ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. GE2025 Polepole: Mpinzani wa kweli wa CCM ni CHADEMA, unakuwaje na amani kwenda kwenye uchaguzi Tundu Lissu yupo jela

    Mpinzani wa CCM wa kweli, ukiacha wakati wanakichakachua ni chama hiki cha CHADEMA, wafanye watakavyoweza viongozi waruhusiwe, wafanye kazi ni haki yao. Kiongozi wao yuko jela, unakuwaje na amani kwenda kwenye uchaguzi wakati mpinzani wako na kiongozi wake kuu Bw. Tundu Lissu yupo jela. Hii...
  2. GE2025 Ummy Mwalimu: Nimepokea uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kwa moyo wa shukrani

    Na Ummy Mwalimu kutoka kwenye ukurasa wake mtandao wa Instagram Alhamdulillah ala kulli hal. Nimepokea uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kwa moyo wa shukrani. Quran Tukufu inatufundisha kuwa Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH. ---- Ndugu zangu wanaTanga...
  3. GE2025 Inawezekana CCM haikuwa Makini katika kuteuwa Wagombea ubunge baada ya Kura za Awali

    Kumpitisha mshindi wa tatu kwenye primaries na kumwacha mshidni wa kwanza linaweza kuwa ni siyo tu kutokuheshimu demokrasia na maoni ya wananchi bali pia ni dalili ya udikiteta. Kuna majimbo ambao CCM inaweza kukosa kwa mfano Tarime Mjini, Tanga mjini na kwingineko...
  4. Polepole anazungumza usiku huu Rais Samia asigombee anatakiwa apumzike

    Ndugu Humphrey Polepole ameibuka usiku huu wa tarehe 24, agasti amefunguka wazi sababu za kwanini Rais Samia hatakiwi kugombea na kumtaka apumzike. Katika maelezo yake ameweka wazi namna ambavyo Rostam Azizi anazidi kujizolea utajiri mwingi kwa kutumia maliasili za nchi hasa migodi ambayo ya...
  5. O

    GE2025 Ni wangapi umu Jukwaani Mmeshagundua mchezo wanaoucheza CCM? Wa kuengua Walioshinda kura za maoni na kuweka walioshindwa!

    Kiukweli nasikitika sana kuona kadri miaka inavyoenda Jukwaa hili linazidi kuwapoteza watu ambao ni Great Thinkers na badala yake Jukwaa kwa sasa lmejaa watoto ambao ata kung'amua michezo kama hii wa nashindwa! Iko hivi,. CCM wa nachokifanya ni kuwaengua wale watu ambao walipata kura nyingi...
  6. U

    Wagombea mliokatwa majina yenu na rekebisheni madhaifu yenu, CCM ilikuwa na sababu za msingi kimaamuzi na huwa haibahatishi wala kuonea mtu

    CCM ni taasisi kubwa yenye uzoefu mkubwa na ukomavu kisiasa hivyo huendesha mambo yake kisayansi. Wahusika wajirekebishe madhaifu yao waache kulalamika na wajiandae kuwaunga mkono wenzao waliteuliwa.
  7. Forex sio ngumu:fanya hivi ndio washikiria nchi ndio chawa wa CCM.

    Uwezi kulalamika pesa fulani au nchi imekuwa kikwakozo na biashara.Sasa Kuna watu ukiweka mada naomba washindane bei ya nyama ya ng’ombe kujibu mada tu. Maana inaweza kuwa betting
  8. Kimeumana CCM wangua vilio wakimtaka kembaki polisi watia timu katibu CCM afunguka ( Constructive Manslaughter)

    Ukiwasikiliza hawa wananchi wa Tarime, wana hasira sana, wasije tu wakampelekea mapanga Ester Matiko aliyeteuliwa na CCM... Wasikilizeni wananchi, wana jambo lao hapa : https://youtu.be/SpHCTAw5xJw?si=U1wDtgJVAng4qDJR
  9. Hivi tutawatenganisha vipi CHAUMA,ACT na CCM?

    Hawa jamaa unawatenganishaje? Yaani ipi tofauti ya CHAUMA,ACT NA CCM?
  10. GE2025 Baada ya Ummy Mwalimu kukatwa "Tutapigia Upinzani Kura si CCM"

    Wilayani Tanga, hali ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imefikia kiwango cha juu cha mvutano baada ya wanachama wa chama hicho kuandamana kwa umakini na kutangaza kurejesha kadi zao za uanachama. Chanzo cha malalamiko ni uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kumtangaza Kassim Amari Mbaraka kuwa...
  11. Kamwe hatuwezi kwenda kwenye uchaguzi wakati kiongozi wa upinzani akiwa gerezani. CCM hacheni kujidanganya

    Katika historia ya nchi yetu hakujawai kutokea kiongozi dhaifu kama mama Samia na mbaya zaidi anatumia mbinu dhaifu ili watanzania wasigundue udhaifu wake na aendelee kuongoza hii nchi akiwa dhaifu Kila mtanzania mwenye akili timamu anajua ukweli kwamba hii nchi inaongozwa na ushauri wa raisi...
  12. Matusi ili yanoge mpaka usiku hapa Polepole ukileta mada usiku naona CCM wanachanganyikiwa

    Kuna mzee mmoja idara nyeti anakwambia usiku wanapata shida sana kuhusu Polepole sababu spana za usiku zinanguvu kuliko mchana. Wengine wanashinda Bar na ofisi na mbwa kutafuta wataokoa vipi uchi wao. DMZ ndio sheria. ONGEZO: kuna msululu wa vifo wambao sitaki kujua ila wananchi msipo shupaza...
  13. U

    UMMY MWALIMU umekosea barua yako ilitakiwa ielekezwe kwa katibu mkuu CCM ni mamlaka kinidhamu na mdhaminini wako siyo kwenye mitandao ya kijamii

    Nimesima kwa jicho la tatu na kuona ni kama kushtaki kwa wananchi badala ya kushukuru. Umeandika siyo kwa unyenyekevu au kukubali maamuzi ya kamati kuu na hiyo ni ishara isiyo nzuri Tambua kuwa Mamlaka yako ni katibu mkuu wa CCM na ndiye mdhamini wako mkuu mbele ya wananchi ambao unawashukuru...
  14. J

    Ya CCM tumeyasikia, yamepita. Turudi kwenye habari ya mjini yaani Mifumo kusomana.

    CCM wanajua kucheza karata zao vizuri. Wana magwiji wa Mikakati mizuri na ya hovyo pia. Siyo siri Kombora la mwisho alilotoa Humphrey Polepole kwamba mifumo ya INEC, NIDA na Lumumba inasomana hivyo kupora maamuzi ya watu katika kupiga kura, limewashtua na kukitikisa Chama hicho. Mabadiriko ya...
  15. U

    Ndugu zangu wengi sana majukwaani wanapenda ,wanatafuta ,wanahoji, wanauliza, wanajenga na kuijadili h CCM ni ushahidi wanavutiwa na sera zake

    Wadau huo ni ukweli usiopingika labda kama takwimu husika ni za kughushi
  16. Waya hauwezi kutoka NIDA kwenda bank accounts za CCM na sisi tupate ya soda?

    Ni dhahiri sasa huu uchaguzi sio tena kwa ajili ya kuchagua wawakilishi wa wananchi. Ni dhahiri sasa hawa CCM hawapo tena kuhakikisha ustawi wa Tanzania. Wewe umeona wapi mtu anatumia gharama kubwa na mbinu za aibu eti kwa ajili ya kutaka kukuwakilisha? Huu ni uchaguzi kwa ajili awamu nyingine...
  17. R

    GE2025 Aliyekuwa Mkurugenzi wa NEC apitishwa na CCM kugombea Ubunge

    Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi ( CCM) Taifa imempitisha aliyekua Mkurugenzi wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania (NEC), Dkt. Wilson Mahera Charles kiwa Mgombea ubunge katika Jimbo la Butiama. Soma pia GE2025 - Aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume ya Taifa ya Uchaguzi kipindi cha...
  18. Wanavyokunjaga sura, huwezi amini wanapelekeshwa na wajinga kama CCM. Wanapigishwa Mistari kupiga kura wakati Uchaguzi ulishaamuliwa.

    Wanavyokunjaga sura na kujifanya wababe na wajuzi huwezi amini wajinga wajinga CCM wanawapelekesha kama mazuzu. Huwezi amini CCM wanawaona kama matoy tu yasiyo na chochote wala lolote. Yaaani hawa nao Oktoba wanapigishwa mistari kutiki wakati CCM, Tume na NIDA walishaamua kura ziweje na ushindi...
  19. K

    HAYA YA POLEPOLE KUWA MIFUMO YA NIDA, INEC NA CCM INASOMANA. JE NI YA KWELI?.

    Nimeona mjadala huu ukishika kasi ya kutisha. Mimi siyo mtalaam wa IT. Kwa wale walio na ujuzi wa masuala haya ninaomba mnipe elimu jinsi mfumo huu unavyoweza kusomana na athari zake kwa wapiga kura. Nawasilisha.
  20. Wabunge na Madiwani 25%wa CCM kupita bila kupingwa?

    Subirini movie nyingine mtacheka Sana watia Nia wa kijani watapita bila kupingwa Mtashangaa 25% ya watia nia wa ubunge na udiwani watapita bila kupingwa kwa sababu wameweka mamluki yao kuchukua form kwenye vyama vya CCM B Halafu mnaambiwa uchaguzi utaghalimu 500 bilion + CCM+ Kikwete+Samia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…