Je, Chadema wanaoingia CCM ni kwenye wanaipenda. Msiyoyajua kichini chini wengine ndiyo wapeleka habari kwa Chadema.
Mfano moyoni Kitila ambaye alipelekwa Chadema anawapa habari nyingi sana marafiki zake wakina Lema na Heche. Kuna wengine wengi tu ambao sio wanachadema lakini ni wapinzani wa...