Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha Wakulima (AAFP) Said Soud, amekiaasa chama cha ACT Wazalendo kuacha kuhamasisha fujo kwa kisingizio cha kura ya mapema kwani kufanya hivyo ni kuonesha kwamba wana uchu wa madaraka.
Pia Said Soud amewaambia ACT WAZALENDO hawana nuwezo wa kuitoa...
Mwanasiasa machachari na aliyewahi kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Cecilia Paresso, ambaye pia aliweka nia ya kuwania ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) hivi karibuni, ameeleza sababu za kujiunga na chama hicho ambazo ni...
Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa. Kama kwa nyakati hizi unaongelea kumwaga oil ya CCM na kupuuza utekaji, haki na demokrasia kwa ujumla wake utakosa watu wa kukusikiliza. CCM pamoja na kujigamba hawafiki hata 50% ya Watanzania. Chadema wanasikika kwasababu wanaongelea mambo...
Wenye akili tu. Nyie mnaona kipi Cha maana kwenye Ilani hii? Machawa na wanufaika wa mfumo wao kazi yao ni kuimba tu mitano tena. Lakini ni kipi Cha maana ambacho tunakwenda ku present katika Dunia hii ya ushindani wa kiuchumi walau tuiweke nchi kwenye ramani? Ilani iliyopita ilikuwa na vitu...
Sote ni mashuhuda kwamba,
Kila kona ya nchi anapopita mgombea uraisi wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza wake Dr.Emmanuel John Nchimbi, hakuna mTanzania anaethubutu kubaki nyumbani, bali wananchi wote wakubwa kwa wadogo maeneo husika hujitokeza kwa maelfu kumpokea, kumuona na...
Wakuu,
Huyu angekuwa hataki kuchora picha angeacha hata
Haiwezekani amchore hivi Rais wetu ambaye ameleta maendeleo kwenye nchi hii kwa kiwango cha kushangaza
Sijapenda na nimeumia sana. Huyu hajui kama Rais wetu kajenga SGR, kamaliza bwawa la Nyerere, katiangaza Tanzania kupitia Royal Tour...
Siku Moja baada ya mgombea mwenza wa CCM Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kutoa kauli ya 'kumtaka' Luhaga Mpina kurejea kwenye chama hicho kutoka ACT Wazalendo aliko hivi sasa, Mpina amesema vigogo wa chama hicho tawala wasahau suala la yeye kurejea kutokana na kile alichodai kuwa chama hicho...
Wasalam.
Nchi hii ni yenu, wananchi ni wenu, tume ya uchaguzi ni yenu, mahakama ni yenu, vyombo vya ulinzi na usalama ni vyenu, vyombo vya habari ni vyenu, wasanii wote ni wenu sasa mbona mnapaniki kiasi hiki na kujichanganya? Mnalaani ikani au mnanadi?
Mgombea ubunge wa jimbo la Tunduma kupitia chama cha mapinduzi CCM amewaapisha wanatunduma kumpigia Mgombea wa nafasi ya urais kupitia chama hicho Samia Suluhu Hassan, amefanya hivyo leo katika kampeni za chama hicho Tunduma, mkoani Songwe.
"Siku tukiwatoa Madarakani CCM kwa jina la Mungu muumba wa majeshi hiki chama kitakufa kwa sababu wamelegealegea, wamezoea utepeutepe, wanabebwabebwa na dola, siku tukiwatoa na jinsi tulivyo na hasira kuijenga taifa hili, jinsi tulivyo na akili ya kutumia rasilimali za taifa hili itatuchukua...
https://www.youtube.com/live/oKhmY026yws?si=5-O75s2JdtUZjczD
Angalia hii Live yanayoendelea Songwe-MLOWO
Leo, macho na masikio ya Watanzania yameelekezwa Mkoani Songwe ambako mgombea urais anayependwa zaidi duniani kwa sasa, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anaendelea...
Ukiwa huku mtaani Vijana wa CCM wanadhani Chama chao ndicho "Chama Tawala".
Chama kama taasisi haiishii tu kwa watu, bali Ilani, sheria, kanuni, taratibu na miongozo ya chama, kisha Wanachama na wafuasi. Katika hali ya kawaida tu; taifa lenye mfumo wa vyama vingi kama Tanzania suala la uhuru...
CCM itakuwa kama ZANU ya Zimbabwe. Mugabe hivihivi alipuuza watu akabaki madarakani lakini nchi ndiyo ikamuacha. Kubali madarakani bila nchi kuwa moja ni mbaya. angalieni zimbabwe na ubishi kama CCM nchi yao ingekuwa wapi leo!!!
ZANU-PF, Zimbabwe's ruling party, has failed to deliver for the...
Edward Kakwale ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kutokea Wilaya ya Momba Mkoani Songwe kutokana na Rais Mstaafu wa awamu wa nne Dkt. Jakaya Kikwete kujibu hoja ya Polepole siku ya uzinduzi wa kampeni za CCM pamoja na mwanachama wa CCM Rostam Aziz pia kumjibu Polepole.
Akizungumza na...
Wajumbe wa CCM walimpa Samia ushindi kwa 100%.
Mlikuwa mnasambaza video ile jamaa anasema mgombea (Rais Samia )atoke chumba cha kupigia kura mukiwa na lengo la kuuaminisha umma kuwa Samia hakubaliki na wajumbe. Samia honestly alisema kama hawamtaki wamkate tu mbele zake hana shida . Wote 100%...
Ipo wazi sera ya Ujamaa aliyoasisi nyerere ndiyo iliyozaa Chama ovu kisichojua misingi ya demokrasia na kilichojaa rushwa, na udikteta wa kiimla, ni wazi nchi zote zilizokulia katika mifumo ya kijamaa Zina mifumo ya kiimla au kidikteta hasa katika ugawaji wa madaraka,
Pamoja na mazuri yake ila...
Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amemtaka aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpiga kurejea CCM haraka.
Hivyo, amewaagiza wananchi wa Kisesa mkoani Simiyu kumfikishia salamu hizo Mpina, kwamba siku ya kurudi atampokea mwenyewe ( Dk. Nchimbi) na...
Tangu Chama cha Mapinduzi (CCM) kilipozindua kampeni zake za uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2025 katika uwanka wa Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam, kumekuwa na mijadala kuhusu ahadi zinazotolewa na mgombea urais wa chama hicho, Samia Suluhu Hassan.
Miongoni mwa ahadi zilizotolewa na...
Polepole ndiye wa kuaminiwa kwa sasa kuliko kiongozi yeyote wa CCM na au mwanachama na mkereketwa yeyote kote nchini
Kama tu Rais wetu alisema mbele ya wana CCM na Watanzania wote kwamba, uchumi wetu kwa sasa ni mzuri kuwashinda hata wamagharibi na Wamarekani watashindanaje na hoja za polepole...