Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Hii ni baada ya mamia ya wananchi kurudisha kadi za chama hicho na kjiunga na Chadema.
Taarifa zinadokeza kwamba huu ni mwanzo tu , kipigo zaidi kinakuja .
Tuanzie pale bungeni je wapinzani huwa wanaunga mkono hoja za serikali ya CCM?
Kwenye mabaraza ya madiwani je wapinzani wanashirikiana na CCM kuleta maendeleo?
Tukijiridhisha ndio tutaona umuhimu wa kuongozwa na wabunge wa "chama tawala" ili kukoleza kasi ya maendeleo.
Nawatakia Eid Mubarak...
Wandugu naomba kujua hawa viti maalum wa CCM ni kipi huwa kigezo tofauti na kura wanazopigiwa na wanachama wenzao hasa wajumbe?
Kiukweli wengi wao ukiwaangalia ni wanavutia kwa sura mpaka unasema hivi wanachagua miss Tanzania au pia ni waxuri kwenye kujenga hoja huko bungeni?
Naomba mtujuze...
Tumekua tukisikia kwamba mkuu wa nchi ni mbaguzi hasa linapokuja swala la mitazamo ya kisiasa, kitu ambacho si kuzuri na hakifai kwa mkuu wa nchi.
Tofauti na viongozi wengine, hata marais waliopita, Mheshimiwa hapa amefeli na inaonyesha anafanya makusudi.
Jana akiwa Msoga, diwani wa hilo eneo...
Nimeyaelewa vizuri majibu ya jana ya Mh. Rais JPM alipowajibu wananchi wa jimbo la Mheshimiwa mbunge BWEGE, hivyo niombe pia sheria ya kodi ibadilishwe ili majimbo yote ambayo wananchi wamechagua upinzani au watachagua upinzani basi waachiwe na kodi zao ili wajiletee maendeleo wenyewe...
Baadhi ya wana CCM wamekipaka matope sana chama chetu sababu ya ubinafsi wao. Kilichotokea kwa baadhi ya majimbo husuani Sengerema ni aibu. Mabepari na watoa rushwa hasa jimbo la Sengerema waliwahonga wapiga kura kila kata.
Masharti yalitolewa kwa makatibu kata na viongozi wengine wanapokwenda...
Wakuu baada ya kutafakari kwa Kina na Kazi kubwa iliyofanywa na Rais Magufuli kwa Miaka 5 mi binafsi nahamia CCM, naomba CHADEMA wenzangu Mniunge mkono huku niendako.
Yale tuliyokua tunayapigia Kelele kwa miaka yote sasa yamekua yanatakelezeka chini ya Mheshimiwa Magufuli Sina Sababu ya...
Na Mwandishi Wetu
HALI ya sintofahamu inazidi kugubika ushindi wa Jackson Kangoye kwenye kura za maoni katika jimbo la Tarime Mjini, baada ya viongozi wa Chama wilaya kukiuka taratibu na kumbeba Kangoye.
Taarifa za kuaminika ilizozipata zilidai kuwa Kangoye ametumia fedha lukuki ikiwemo kutoa...
Taarifa ya rushwa kwenye kura za maoni kwenye ubunge wa CCM Kyela kila mwananchi wa Kyela nikiwemo mimi anajua
Yuko mgombea mmoja ambaye alimwaga pikipiki kwa kila katibu wa kata kwenye jimbo hilo, kwa kadri ya ufahamu wangu kuhusu rushwa za uchaguzi wa ccm kyela, hii ni funga kazi, katika...
Nawaomba mnisome hapa:
Mchakato wa kutafuta wagombea ndani ya CCM umeibua mambo mengi ambayo ni vizuri kuyajadili. Muhimu ni kuelewa kwamba kwa mpangilio wa vyombo vya uasalama na ukubwa wa CCM, bado kitakuwa ndicho chama kitakachoongoza nchi hii kwa miongo ijayo. Tatizo langu ni ukomavu na...
Taasisi ya Tulia Trust imetoa mkopo wa bodaboda 21 zenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 50 kwa vikundi mbalimbali vya waendesha bodaboda katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya.
Nipashe.
-----------
Ni Mpumbavu (Popoma) tu pekee ndiyo anaweza asigundue kuwa hii tayari ni 'Pre Campaign' ambayo huyu...
Ndugu zangu, salamu.
Napenda kuchukua fursa hii kukishukuru chama changu kwa kuendesha vizuri mchakato wa kura za maoni kwa ngazi ya majimbo na viti maalumu. Ni imani yangu kuwa michakato mingine itaendelea vyema kwa ngazi zinazofuatia.
Ninajua zipo changamoto ndogondogo za madai ya rushwa...
Mwijaku ambaye ni miongoni mwa watia nia waliojitokeza kuomba ubunge kwa tiketi ya CCM, amefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu kwa kusambaza picha za utupu kwenye mtandao wa Whatsapp.
Inadaiwa alitenda kosa hilo kati ya Septemba 15 na Oktoba 10 mwaka 2019 .
------
Aliyekuwa mtia...
Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo Bernard Membe amemkaribisha Tundu Lissu nyumbani na kumtaka waunganishe nguvu ili iwe rahisi kuing'oa CCM madarakani.
Hayo yameelezwa na ACT Wazalendo katika ukurasa wao wa twitter
Maendeleo hayana vyama!
Habari za uzima watanzania,MwenyeziI Mungu atufariji kwa kipindi hiki kigumu kwa kuondokewa na kiongezi wetu mpendwa
Bila kupoteza muda nawaomba viongozi wa CCM kwa ujumla kufatilia nyendo za huyu SHEBILA aliekua diwani wa kata ya KERENGE muhula uliopita lakini pia kufuatilia/wamulike mwenendo...
Nianze kukipongeza chama changu CCM kwa mchakato wa uchaguzi wa ndani, pili nichukue nafasi hii kufikisha kilio changu kwenu viongozi wangu wa juu namna mchakato wa kumchagua mgombea udiwani kata ya mtera ulivyokuwa na rushwa za wazi lakini pia ulikuwa ni mkakati wa mbunge aliyepita simbachawene...
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza.
Katibu wa CCM wilaya yaHai mkoani Kilimanjaro, siku ya leo baada ya kumalizika kwa uchaguzi wa udiwani kupitia viti maalumu, amewatangaza rasmi madiwani wa kata,viti maalum na mbunge Saashisha kuwa wamepitishwa rasmi kugombea nafasi zao walioongoza kwenye...
Mheshimiwa katibu hatuna namna ya kukufikia zaidi ya njia hii tupokee
27th Julai 2020
KWA
KATIBU MKUU (CCM )TAIFA
NAKALA KWA
MWENYEKITI WA CCM TAIFA ,
KATIBU WA CCM MKOA WA PWANI,
KATIBU WA CCM WILAYA YA KISARAWE,
KATIBU WA CCM KATA YA KILUVYA
Yah: MALALAMIKO KUHUSU UCHAGUZI WA KURA...
Yafuatayo yafanyike baada ya kutua uwanja wa ndege JKNIA
Kumnyang'anya passport ya kusafiria mara moja na jina lake liwe blacklisted kwenye mfumo wa waombaji Passport uhamiaji yaani yeye asije tena kupewa passport ya kusafiria maisha yake yote
Uchunguzi wa shambulio lake uanze Mara moja siku...
na Mwl Matete - MUST
Nipende kuchukua nafasi hii kuwashukuru sana wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM wilaya ya Rorya kwa kazi kubwa waliofanya kutuletea mshindi ambaye kwa maoni yangu ni mtu sahihi kwa wakati huu. Kura ya maoni iliyofanyika wiki iliopita ni wazi kuwa hata wajumbe walichoka siasa...