ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Simba vs Yanga na CCM vs CHADEMA

    Ipo hivi Simba ikiwa inacheza na mwadui FC na Simba ikashinda zomea zomea na maneno mengi yatarushwa kwa Yanga ambao hawahusiki na mechi husika ndivyo hivyo hivyo Yanga ikiwa inacheza na lipuli fc na ikashinda tambo zinapelekwa kwa Simba hali kadhalika wakifungwa tambo zinakuwa hivyo hivyo...
  2. JamiiForums Tanzania Tusilalamike; Mdude Nyagali katengenezwa na CCM

    Nimefuatilia malalamiko na mijadala mingi kuhusu ujio wa 'lugha za Mdude' kwa watawala. Tujifunze kidogo kuvaa viatu vya watu wengine ata kama havitutoshi. Mdude ni muhanga wa utawala katili kuliko tawala zote tangu uhuru. Amepewa kesi ya kubambika kama iliyothibitika hivyo kwa maandishi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali, shikilia hapo hapo na usipoe

    Kijana tunajua spirit yako ni moto sana, Hujawahi kuwa dhaifu hata siku moja, toka umetekwa mara ya kwanza na hata ulipokaa jela zaidi ya mwaka na nusu. Walitumia silaha yao ya kuteka, kutesa na kukubambikia madawa ya kulevya, walipoona haupoi, wakaamua kukubambikia kesi ya kubumba. Hawa CCM...
  4. JamiiForums Tanzania CCM inapata wapi uhalali wa kuwafundisha watu ustaarabu?

    Kiongozi Mkuu wa CCM aliwahi kuwaambia wananchi waliokuwa wakilalamikia ukubwa wa tozo ya huduma ya choo kuwa, kama hawataki kulipia hiyo tozo, wabakie na mavi yao. Waziri wa Serikali ya CCM aliwahi kuwaambia wananchi waliokuwa wakilalamikia ukubwa wa tozo ya huduma za kivuko Kigamboni kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Nimeamini CCM huwa kitu kimoja kwenye maslahi yao binafsi

    Nimeamini kwenye maslahi CCM ni kitu kimoja, sasa hii itakuwa kazi kubwa kwetu kuanzia sasa kupambana na kuiondoa CCM na wataondoka tu. Miezi michache iliyopita kulikuwa na bifu kubwa sana Kati ya Mataga(CCM ya mwendazake) na CCM asilia(ile ccm ya mafisi) , naiita CCM ya mafisi maana hata...
  6. JamiiForums Tanzania Ni kada wa CCM nisiyetetea kiongozi, naitetea CCM

    Wanajf, Salaam! Kwa miaka zaidi ya 40 ya umri wangu nimekuwa mwanaccm kindandaki - siku zote pale CCM ilipoaibishwa na baadhi ya viongozi nilisimama imara kushauri, kukosoa na kutoa maoni. Mfano: = Wakati wa fukuto la kundi la akina Kinana kutukanwa na baadhi ya viongozi wa CCM, nilikataa...
  7. JamiiForums Tanzania CCM ijitathmini irekebishe madhaifu yake, ijenge umoja iendelee kuongoza Taifa. Hatuna wapinzani nchi hii

    Friends and Enemies, From Monopartisim to Multipartism 1992 to 1995, nchi yetu imepitia chaguzi kadhaa ambazo tunaweza sema nchi bado ilikua changa kwenye Siasa za vyama vingi, na wakati mwingine tunaweza sema kwamba tumepitia siasa ya aina yetu na ya kipekee kama Taifa ambayo hatuwez...
  8. JamiiForums Tanzania Ni fedheha kubwa sana kwa Chama kikongwe kama CCM kuogopa kabisa Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi

    Kwa umri wa CCM kama chama , na kwa umri wa wanachama wake na viongozi wote wazee waliopita hapo , na kwa umri ambao chama hiki kimetawala na kuongoza Tanzania ni jambo la Aibu kubwa sana ya kufunika uso kuiogopa Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi . Uchunguzi unaonyesha kwamba viongozi wa...
  9. JamiiForums Tanzania Tupo wana CCM huru tunaounga Katiba Mpya Movement, CHADEMA endeleeni kuchochea Moto

    CCM ina makundi ya wanachama wa aina kadhaa lakini, haya makundi ndio 'prominent'. CCM kindakindaki yaani hawa ni kama CCM lialia. Hawa wapo wengi kiasi na ni wazee wazee Kwa wingi wao. Hawana maslahi yoyote na chama, wengi wao wamepigika mno ki maisha. Hata hawajui kwa nini wanaipenda chama...
  10. JamiiForums Tanzania Mbowe kumbuka Rais Samia ni mwenyekiti wa CCM

    Namshangaa Mbowe akimlaumu Rais Samia kuhusu kauli zake ambazo hawakutegemea Pili anataka waonane na mama, nikuulize Mbowe wewe ni gwiji la siasa unajitoa vipi ufahamu kwa kutokujua Rais huyu huyu ndiye mwenyekiti wa CCM kitaifa! Unategemea atawapa nafasi ya kutupa makonde, embu fikiria njia...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tumerudi kuibomoa nchi kuilinda CCM, mama kibao kikigeuka kisima kitakauka maji

    Chama Cha mapinduzi pambaneni kwa hoja achaneni na dola. Mnatia aibu mambo madogomadogo yanayowekwa kimkakati na wapinzani wenu yawachafue kimataifa mnashindwaje kuyang'amua. Vimitego vidogo vidogo mnavyoshindwa kuving'amua ndivyo binawapa mailage ya kisiasa chadema na wafuasi. Mmekubali kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tuache alama ili nchi yetu ipate maendeleo ya haraka

    Je tutaacha alama hapa duniani pale muda wetu wa kuishi kulingana na wito na kusudi la kuwepo kwetu hapa duniani utakapokuwa umefikia ukomo? "Haijalishi umeishi miaka mingapi bali umeweka alama gani katika miaka uliyoishi" ni moja ya mstari ambao huwa tunausikia katika misiba na mafundisho...
  13. JamiiForums Tanzania Nisaidieni umuhimu wa Katiba mpya kwa CCM na wananchi wasio na itikadi ya kisiasa

    Natamani niwe na mzuka na katiba mpya ila ari haipo kabisa na ninaona wanaotaka katiba mpya wengi ni wapinzani. Je, hitaji hili ni la kisiasa na si haki kama inavyotangazwa? Kwanini wanaCCM hawana mzuka na katiba mpya? Kwanini wananchi tusio na vyama hatuna maoni juu ya katiba mpya? Katiba...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Rais Samia ni wapi bajeti ya Katiba Mpya itoke. Je, Pesa ikichangwa na wananchi, CCM wataridhia mchakato kuanza?

    Ni swali dogo na fupi tu, Kunahofu ya uchumi kudolora kiasi cha kufanya iwe hofu ya baadhi ya mambo mhimu kufanyika kama ukamilishwaji wa Katiba Je, ikiwa wananchi wataamua kuchangia bajeti yote ya mchakato wa katiba mpya, Bado CCM watazuia jambo hili?
  15. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya haipo kwenye Ilani wala ahadi za CCM, Tusimsumbue na tusimuwekee Rais Samia maneno mdomoni

    Lipo wimbi la waliokosa hoja za maendeleo kutaka kutuyumbisha. Rais Samia atapimwa kwa utekelezaji wa Ilani ya CCM tu kwani huo ndio mkataba rasmi na wananchi kati yao na Serikali iliyopo. Katiba mpya haipo kwenye Ilani ya CCM na mgombea (Hayati Magufuli ) na mwenza wake (incumbet president)...
  16. S

    JamiiForums Tanzania CCM inaweza kutupatia kiongozi mwingine mwenye uthubutu kama Hayati Magufuli?

    Pamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ? R.I.P mwamba...
  17. JamiiForums Tanzania Kosa la karne kwa CCM ni kujitenga na hoja ya Katiba na kuwaacha upinzani watambe nayo

    Kwasababu bado sina chama cha siasa, nataka kuwashauri viongozi wakuu wa CCM. 'Msijitenge na hoja ya katiba na kuwaachia upinzani pekee, mnafanya kosa kubwa'. Nimeangalia trend mpaka sasa huko mitandaoni, nimesikitika kuona kwamba kila mwana CCM ambaye ataongea kuhusu katiba mpya, basi...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kuzuia mikutano ya siasa kunaifubaza CCM na kuimarisha Upinzani, ndio maana Uchaguzi Mkuu 2020 ulikuwa mgumu kwa CCM

    Binafsi sioni tija yoyote katika kuzuia mikutano ya kisiasa kwa sababu uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa mgumu zaidi kwa CCM kuliko ule wa 2015. Kuzuia mikutano ni mbinu za kikoloni ambazo hazikuwasaidia lolote wakoloni wa enzi hizo. Natamani awamu ya 6 ije kisasa zaidi, Wapinzani wanakabilika...
  19. JamiiForums Tanzania Hofu ya CCM na wana CCM kuhusu Katiba

    Ukweli siku alipokufa nilifurahi, sikufurahia kifo chake, bali nilifurahi kwa sababu ameondoka kwenye kiti cha taifa. Nilifurahi kapisha kiti hicho kwa sababu Mimi nilimuona hakufaa kukalia kiti hicho. Alikua ana uwezo lakini hakufaa. Kwa sababu gani alikua ana uwezo lakini hakufaa Nina sababu...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia anaifungua nchi ni nani aliifunga? CCM iombe Radhi

    Siku mia moja za Rais Samia ni pongezi kila kona bila kukoma lakini kuna baadhi ya hiana. CCM inafanya hiana kwa Watanzania na baadhi ya washauri wa Rais wasije kutufanyia hiana. Mama tunamuheshimu sana na kwa kweli kaanza vyema. Tunampongeza kwa hatua alizofanya kwa sasa na hatutonyamaza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…