ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Battle Kali: KUTIKI vs MAANDAMANO. Hakuna CCM vs CHADEMA tena, ni CCM vs Maandamano

    Nature acha iitwe nature. Kama ulishawahi sikia dunia hii ina kitu kinaitwa "Natural Laws of the Universe" ndiyo hiki sasa. Kwa ground battle ni kali sana la Oktoba Tunatiki vs Oktoba Maandamano linaendelea nchi nzima. Siku zote Universal Phenomena ikikosa balance, basi nature inajiamulia...
  2. JamiiForums Tanzania Gen Z Tukiamua CCM na police wao ni Wepesi sana. Huwezi kupambana na umma kwa risasi ukashinda hata siku moja

    GT. Wazungu wanasema "You can't defeat the mass" umma ukiamua we mtawala dharimu lazima ukubali kuchutuma maana umevuliwa nguo na hutakiwi kuwa na hasira. Sasa Police wetu huwa wanajisibu kwamba eti kama kuna mtu anataka.kufa ajitokeza kufanya vurugu.ah ha 😄 😆 huwa nawaangalia nawashangaa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani havikuanzishwa vije kupambana na CCM

    Wakuu Jana ndiyo nimekutana na mtu nyeti kwenye taasisi ya kulifanya taifa kuwa salama katika mazishi kijiji kimoja Kule Kilimanjaro Kulizuka malumbano wengine tunatiki wengine tunatoka Kama kawaida yangu mimi nikasema sitiki na sitoki na huu ndiyo msimamo wangu mda wote yule Mwamba...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kashakari: Nitahakikisha Kigoma kusini mnapata daraja Mto Malagarasi na Barabara ya lami

    Ahadi tulizozoea kusikiliza tukidanganywa kama hatuna fikra na kubaki kuwa ndoto kwa wananchi kutoka kwa wabunge wa Chama cha Mapinduzi zinaendelea kwenye Kampeni Kigoma Kusini ----------- Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini kupitia CCM, Nuru Kashakari maarufu Kandahari, amesema...
  5. JamiiForums Tanzania Butiama ya Mwl Nyerere iko ziwani lakini Maji hawana, Hadi Hospital Mpya ya Wilaya Haina Maji, Ikataeni CCM, Msishiriki Uchaguzi

    Nyinyi WATIAMA, Niambieni Baada ya Hayati Magufuli Kufa, kitu gani Samia kawafanyia?. Barabara ni Magufuli. Hospital ni Magufuli. Ujenzi wa Chuo Kikuu ni Magufuli. Magufuli angalau alijitajidi sana, angekua hai Maji yangekuwepo 24hrs. Miaka Minne ya Samia, Hata Maji safi na Salama yamemshinda...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: CCM inamuogopa Mpina na sababu walikuwa nae ndani ya chama chao

    "Mnajua kwamba tunapambana kwa ajili ya mgombea wetu wa urais, kesi inaendelea. Tunatarajia hivi karibuni tutapata maamuzi, na sisi tumejiandaa kesi itakapokishwa tu. Hata kama zimebaki siku kumi, tutatumia hizo hizo kuendelea kutafuta kura, na tunafahamu Chama cha Mapinduzi kinamuogopa sana...
  7. JamiiForums Tanzania Haiwezekani wananchi wanapata tabu na adha kubwa sana ya usafiri halafu CCM inanunua mabasi ya gharama

    Haiwezekani wananchi wanapata tabu na adha kubwa sana ya usafiri wa umma kisha chama ambacho kinajinasibu kipo kwa ajili ya kusaidia wananchi kinanunua mabasi mengi kwa gharama kubwa huku wananchi wakiteseka na usafiri wa umma. This has to end OKTOBA 29 MAANDAMANO
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM waja na tamthilia (bongo muvi) ya kusifia serikali ya Samia, kweli vuguvugu la maandamano linawanyima usingizi!

    Wakuu, Kuna tamthilia imeanza kurushwa Septemba 30, 2025 ambapo waliachia episode ya kwanza. Tamthilia hiyo inaitwa Hatua na kama kawaida wasanii chawa ndio waliyoipamba tamthilia hiyo. Kwenye episode ya kwanza wanaonesha maendeleo yaliyofanywa kwenye sekta ya kilimo, na jinsi wakulima...
  9. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chalamila: ‘Hatuitaki CCM, hatumtaki mama’ ni hasira za muda mfupi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila ametoa wito kwa watanzania kuwa wavumilivu kwa changamoto ya uchache na ubovu wa mabasi ya mwendokasi kwani changamoto hiyo inakwenda kupatiwa ufumbuzi muda si mrefu. Ameyasema hayo leo Oktoba 1, 2025 alipofanya ziara katika kituo cha mabasi...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Mara nyingi sisi CCM Vijana huwa tunachagua viongozi wa aina hii. Sijui kwanini?

    Nimeona wamekuwa wakijipenyeza sana hawa watu kwenye uongozi miaka ya hivi karibuni. Najua watasema nao ni haki yao lakini inaleta picha mbaya sana kwa jamii. Tukumbukeni yule mama wa Tanga alisema kitu kuhusu hawa watu kuwa wanajiingiza sana kwenye uongozi. Na kwa sasa ndo wanapata sana...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 UWT Arusha tunatarajia kuwa na wanawake zaidi ya elfu 25 katika mkutano wa mgombea Urais CCM Oktoba 2

    Arusha kuna mambo jamaani, hizi bwebwe zote bila shaka anaye ratibu ni huyo mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini Paul Makonda. Naendelea kunoti kitu huyu Makonda kuna jambo lake zito anazidi kulitengeneza kwenye uongozi soon litakuwa rasmi. ================= Hamasa ya mapokezi ya mgombea urais...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM ina pesa nyie

    Jana maeneo ya ubungo zimepita v8 kibao aisee. Afu kilicho nishangaza kuna v8 moja imebeba spika yaan ile ya kupiga P. A gari ya mil 200 inabeba spika inapiga nyimbo za mama hizi ni dharau. hakika pesa mnazo aisee Over.
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Mchungaji Nyuki aiunga mkono CCM kwa wimbo maalum wa siasa

    Naona anajitengenezea maslai yake binafsi huyu! Hana lolote la maana Bora aingie kwenye mafungu ya kuwasaidia waumini wake yeye ndio anahangahika kuwaga! ================= Mchungaji Nyuki amejitokeza kuwa miongoni mwa wachungaji waliotoa mchango wao wa kipekee kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Mvua yamfurumusha mgombea wa CCM kijijini Butiama

    Ulikuwa ni mkutano wa Kampeni na mgombea ubunge wa CCM alikuwa anakampeni apigiwe kura kuwa mbunge . Baada ya Ngoma nyingi za utamaduni spichi zikaanza. Akafika kada mmoja kuongea. Nimeshasahau alisema nini, lakini alikuwa tu anafungua mkutano anawakaribisha wote. Halafu akaja huyu kada...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 JK ni CCM na CCM ni JK mnakata aseme nini na yuko Kwenye kampeni za CCM?

    JK anaeleweka ccm ni JK na yupo kwenye kampeni za CCM mlitegemea atasemaje?
  16. S

    JamiiForums Tanzania Haya yanayoendelea nchini kwanini tusiikatae CCM?

    Habari zenu Greate Thinkers, Naomba kutoa wito wa kukataa kusifungua/kuzisoma/kuzitolea maoni mada zote zinazoihusu ccm, kufanya hivi ni njia moja wapo ya kuonesha CCM kwamba hatuwakubali na sera zao. Fikiria wanaendelea na kampeni zao kwa raha zao familia zao lakini wamesahau kwamba sisi...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM na ahadi za kiini macho

    Kilichoshindikana siku 1000 kitawezekana siku 100?
  18. JamiiForums Tanzania Tarehe 29 ni mwendo wa Nepal. Watachagua walinde vituo vya kupiga kura au nyumba za Viongozi wa CCM au barabara za kwenda Ofisi za CCM

    Kati ya maandamano yaliyopangwa vizuri ni haya maandamano ya Tarehe 29 Oktoba 2025 Wanaotutisha kufanya mazoezi watajua wenyewe walinde vituo vya kupiga kura au nyumba za Viongozi wa CCM au Ofisi za CCM au nyumba za Wabunge na Mawaziri au Ofisi za Umma. Enough is Enough Lazima turudishe...
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: CCM Watueleze wamefanya nini Miaka Mitano

    Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amehoji utendaji wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, akieleza kuwa yeye tayari ameonesha dira (vision) yake kwa Ujiji na kueleza mambo ya msingi yanayopaswa kufanyika ili mji...
  20. JamiiForums Tanzania Ukiwa Makini Utagundua kwamba Nyakati zinawalazimisha CCM kuwa wakweli

    GT The world is naked. Hakuna jambo utafanya watu wasijue chaguo ni moja tu uwe mkweli watu wakuamini au uwe muongo watu wakudharau. Ulimwengu huu wa science and Technology kuna vitu vinafaanyika hadi CCM wanabaki midomo wazi wachague moja waache siasa za ujima na stone age. Tofauti na hapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…