ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. T

    JamiiForums Tanzania Ushindi mnono wa CCM

    1. CCM imepata wabunge wangapi kati ya wabunge wote? 2. Watumnasiri sana, kumbe Jerry hakurudi bungeni, kweli power is transient, tuheshimiane, dunia mapito. 3. Kwa ushindi huu mnono, mbona sioni pongezi zikimiminika? Ukiachia kejeli za Lucas Mwashambwa.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu. CCM yaazimia kujitathmini na kujipanga vyema kubeba dhima ya kuliongoza Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Ameongoza kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kamati kuu CCM yaja na matamko ya dharau

    Hawa watu wametuzoea Watanganyika yaani hawajutii Kwa mauaji waliofanya Wanashindwa kutoa hata kutoa pole
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Vita, hauendi vitani wala kuwasaidia hadi waitoe CCM

    Ikitokea vita na magaidi hatuwasaidia, hatutawatibu, hatutatoa damu zetu, hatutawapa maji ya kunywa wala chakula. Sasa hii ndio hatua tupo, na siku kadhaa mtasikia matukio kama ya MKIRU mengi kuliko mlivowahi
  5. A

    JamiiForums Tanzania CCM wahuni wana bahati sana

    Baada ya haya kutokea nimegundua CCM na genge lake hakuna kitu wananchi tungesema tuwashambulie si dhani kama kuna yeyote ambaye angepona ila walitukana maskini sisi hatuna chochote cha kujisaidia nacho basi acha tuwaite mashujaa ila Next time watakufa wengi sana
  6. JamiiForums Tanzania Watanzania tunalia kwa uchungu lakini CCM katili wapo kimya

    GT. Kwa masikitiko makubwa niwape pole wale wote waliofikwa na msiba pamoja na kujeruhuhiwa katika vurugu za uchaguzi. Vujana walihamasika vizuri tujifunze tatizo moja la kiufundi maandamano bila vurugu yanawezekana ndiyo yatakayotupa matokeo chanya pia itawapa wakati mugumu.hawa wanaotumia...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vigogo Sita wa CCM kuwania nafasi ya uspika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania

    Baada ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kufungua rasmi mchakato wa kuchukua fomu za kuwania nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, vigogo sita wa chama hicho wamejitokeza leo kuchukua fomu, wakionesha nia ya kuliongoza bunge hilo katika muhula ujao. 1.Tulia Ackson Alikuwa Spika...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 CCM mmetuangusha, mmetufedhehesha, mmetutia aibu- kitaifa na kimataifa

    “Asiyesikia la mkuu, huvunjika guu” Uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba mwaka huu umeweka historia ya aibu. Aidha CCM sasa imekiuka madhumuni ya uanzishwaji wake maana , chama kiko insensitive kwa wananchi wake. Kwamba kulikuwa na maonyo, kisiasa ,kuwa kunaweza kuwepo maandamano, CCM ,ilijiweka...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yaanza rasmi mchakato wa kutafuta Spika. Fomu za Uspika Kupatikana Tarehe 3 na 4 Novemba tu

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kufunguliwa kwa fomu za kugombea nafasi ya Spika na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Laban Kihongosi, wanachama wa CCM wenye sifa au wabunge wateule wanaruhusiwa kuchukua...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Ni kweli walishindwa kuona ya October 29? Waliona, wakadharau na kapuuza tu? Waliogopa kumuambia malkia hali sio shwari?

    Ni vigumu kusema kwamba watu wa kawaida wangeweza kutabiri yaliyojitokeza October 29 na takribani siku nne zilizofuatia mbeleni lakini kuelekea siku hiyo tulitegemea wale wanaosifiwa sana na wapambe wao kwamba wana macho kote, kwamba huwa hawalali ili taifa tuwe salama na kwamba hakuna anayeweza...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Sharif Majini afariki dunia kwa kupigwa risasi siku ya uchaguzi

    Inasemekana kuwa kada mtiifu wa CCM sheikh Sharifu Majini alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi. Sina uhakika wa hii taarifa, ila kama ni kweli Mungu ampumzishe anapostahili. Hana haja ya kupewa R.I.P.
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Ushauri kwa CCM, itisheni kwa haraka Mazishi ya Kitaifa. Mtanikumbuka

    Kwa hali ilivyo, miili ni mingi sana, kampeni ya kuiharibu itakuwa mbaya sana sana. Kubalini mmekosea, itisheni Maziko ya Kitaifa, tengeni siku maalum na eneo maalum ili Vijana hawa wapate maziko ya heshima. Mnachokifanya sasa kuficha maiti hizi ni nyingi, hamtaweza. Itakuja kuwa evidence...
  13. JamiiForums Tanzania Watanganyika wote wazalendo, naomba tuishitaki Serikali ya CCM katika mahakama ya ICC tumia link hii

    Kulingana na mauwaji ya watanganyika yalio fanywa na serikali ya ccm ninaomba watanzania wazalendo wote tufungue mashitaka katika mahaka ya ICC link yao ni https://otplink.icc-cpi.int/ Tuma email ya kushitaki uuwaji wa watanganyika uliofanyika unao fanyika mpaka sasa tuma email yako weka na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je tatarajie CCM kujitenga na Samia?

    Uchaguzi huu hadi sasa umekiua CCM kwa kiwango kikubwa sana. Je CCM kama Taasisi itajitenga na Samia? Tutarajie kitu, pia nashauri wagombea baadhi wa CCM wajitokeze na kuukataa uchaguzi.
  15. JamiiForums Tanzania CCM looh CCM kitendawili katima maana na matendo!!!

    CCM, kwa sasa, inaweza kuwakilisha vitu vingi mfano: Chama cha mauaji Chama cha machawa Chama cha manywinywinywi Chama cha mafisadi Chama cha Matapeli Chama cha maimla Chama cha mamluki Chama cha mazwazwa Chama cha majambazi Chama cha magabacholi Chama cha maajabu Chama cha madhambi Chama cha...
  16. JamiiForums Tanzania Tukubali kuendelea kuuawa na majanjawidi wa CCM kama kuku au tujitetee?

    Kuanzia siku ya uchaguzi hadi leo Taifa limekumbwa na taharuki kuu kwenye eneo la kiusalama . Hakuna kinachoumiza moyo kama raia kupigwa na risasi walizozinunua kwa Kodi zao wenyewe ,haukuna kinachoumiza moyo kama raia kuanza kuishi kwa mashaka kwenye Taifa lao. Siku ya uchaguzi na baada ya...
  17. JamiiForums Tanzania Damu, damu, damu, CCM, mikono na miili Samuya na Kikwete vimejaa damu atatawalaje damu damu damu?

    Siombi msamaha. Urais wa Samia, chama chake na nchi vimejaa damu. Ni ubatili. Ni ukatili, Ni unyama, Ni ujambazi. Ni udikteta. Ni dhuluma Ni mauajai, Ni unyang'anyi. Je, Samuya atatawalal damu? Je, damu isiyo na hatia iliyomwagwa itawaacha? Je, wahanga na ndugu zao na taifa visamehe na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 ANC waisagia CCM, wasema walifika Tanzania lakini hawakuweza kufanya uangalizi wa Uchaguzi

    Soma barua yao:
  19. JamiiForums Tanzania Hofu kubwa zaidi ni CCM kufanikiwa kubaki madarakani baada ya hizi vurumai, itageuka hayawani katili zaidi. Tujipange!

    CCM ikifanikiwa kubaki madarakani kwa uchaguzi huu wa kiinamacho ulioharibika na baada ya machufuko yaliyotokea hali ya ukandamizaji itakuwa mbaya zaidi, nchi itaingia kwenye udikteta mbaya zaidi utakaorasimishwa kwa sheria mbaya zaidi za bunge la chama kimoja. CHADEMA itafutwa rasmi, viongozi...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi chukueni nchi na CCM ivunjwe na ijiunde upya baada ya Katiba

    Jeshi chukueni nchi na CCM ivujwe na ijiunde upya baada ya katiba. Stadium zote zirudishwe kwa serikali kuu na Chama kiundwe upya lakini hii CCM ya sasa ambayo ndiyo imesababisha kuchomwa kwa hii nchi kote ni lazima iwajibike na kufutwa na jeshi. Mateso yote yameletwa na CCM
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…