, lakini wana CCM wenyewe wanajua msindani wao halisi ni CHADEMA. Fuatilia hotuba zao na jitihada wanazofanya ionekane mgombea wao anapendwa kwa kusomba watu na kupeleka kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Hata kama wakishinda uchaguzi Polepole ameanika wazi uchafu wa CCM

    Njama za kumuua hayati JPM Makada wa CCM kuhusika na ufisadi. Mfano Angela Kiziga. Kuporomoka kwa maadili Wizi wa kura kupitia Inec na Nida Ukweli ni kuwa CCM imechafuka amidst election campaign
  13. JamiiForums Tanzania Kamba za Polepole: Kama Membe alipatikana na hatia za kupanga kumuua Magufuli, kwanini hakushtakiwa kwa kosa la jinai, akafukuzwa tu CCM?

    Pole pole anadai membe alipatikana na tuhuma hizo nzito, tena dhidi ya JPM ambaye alikuwa hafikiri mara mbili. Eti kwamba alipanga kumuua, imagine upange kumuua JPM, ajue halafu akufukuze tu CCM akuache mtaani wakati Ben Saanae aliuliza tu kuhusu PhD pole pole akamuondoa juu ya uso wa nchi Pole...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Huenda CCM ndio Chama Cha siasa kinachopendwa zaidi Duniani kwa sasa

    Huu ni uchunguzi wangu huru Kwa sasa Kwa kuangalia Ratio kati ya Idadi ya watu kwenye nchi dhidi ya chama Cha siasa kinachoongozwa kwa kupendwa. Sasa na wewe uko huru kufanya utafiti wako ila ukweli CCM is the most current Loved Political Party in the World.
  15. JamiiForums Tanzania CCM waliponunua mabasi sikuwaelewa, Sasa nawaelewa

    CCM waliponunua mabasi nilishangaa Sana, maana sikuelewa kama wanataka kuanzisha kampuni ya usafirishaji au vipi!? Kumbe wenyewe walijua kuwa wakati wa uchaguzi watahitaji kusomba watu na kuwapeleka kwenye mikutano yao. Kwingine nimeona mpaka treni zimetumika kubeba watu. Sijui ni wangapi...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Hivi CCM hawaoni aibu jinsi kampeni zilivyopooza halafu hakuna anayefuatilia?

    Kweli binadamu akilitaka lake jambo huwa haoni aibu. Hivi CCM mmekosa kweli washauli, heri mngebaki na uzoefu wenu wa kuiba kura lakini siyo kwa kampeni mnayoifanya isiyokuwa na mvuto, yaani mmechokwa mnajaribu kujilazimisha kucheka nafsi inawasuta, hamna furaha, uchaguzi umepoa, hakuna...
  17. JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM wakikutana na Polepole kitatokea nini?

    Nawaza jinsi ninavyoziona hasira za vijana wa CCM dhidi ya Humphrey Polepole, Hawa vijana kwa bahati mbaya wakutane na Polepole mtaani, kitatokea nini?
  18. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Actually, to be sincere, hata wagombea wote wa CCM kwa nafasi za Ubunge/udiwani hawana ushindani wa kupoteza resources as long as Chadema haipo

    Mshindani wa kweli ni chdema. As long as chadema haipo, basi hakuna mshindani wa nguvu. Hawa wengine ni mpango wa kando ambao hauna nguvu kwenye ndoa kisheria na kimila...ni mdabwada so to say!
  19. JamiiForums Tanzania Mnapozima Internet, Wanaoteseka ni nyie CCM. Watoto wa Kambo tuna VPN🤣

    Nashauri wahusika waache kunajisi Ofisi za Umma. Matumizi mabaya ya madaraka. Yaani kichaa kapewa rungu.. Ofisi za Umma waosimamia Tehama hawana hekima wala utu. Mnakata internet ili wananchi wasojue kinachoendelea. Matokeo wanaoteseka ni CCM wenyewe na Wananchj wasiojua nini I mnafanya...
  20. JamiiForums Tanzania Ndugu Polepole, kumbuka kuwa Mwana CCM kumpinga mgombea wa CCM, unaitwa USALITI

    Ukweli waweza kuwa mchungu, lakini ndio ukweli hata kama hatuupendi. Na ukweli mchungu mojawapo kwa Balozi Polepole na wenzake, ni kuwa Dr. Samia ndio mgombea wetu wa urais. Mwalimu alituasa wana CCM, kuwa akishapatikana mgombea wa CCM, wana CCM wote lazima tumtetee. Katiba ya CCM imeenda mbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…