ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Dhahabu yetu iko chini ya CCM ama Benki kuu?

    Jee maamuzi ya kuhusu dhahabu yetu yapo chini ya maamuzi ya wanasiasa wa CCM au benki kuu? Jee ni waziri wa fedha anayeamua ni kiasi cha akiba ya dhahabu tunachotakiwa kuwa nacho ama Gavana wa Benki kuu? Jee waziri wa fedha akisema dhahabu iuzwe Gavana wa Benki Kuu anaweza kuzuia ama Gavana wa...
  2. JamiiForums Tanzania Wapinzani walitaka kumlipa Rais Samia malipo ya ubaya waliofanyiwa na Magufuli 2015- 2021

    Unaposema mnyama fulani ana akili sana maana yake ni kwamba mnyama huyo ana uwezo wa kutunza kumbukumbu ipasavyo. Kinyume chake pia ni kweli. Hii pia iko applicable kwa watu. Kama huna kumbukumbu basi wewe ni tahira. Kuna watu si Matahira ila hujifanya matabira kwa makusudi. Magufuli ndiye...
  3. R

    JamiiForums Tanzania CCM walitoa ahadi nyingi sana za kujenga miundombinu ya kisasa kipindi cha Uchaguzi, wamefikiria kuhusu madhara yake kwa mazingira?

    Ahadi za ujenzi wa miundombinu ya kisasa zilikuwa sehemu kubwa ya kampeni za uchaguzi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) na hata sasa hazina inatakwa kuuzwa ili kujenga miundombinu, pengine wanadhamira ya kukuza uchumi, kuboresha huduma za kijamii na kurahisisha usafiri na mawasiliano. Miradi kama...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Chadema mna document historia mnayopitià katikà utawala wa CCM

    Tafiteni historian mzuri, actually awe historian wa chama. Aweke rekodi madhubuti ya madhura mnayopitia. Kwa.mfsno, mna.list ya watu waliouawa na ccm / serikali wakipigania uhuru wa TANGANYIKA? 2. Matendo ya ukatili mliopitia 3. Historia ya chaguzi mlizopitia 4. Kufungwa jela mlikopitia 5. Etc...
  5. JamiiForums Tanzania Kiongozi yupi wa CCM akisema utaamini kasema UKWELI?

    Kati ya viongozi wa CCM unaowajua ni yupi akisema jambo kuhusu Taifa letu la Tanzania utaamini kuwa anasema ukweli?
  6. JamiiForums Tanzania CCM waliongozana na Kabudi kwenda kwa Papa walijifanya wamesafiri kutoka Tanzania kwenda kupeleka malalamiko yao, WOTE waliishia mapokezi

    Hawa ni wahuni wa CCM Jana waliongozana na Kabudi kwenda kwa Papa walijifanya wamesafiri kutoka Tanzania kwenda kupeleka malalamiko yao, WOTE waliishia mapokezi waliulizwa mmewasiliana na ofisi ya TEC Tanzania wakasema HAPANA wakaambiwa hatuwezi kuwasikiliza, walijua kwa Papa ni Buza kwa Mpalange.
  7. JamiiForums Tanzania Baada ya Hii Picha Tunasubiri, Mseme Jambo!

  8. JamiiForums Tanzania Hivi Samia una roho ya aina gani we mama

    Wewe Samia na wenzako hebu kuweni na utu. Huu ushetani wenu umefikia kiwango cha A+ Hebu kuweni na roho ya ubinadamu hata kidogo tu. Sisi Watanzania tuliwakosea nini mpaka mnatumia ubabe kutuongoza? Kwa nini hautaki kukiri kuwa ulikosea? Kwa nini hutaki kujiuzulu na huku Watanzania hatukutaki...
  9. JamiiForums Tanzania Ujinga: Silaha ya CCM kuwatawala watanzania

    Mtu mjinga siku zote ni mtaji wa mtu mwerevu. Na siku zote watu laghai na waovu huzuia watu wajinga wasierevushwe maana huo ndiyo utakuwa msiba wao. CCM tangu baada uchaguzi wa mwaka 2000, imekuwa ikitumia ujinga wa baadhi ya watanzania kuendelea kubaki madarakani. Hebu ona mjinga anavyomlaumu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Utawala wa sheria ufuate mkondo. Kwanini CCM waliongia mkataba na Mwekezaji Rashidi walimruhusu abomoe bila kulalamika?

    Kwamba muwekezaji Rashid ni mjinga aamke na kuanza kubomoa kama mwehu bila kuogopa mali za watu? Eneo ni mali ya CCM chama cha mafisadi nawezi. Kwanini alipokuwa anabomoa hao CCM wapo kimya? Serikali inaingilia vipi wakati hawana mkataba na Rashidi? Rashid kwanini hukumpiga ngumi nzito...
  11. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba unadhania Watanzania ni Wajinga? Kwamba viongozi wa CCM ambao ni mafisadi kujaza fomu za maadili ndio defence?

    Unatudharau sana hasa sisi Wakulima wa Igunga tunalima chakula na kulisha hiyo Ilamba yote na kulipa kodi? Yaani kiongozi au mtumishi wa umma akijaza fomu za maadili kuwa ana mali aina fulani ndio justification kuwa sio fisadi na mwizi wa mali za umma? Usitufanye sisi wajinga na wapuuzi.
  12. JamiiForums Tanzania Hongera sana Heche umejua kumchezesha bolingo Chawa Mbowe na CCM

    Asee Heche ni mwamba . Baada ya msiba huu mzito ni wazi Ccm wakishirikiana na watu wao Hususan Mbowe na zitto kuwatumia kuhakikisha msiba hauwapi Milage Chadema kwa mbinu mbali mbali .naomba mtililiko ya yaliyojiri - Kipenga kilipigwa kwa mbowe kutumia umkwe kuwa msemaji wa familia ,sisi...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Makonda aendelea kupaa. Alamba Uteuzi Mzito Ndani Ya CCM

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Mwamba Ni Balaa Kwelikweli. Hakamatiki Wala Hashikiki. Mungu Wake nI mkubwa sana na anatembea naye muda wote Kuna jambo kubwa sana limepangwa na Mungu Wake Kwa Taifa letu ambalo litatimia. Mengi nilishaeleza Juu ya huyu Mwamba na namna gani ni hazina ya Taifa...
  14. JamiiForums Tanzania CCM Mnapoteteleka na Taifa linateteleka, nini kifanyike!?

    CCM kwasasa hamna rasilimali watu wa kutosha(quality and quantity wise) wakutegemeka na kutumainiwa na Taifa. Mnaonekana kama mnalimudu taifa lakini ukweli ni kwamba uwezo huo kwa sasa hamna ni vile tu mmeshika mpini na wengine wameshika kwenye makali... na ukata huu wa watu makini(competence)...
  15. JamiiForums Tanzania Wito rasmi kwa Marekani(USA)na Jumuiya ya Ulaya (EU): Hii ndo namna pekee mnaweza kutusaidia Watanzania dhidi ya Utawala mbovu wa CCM.

    Nawaandikia Marekani, Umoja wa Ulaya, Uingereza na Canada. Kama sehemu ya mamilioni ya Watanzania tunaodhulumiwa haki zetu za Utawala huu mbovu wa CCM napenda kwanza kuwashukuru sana Marekani na Nchi zote za Jumuiya ya Ulaya na Mataifa mengine ya Magharibi kama Uingereza na Canada kwa namna...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa kiwango cha Upumbavu kilichopo kwa wana CCM sasa, ni lazima litokee jambo zito dhidi yao kuwafanya Wajifunze maana ya Utawala Bora.

    Nimetoka kuangalia video fupi ya ugomvi baina ya Mbunge Msukuma na Mtu aliyeelezewa kama Muwekezaji. Katika video ile ukimsikiliza kwa makini msukuma na yale mazungumzo yake na yule anayeitwa muwekezaji utaelewa mambo yafuatayo; 1. Msukuma anaamini yeye ni sehemu ya Serikali na Serikali ndo...
  17. JamiiForums Tanzania Ccm ya Samia na wasira imeshindwa kutuma MWAKILISHI kwenye msiba wa Gavana wa kwanza, kisa alihasisi chadema? Shame on you.

    Haya majitu ni ya ajabu ajabu sana, hivi zee kama wasira limeshindwa kwenda kumzika Mzee mwenzie? Mtajitetea na UWEPO wa MWIGURU ilihali yeye aliiwasilisha serikali je macc yalishindwa Nini kutuma MWAKILISHI? Au Samia na wasira waliwasilishwa na mrisho gambo😂🤣? Haya majitu ni majitu ya ajabu...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi Halotel inamilikiwa na CCM, kama Chanel Ten au? Wanahuduma za ovyo kama vyoo vya HALIMASHAURI.

    Nina uliza halotel wanamilikiwa na ccm au? Tuna siku ya Saba uwezi weka Hela au ht kutoa Hela yaani wanahuduma za OVYO km vyoo vya HALIMASHAURI what's wrong with halotel in Tanzania?; Soma Pia: Mnaoweka pesa HALOPESA kuweni makini
  19. JamiiForums Tanzania Kwa nilichokiona Morogoro, ni sahihi kusema Serikali ya CCM inachelewesha maendeleo ya huu mkoa kwa makusudi kabisa!

    Nina mwaka wa nne kwenye huu mkoa sasa. Tangu nifike hapa kwa mara ya kwanza nilikuwa mtembezi sana, ili kufahamu maeneo, uchumi, na tabia za wenyeji wa huu mkoa. Niligundua mambo yafuatayo: 1. Wenyeji ni watu wasio na makuu na waungwana (kama tu tabia za Wazaramo na makabila ya Pwani), ni...
  20. JamiiForums Tanzania Kudai katiba mpya ili uchaguzi uwe huru na haki ili taifa likae sawa ni kukosa hoja ? Mbowe bado kibaraka wa CCM

    Nimeona mitandaoni juu ya kauli hii ya Mbowe kuwa CHADEMA ya sasa chini Lissu haijengi hoja kama ilivyokuwa akina Mtei na Bob Makani. Hii sio kweli kabisa. Sasa Hivi Lissu na Heche ndio wanahoja za mashiko. Kwa katiba hii ya CCM ambayo hata mtu hajapigiwa kura anakuwa madarani utaingia ikulu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…