ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

    Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni Kata ya Kigamboni, Mtaa wa Feri Wagombea wote wa upinzani Hawajateuliwa. Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Kata ya Mabibo Mtaa wa Matokeo Wagombea wote wa Upinzani Hawajateuliwa. Jimbo la Ubungo, Kata ya Manzese: Mtaa Chakula Bora - Wagombea wote wa...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA ina mbumbumbu kiwango cha SGR, wakihamia CCM wanakuwa Maprofesa

    Imegundulika CHADEMA NA ACT, hawajui kujaza fomu, sehemu za kuandika mwaka na tarehe za kuzaliwa wao wanaandika tarehe na mwaka wahuu wa uchaguzi. Hawajui vitu vingi na CCM imechukua advantage hiyo. Nashindwa kuwa mnafiki ila mbinu za JIWE zimezaa matunda maana anajua A.. Hawezi kampeni za...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Wagombea wote walioondolewa kwa kuonewa haki itatendeka na watarejeshwa kwenye uchaguzi

    Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema wagombea wote wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao wameondolewa lakini wamekata rufaa malalamiko yao yatasikilizwa na haki kutendeka na kama wameonewa basi watarejeshwa uchaguzini. Chanzo: ITV habari Hizi ni habari njema kwa wapinzani ukizingatia ukweli...
  4. M

    JamiiForums Tanzania CCM kwa mnayoyafanya leo hii msije kulalamika

    Sheria za uchaguzi zinavunjwa wazi wazi kabisa na huku ccm mnashangilia. Mwaweza kudhani leo hii kuwa hiki mnachokifanya ni ujanja ila jueni kuwa dunia inatuangalia. Dunia leo hii kama kuna kitu kinatiliwa mkazo ni mahusiano ya kiuchumi. Na katika uchumi hakuna kitu kinazingatiwa kama utawala...
  5. JamiiForums Tanzania Watishie CCM huyu jamaa kila mtu atatoa tamko, na hapa povu litawatoka tu

    Hadi Lugola anaweweseka!! jamaa anawanyoosha balaa Huyu jamaa anawaumiza kichwa hadi leo ***Mtapata taabu saaana***
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kwa kuweka mpira " kwapani" je CCM inakwenda mbele au inarudi nyuma?

    Katika maisha yangu ya kisiasa sijawahi kushuhudia mgombea wa CCM akimkwepa au kukwepeshwa mpinzani wake hata mara moja kuanzia enzi za chama kimoja hadi vyama vingi. Kuanzia ubunge wa mzee Warioba vs Wassira, enzi za Augustino Lyatonga Mrema vs Abdul Cisco Mtiro hadi msimu wa mzee Malecela vs...
  7. JamiiForums Tanzania Kilichoiua CCM hadi kuogopa kushiriki uchaguzi wa vyama vingi hiki hapa

    Kabla Magufuli hajakabidhiwa Uenyekiti wa CCM Taifa , chama hiki kilikuwa mali ya wanachama wake , walijianzishia miradi yao kwenye matawi , walijipatia chochote kwa kulinda magari yaliyolazwa kwenye ofisi hizo , wengine walianzisha miradi ya kupangisha wafanyabiashara kwenye baadhi ya maeneo ya...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mbweni: Chadema yamsimamisha mtoto wa Katibu wa CCM wa mtaa huo anayeishi kwa baba yake kugombea uenyekiti serikali ya mtaa

    Wakati mwingine maamuzi ya Chadema huwa yanashangaza na kufurahisha. Huko Mbweni wilayani Kinondoni jimboni Kawe Chadema wamemsimamisha mtoto wa Katibu wa CCM mtaani hapo aitwaye Kambi kugombea uenyekiti. Kamanda huyo wa Chadema bado anakula na kulala kwa baba yake. Kiukweli nyakati nyingine...
  9. JamiiForums Tanzania CCM acheni mnayofanya kuelekea uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wasalaam, Hii nchi si Mali ya CCM ni Mali ya watanzania wote inashangaza na kusikitisha jinsi CCM mnavyochezea amani ya taifa hili. Ni kwanini mnawanyima form wagombea wa vyama pinzani? Mna hofu gani wakati chama kinapendwa na wadanganyika takribani wote? Kwanini mnaagiza watendaji wa kata...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kwa kutumia dhana ya " product life cycle" kwenye siasa CCM na Chadema ziko katika hatua gani?

    Naomba wataalamu wa masoko mnisaidie maana hivi vyama vya siasa vinajiuza kwa kunadi sera zao nasi tunanunua sera hizo kupitia mfumo wa ruzuku. Mimi siyo market researcher lakini nimeona graph moja ikielezea stages katika product life cycle kama R&D, Introduction, Growth, Maturity na Decline...
  11. JamiiForums Tanzania WanaCCM wote Tarime waliohamia CHADEMA na kupokelewa na Heche warudi tena CCM!

    Siku 7 zilizopita kuna thread ililetwa hapa ikitoa taarifa kuwa wanaCCM wote wa tawi la Kiterere kata ya Bumera katika jimbo la Tarime wamejiunga CHADEMA baada ya aliyekuwa kiongozi wa kijiji kwa tiketi ya CCM kukatwa jina lake katika kura za maoni ya kuchagua wagombea kwa tiketi ya CCM. Thread...
  12. JamiiForums Tanzania Kuisifu CCM kwamba inaleta maendeleo Ni makosa

    Ccm inafaidika na watu wa Aina tatu katika nchi hii 1.Wajinga hapa jumuisha wote walioishia la Saba na wasio jitambua toa wachache. 2.Wanaofaidika na mfumo wa moja kwa moja wa kifisadi wa ccm kwa namna iwayo yote. 3.Wanaoogopa kutekwa na kuwawa kumbuka kwasasa ccm ni chama muumiani Hao ndio...
  13. JamiiForums Tanzania Mamluki washindwa kupenya uchaguzi wa ndani CCM

    Uchaguzi wa ndani wa CCM umewaweka kando wagombea wote waliotoka upinzani. Wagombea wote waliounga mkono juhudi wamejikuta wakishindwa kupenya katika chujio la uchaguzi wa ndani wa CCM na kubandikwa majina ya jebehi kama wakuja, mamluki na nk. Uchaguzi wa wenyeviti unatarajiwa kufanyika mwezi...
  14. JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe sasa rasmi CCM. Huenda akaomba nafasi yoyote 2020 kupitia chama hicho

    Jionee mwenyewe
  15. JamiiForums Tanzania Mjue Raia Muuza mitumba aliyeua CCM Iringa bila huruma

    Ukweli unaozunguka duniani unaonyesha kwamba Ukikataliwa Mjini ni sawa na kukataliwa kila mahali , bali huko vijijini na kwingineko unaweza kulazimisha kukubalika hata kwa kupora ushindi . CCM imekataliwa kabisa Iringa Mjini na vijijini , pamoja na viongozi wakubwa kama Mangula kutokea Mkoa wa...
  16. JamiiForums Tanzania Kama CCM wataendelea na Urasimu huu, wategemee kupoteza mitaa na vijiji vingi!

    Zoezi la kuchagua wagombea kwenye serikali za mitaa kupitia tiketi ya CCM limekuwa ni mizengwe na vurugu za kujitakia ambazo zimesababishwa na kanuni za uchaguzi zisizoendana na mazingira ya sasa. Mipango waliyobuni ya kuchuja majina ya wagombea na kuyatangaza siku ambayo ndiyo zoezi la...
  17. JamiiForums Tanzania CCM oneni aibu kung'ang'ania viwanja nchini visivyotunzwa

    CCM ni chama kikubwa na kikongwe kinachoongozwa na watu wenye weledi mkubwa. Hivyo CCM hakiwezi kufa au kushindwa kujiendesha kama kitarudisha serikalini viwanja vya mpira inavyovimiliki ili vijana wavitumie. Viwanja vinapoteza hadhi na mpira hauchezeki kwenye viwanja hivyo wakati CCM inayo...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Makosa madogo madogo ya CCM yanaweza kufanya mchungaji Msigwa achaguliwe tena hata kama atasimama na RC Albert Chalamila

    Nilishiriki uchaguzi mkuu wa mwaka 1995 mjini Iringa ambapo ilikuwa ni vuta nikuvute kati ya m2alimu wangu wa Kemia Mfalamagoha Kibassa wa Nccr mageuzi na Dr Hassy Kitine wa CCM. Nilichogundua ni kwamba wanyalu hufanya maamuzi mapema na wakishaamua wameamua.. 1995 pamoja na ujio wa Nyerere...
  19. JamiiForums Tanzania CCM kumenoga, Nabii Tito ndani ya sare ya Chama

  20. JamiiForums Tanzania CCM: Tunayataka mataifa yote duniani yaliyoiwekea vikwazo nchi ya Zimbabwe kuondoa vikwazo hivyo mara moja

    Makamu Mwenyekiti wa CCM BARA ataongea na umma juu ya msimamo wa chama na diplomasia ya kimataifa kutokea Ofisi ndogo za CCM - Lumumba. UPDATE Itakumbukwa kwamba Mkutano wa 10 wa Vyama vya Ukombozi vya Kusini mwa Afrika uliofanyika Zimbabwe tarehe9-12 Septemba 2019 uliazimia Vyama kupaza sauti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…