ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Namba 26: Mwanamke wa tatu, Fatma Kombo Masoud achukua fomu ya kuwania Urais Zanzibar kupitia CCM

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fatma Kombo Masoud amekuwa mwanamke wa tatu kujitokeza kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea urais wa #Zanzibar Fatma anafanya idadi ya watia nia kupitia Chama cha Mapinduzi hadi sasa kufikia 26 visiwani humo ------ Tunaweze kusema historia imevunjwa. Hadi...
  2. Namba 25: Mwamamke wa pili, Hasna Attai Masoud achukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kupitia CCM. Arudisha fomu

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hasna Attai Masoud amekuwa mwanamke wa pili kujitokeza kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea urais wa #Zanzibar. Hasna anafanya idadi ya watia nia kupitia Chama cha Mapinduzi hadi sasa kufikia 25 visiwani humo CURRICULUM VITAE. Personal Particulars Surname...
  3. Makamu wa Rais azungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Temeke

    Makamu Wa Raisi Azungumza Na Wajumbe Wa Kamati Ya Siasa Na Sekretarieti Ya CCM Wilaya Ya Temeke Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa...
  4. GE2020 Kama Kampeni tumeshazianza kwanini tunawataka TAKUKURU na CCM wawakamate na wawakate Wanaojipitisha wakati hata Sisi wa juu tunaendelea na Kampeni?

    WAZIRI MKUU- HUDUMA YA UMEME KUVIFIKIA VIJIJI VYOTE NCHINI: Waziri mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali inayoongozwa na Rais John Magufuli imedhamiria kufikisha huduma ya umeme katika vijiji vyote nchini vikiwemo na vijiji 25 vya Wilaya ya Ruangwa ambavyo bado havijafikiwa na umeme...
  5. Khamis Mgeja aipa tano CCM

    Aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga Khamis Mgeja amekipongeza chama hicho kwa kuweka utaratibu mpya wa kupata wagombea ndani ya chama. Amesema kuwa utaratibu huo unajenga afya ya chama na kufufua matumaini kwa baadhi ya wanachama wagombea walio na sifa lakini...
  6. Sababu kuu ya Gazeti la Tanzania Daima kunyang'anywa leseni ni hofu ya CCM kuhusu kuangukia pua kwenye Uchaguzi Mkuu

    Hii ndio sababu kuu kuliko zote , hizo zingine ni porojo tu Serikali ya awamu ya 5 kwa miaka yote iliyoingia madarakani imekuwa ikifungia Magazeti yote makini yanayokosoa utendaji mbovu , uonevu na ukiukwaji wa haki za binadamu uliokithiri kuliko wakati wote tangu wakoloni waondoke nchini...
  7. F

    Wana CCM walioituhumu CHADEMA na Mbowe kwa ubabe waombe radhi

    Mwanzoni mwa mwaka huu kuna kundi la Wana CCM walikuwa wakiirushia madongo CHADEMA kwa kudai kinaendeshwa kibabe kwa matakwa ya mtu mmoja - yaani Mwenyekiti wake Mh Freeman Mbowe. Of course, kila mmoja anajua wazi kuwa target siku zote huwa si chama na taratibu zake bali Mbowe na uimara wake wa...
  8. Namba 24: Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Mpira wa Miguu (ZFA), Hashim Salum Hashim amechukua fomu ya kuwania Urais Zanzibar kupitia CCM

    Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFA), Hashim Salum Hashim amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kuwa mgombea urais kupitia CCM Hashim amekuwa mwanachama wa 24 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuchukua fomu hizo za Urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020...
  9. GE2020 Membe anajinasibu kuwa na wenzake sita ndani ya CCM

    Akihojiwa na idhaa ya kiswahili ya UJERUMANI aliyekuwa mwanaCCM MWENZETU mh. Benard Camillius Membe anatapatapa kwa kujinasibu kuwa na WENZAKE SITA. Akihofia kutowataja majina kwa kuogopa kutimuliwa ndani ya CCM mh. huyu asiyeridhika kwa yote mema na mapungufu aliyotufanyia watanzania akiwa...
  10. GE2020 CCM msipokaza msimu CHADEMA watawaangusha

    Most of youths, wako cdm na ndo wapiga kura 80% wa uchaguzi huu. Je, mmejipangaje katika uchaguzi huu. Msipokaza kalio watawabreak down Nyie endeleeni kuwaweka wazee waliochoka eti wagombee. Udiwani na Ubunge. CCM nawaona kama mko nyuma sana, Fake election committee, na Migambo wote...
  11. Hata baada ya kujua Mgombea wa CCM ni Magufuli, why kuna watu bado wanaleta mizaha? Kunashusha hadhi ya Urais wetu!

    Wanabodi, Leo tena nimepata fursa ya kuwaletea makala hii ya "Kwa Maslahi ya Taifa". Hili ni bandiko la wito kwa Watanzania tuache kufanya mizaha kwenye kila kitu kama hali ilivyo sasa ya kufanya mizaha kwenye kugombea Urais wa JMT na Zanzibar, hata watu wasiostahili, wanapeleka majina yao...
  12. Ni lini CCM itainunua Clouds Media Group kuwa Chombo chake cha Propaganda au ni lini Clouds Media Group itakuwa Msaidizi wa TBC1 na Taifa?

    Najua Wahusika muhimu wa Chama na Serikali wapo sana hapa Jamvini JamiForums hivyo Mzukulu nitapata Mrejesho wangu hasa na niridhike.
  13. A

    Kwa waliohama CHADEMA kwenda CCM

    Kwa uchache tu Mwambe,Sumaye na wengine mliotuaminisha kwamba mnahama CHADEMA kwenda CCM kwa sababu mnatafuta DEMOKRASIA na DEMOKRASIA hiyo haipo CHADEMA ipo CCM ,mimi nawakumbusha tu sasa ni wakati wenu wakuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM wakati ndiyo huo msisubiri muda...
  14. GE2020 CHADEMA: Tutaishinda CCM jinsi ilivyo. Ng'ombe huyu mara hii hageuziwi Kibla, anachinjwa alivyolala

    "Serikali inayoogopa watu, serikali inayoishi kwa uongo haiwezi kushinda kura. Na mimi niwaambie na hiyo meseji iwafikie, uchaguzi huu tunaenda hakuna wa kujitoa. Uchaguzi huu tunaenda, tunajua hakuna Tume Huru (ya Uchaguzi). Tunajua wanatunga sheria zozote wanazotunga. Tumeamua tuache watunge...
  15. CCM kukata Majina, alichokisema Mh. Rais, demokrasia na hatma ya Tanzania

    Ijapokuwa demokrasia ndio mfumo wa siasa wenye ubore zaidi duniani hadi sasa ukilinganisha na mifumo mingine, hivyo kutufanya wengi wetu kuutetea mara kwa mara; kuna mambo kadhaa ya msingi tunapaswa kufahamu. Demokrasia kamili na uhuru katika hatua yake ya juu kabisa, vinafanya kazi kwa ufanisi...
  16. Namba 23: Mkuu wa mkoa wa Kusini Unguja, Ayoub Mohamed Mahmud achukua fomu kuwania Urais Zanzibar kupitia CCM

    Mkuu wa mkoa wa Kusini Unguja Ayoub Mohamed Mahmud amekuwa mgombea wa 23 kujitokeza kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar.
  17. K

    Fumbo la Urais CCM Zanzibar 2020: Salamu kwa Mwenyekiti wa chama na timu yake

    Muda unakwenda kwa kasi sana. Tutashuhudia mengi pia. Kwa muda wa miaka 4 na ushei, kuna mambo ambayo hayasemwi hadharani ndani ya CCM hasa Zanzibar. Kwa ufupi wa maneno CCM Zanzibar wana fundo rohoni, wamehifadhi mengi kuhusu mwenendo wa chama chini ya ndugu Mwenyekiti Magufuli. Hicho...
  18. CCM hakuna demokrasia. Kama Mwenyekiti anakuwa na maamuzi kuzidi wajumbe majimboni haina maana ya kura za maoni majimboni. Mwenyekiti ana watu wake

    ".... kwanza hana uhakika kama atashinda kura za maoni na inawezekana akashinda na bado nikamfuta, inategemea siku hiyo nimeamkaje..." Tusome katikati ya mstari... "inawezekana akashinda na bado nikamfuta" Mwenyekiti ana wagombea wake wa mfukoni, na wajumbe wa kura za maoni wasijisumbue.
  19. J

    CCM: Hatma ya Uanachama wa Membe ilishafika mwisho akitaka aombe upya au asubiri msamaha!

    Mjumbe wa sekretarieti ya CCM kanali Lubinga amesema hatma ya uanachama wa Benard Membe ilishafika mwisho hivyo akitaka kurejea ama aombe upya au asubiri msamaha. Lubinga amesema Membe ana haki ya kuendelea na shughuli zake nje ya CCM bila kuingiliwa na yoyote na kwamba maneno anayoyaongea CCM...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…