ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. GE2020 Mkutano wa mgombea ubunge wa CHADEMA kata ya Selela Jimbo la Monduli

    Waswahili walisema tangu zamani kwamba hakuna marefu yasiyo na ncha , hicho ndicho kinachotokea sasa huko Monduli . Wamasai wameamka na wamegoma kuabudu binadamu na sasa wameamua kufanya uamuzi kwa kutumia fikra huru . Hizi ni picha za Mkutano wa mgombea ubunge wa Chadema kata ya Selela Jimbo...
  2. GE2020 CCM wanapotosha. Haiwezekani kuwa 70 % ya Wapiga kura ni Wana CCM

    Nimemsikia Polepole Leo akidai kuwa CCM ina wanachama 16 million. Assuming kuwa mwanachama ni lazima awe na umri wa miaka 18 hivyo inamaanisha kuwa kwa idadi hiyo CCM ina 70 % ya Wapiga kura wote kwa Tanzania. Kwa vile anadai kuwa Kila wanachama 3 watarecruit mtu moja hivyo kuwa na wapiga kura...
  3. M

    GE2020 Yaliyojiri Mapokezi ya Tundu Lissu Kongwa na Dodoma Mjini

    Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu leo anaendelea na kampeni zake za kuingia Ikulu katika mikoa ya kati. Mgombea huyo ambaye kila dalili inaonyesha atapata ushindi mkubwa ataingia jimboni Kongwa anakotokea aliyekuwa Spika wa Bunge Job Ndugai. Kuna Maandalizi makubwa ya mapokezi...
  4. Vodacom nani aliyewaruhusu kuwapa CCM namba yangu ya simu?

    Ndugu Mwananchi, Mimi John Pombe Joseph Magufuli, mgombea nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ninaomba kura yako ya NDIYO kwangu, Mbunge na Diwani wa CCM ifikapo tarehe 28/10/2020, Tumetekeleza kwa kishindo tunasonga mbele pamoja. Asante sana na Mungu...
  5. M

    Nimemwelewa Samia aliposema hata tukimchagua Tundu Lissu CCM itaendesha serikali. Usipigie kura mbunge wa upinzani

    Wote hamkumwelewa Samia, Samia kasema kwamba hata tukimpigia kura Tundu Lissu CCM ndiyo watakaoendesha serikali. Bahati mbaya wengi wetu hawajaielewa hii kauli anamaanishanini. Wengi wanamtukana na yeye anafurahia matusi maana kuna kilichojificha ambacho hatukijadili. Hali iko hivi. Samia...
  6. GE2020 Video: Mgombea wa CCM akimwombea kura Magufuli kwa kulia na kugaragara chini!

    Hivi huku kuomba kura kwa namna hii ni kwamba mtu anakuwa anatafuta uongozi wa kwenda kuongoza watu au wanatafuta uongozi wa kwenda kula? Hivi ni wananchi wajinga wa wapi wanaweza kumpa kura mgombea fulani ili awe kiongozi wao kwa kulialia na kugaragara jukwaani bila kuwashawishi watu kwa...
  7. B

    GE2020 Msafara wa kampeni za mgombea Urais wa CCM unagharamiwa na Chama au na Serikali?

    Msafara wake ni mkubwa na ulinzi aliojiwekea ni wenye gharama kubwa sana, matumizi kwenye kampeni na ulinzi ni pesa nyingi ambazo zinaweza kutatua kero katika Wilaya zote kila mwezi. Je, haya matumizi yanalipwa na chama chake au Serikali ndio inalipia kampeni yake? Kumbuka safari ya kampeni sio...
  8. U

    GE2020 Polepole: Dkt. Magufuli ataendelea na mikutano ya kampeni katika mikoa 6. Mama Samia ataelekea Zanzibar

    Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Kamarada Humphrey Polepole leo Jumamosi Oktoba 17, 2020 atazungumza na Vyombo Vya Habari. --- Mgombea urais kupitia CCM, John Magufuli Oktoba 19, 2020 ataendelea na mikutano ya kampeni katika mikoa sita akianzia Pwani na kumalizia mkoani Dodoma Oktoba 26, 2020...
  9. S

    GE2020 Vijijini mwamko ni mkubwa mno katika mikutano ya Tundu Lissu

    Kampeni au tuseme mikutano ya Lissu inathibitisha hilo na mimi binafsi nimeliona hilo na hata leo Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameongelea swala hili katika hii tweet yake hapa chini: Vijijini mwamko ni mkubwa mno....mijini ndiyo kabisa. Tunashukuru sana kila mtanzania anayejitokeza kuja...
  10. B

    GE2020 Tukiwanyima CCM kura tutaingia kwenye kitabu cha Historia ya Ukombozi

    Tunawasoma watu maarufu waliopingana na uonevu wa wakoloni wakatuletea ukumbozi. Waliofanya hayo walianza kwenye sanduku la kura 1958 na 1961 wakaingia ikulu na mzungu akafungasha virago. Toka 1961 Hadi leo kwanini tunawakumbuka na kuwashukuru? Ni kwa sababu watu waliamua kutotawaliwa, kuminywa...
  11. Kitambulisho cha Mjasirimali ni mwiba kwa CCM

    Kama Kuna Uchaguzi ambao CCM inapelekeshwa ni Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2020! Mhe. Tundu Lissu ameendelea kusambaratisha ngome za CCM kwa hoja nzito ya Kitambulisho Cha Mjasiriamali au MACHINGA kwa kudai kwamba VITAMBULISHO hivo Ni Ufisadi kwa vile vilitolewa bila Risiti na havina: 1. Jina la...
  12. GE2020 CCM Tabora hali tete, kampeni za CHADEMA zawachanganya, Waanza kuwadanganya wazee kwa vitambulisho vya matibabu ya bure, wazee wastuka!

    Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! hatimaye amejibu kikamilifu maombi ya Watanzania baada ya kuwaamsha Wazee wa Tabora waliokuwa kwenye usingizi wa pono, ambao sasa wameapa kuiteketeza kabisa ccm bila huruma kwa kukataa hongo ya matibabu ya bure iliyoletwa kwa lengo la kuwarubuni ili waichague...
  13. S

    GE2020 Viongozi wa taasisi kama Polisi na NEC kuibeba CCM dhidi ya vyama vya upinzani ni kuelewa kwamba wapinzani wakichukua serikali wataondolewa vyeo vyao

    Wala sio hesabu ngumu. Ni wazi sana kwamba taasisi kama Polisi na NEC mara kwa mara zinafanya ukosefu mkubwa wa usawa dhidi ya vyama vya upinzani. Umewahi kujiuliza kwa nini? Sababu ni moja, viongozi wa taasisi hizi wanajua wazi kwamba Upinzani ukichukua serikali wataondolewa madarakani...
  14. A

    Je, Rais Magufuli anailea familia yake kama Baba wa Taifa alivyoilea yake?

    Wadau, Huu ni uzi wa swali. Nimefuatilia kwa karibu kuona jinsi Rais Magufuli anavyoilea familia yake na nikaona kuna mfanano fulani na jinsi hayati baba wa taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere alivyoilea familia yake. Kwanza sijaona mama yetu Janet Magufuli akiwa na taasisi yake Kama wake...
  15. Upinzani Tanzania utashinda tu na kuiondoa CCM 'Madarakani' kama ikianza na haya Muhimu na si blah blah zao

    1. Wajiimarishe kuanzia ngazi za chini kabisa za Wananchi ambapo CCM ndiyo huwa inawashindia 2. Wapambane kuwa Taasisi kweli kweli na siyo Vyama ambavyo vinakuwa 'Active' tu wakati wa Chaguzi 3. Waache Unafiki ( Undumilakuwili ) wao unaowamaliza 24/7 japo Ukweli huu huwa hawaukubali 4. Wasitumie...
  16. J

    Madaraka Nyerere asema atastaafu siasa siku chache zijazo!

    Mtoto wa Baba wa Taifa ndugu Madaraka Nyerere amesema atastaafu siasa siku chache zijazo. Ikumbukwe kuwa Madaraka alikuwa mwenyeji wa mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu alipotembelea Butiama na kulala nyumbani kwa Mwalimu Nyerere. Source: Radio One Maendeleo hayana vyama!
  17. E

    GE2020 CCM wanakosea wapi?

    Kwa kipindi ambacho nimekifahamu Chama cha Mapinduzi kwa chaguzi zilizopita. Kimekua kikifanya vizuri kwenye kufanya Kampeni za Uchaguzi. Sisemi kwamba mbinu zote walizotumia zilikua ni sahihi za haki na za usawa"fair". La hasha. Ila nyingi ya mbinu walizotumia, mfumo wao wa Kampeni na njia zao...
  18. Video: Halima Mdee akiomba matengenezo ya barabara za Kawe bungeni

    Hii ndiyo kazi ya mbunge.Mbunge anaongea na waziri kupitia bunge. Magufuli na Gwajima alitaka Halima afanye nini zaidi?
  19. GE2020 Picha: CHADEMA yaendelea na kampeni Mbarali , CCM hali mbaya

    Maneno matupu hayavunji mfupa , mtiti wa Mwang'ombe huu hapa , Huu ni umati wa wanakijiji cha Kapunga .
  20. GE2020 PICHA: Ingetokea kada wa CHADEMA ndiye angetinga hivi kwenye mkutano wa mgombea wa CCM, angetoka salama?

    Nimemfuatilia sana huyu jamaa kwenye mkutano wa Chadema uliokuwa unahutubiwa na Mh. Tundu Antiphas Lissu, alivyokuwa anahangaika, mara atoe kiredio chake mfukoni kama vile anawasiliana na mtu asiyeonekana, mara atafute namna ya kusogea karibu zaidi na alipo Mh. Lissu, mara atafute nafasi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…