ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania CCM haiwezi anguka kirahisi, ina kila namna ya kuwa-reward makada wake

    Habari wakuu. Baada ya kusoma kiarticle fulani, nimeona kitu hiki. Tawala nyingi huanguka kutokea ndani. Si kitu rahisi watu kutoka nje kuangusha utawala ambao upo established. Mfano ni Rais wa Misri Mubarak, alianguka baada ya majenerali kuacha kumuunga mkono. Mambo yanayoweza sababisha watu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Vijana, wazee na viongozi wa CCM mmemsusia mama?

    Kuna mgomo na mpasuko ndani ya ccm, labda hawakubaliana na aina ya viongozi waliopo kwenye chama au wengi wamefunikwa na mapinduzi yakiutawala yaliyofanywa na mama awamu ya sita. Hakuna anayejadili habari za mama positive isipokuwa viongozi wa kitaaifa na wakiondoka jukwaani wanarudi kulekule...
  3. JamiiForums Tanzania Huyu kiongozi kama angelijua CCM iko hivi asingelifanya juhudi kusaidia taifa lake

    Kifo chake kimesikitisha wanyonge wengi na wapinga ufisadi. Juhudi zake kubwa kukusanya mapato, kudhibiti mafisadi, kujenga vituo vya afya na kuteteta wanyonge zilikuwa haziwafurahishi wanaCcm wenzake. Kumbe kwa miaka mitano alikuwa kauzibe wa mikakati yao ya kuwadhulumu na kuwanyonya wanyonge...
  4. M

    JamiiForums Tanzania 2025 Tayari CCM wanatuletea mama Samia na CHADEMA tayari nao wanatuletea Lissu. Je! Mgombea yupi atatuvisha?

    Mama naamini katika chanjo na Lisu pia anaamini katika chanjo. Mama anaamini sana wazungu, Lisu pia wazungu kwake ni kila kitu. Mama hajawai kuwa na bifu na Lisu, na Lisu pia hajawa kuwa na bifu na mama. Mama hajalala sana au kabisa katika dini, Lisu pia hana historia ya kugusa kanisani. Mama...
  5. J

    JamiiForums Tanzania CCM yashusha maelekezo mazito bandari ya Mtwara

    CCM YASHUSHA MAELEKEZO MAZITO BANDARI YA MTWARA Ijumaa Sept 17, 2021. "Pamoja na uwekezaji huu mkubwa wa takribani bilioni 158.8 za kuboresha bandari hii ya Mtwara ni ajabu haitoi huduma kama ilivyokusudiwa" shaka Mwenezi Taifa "Sababu ikiwa ni urasimu na hata hujuma zinazofanywa na baadhi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania CCM Hii ndo Hii au tutegemee Mabadiliko?

    Ni swali Tu.🤔
  7. U

    JamiiForums Tanzania CCM yaitaka wizara ya afya kuacha utendaji wa mazoea

    Hayo yamesemwa leo tarehe 17 Septemba, 2021 na Katibu wa Halmashuri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka akiwa Wilayani Mtwara ikiwa ni muendelezo wa ziara ya wajumbe wa sekretariet inayoongozwa na Katibu Mkuu Ndugu Daniel Chongolo. "Wananchi hawana matarajio mengine kwa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania CCM na Serikali wengi wanasikiliza, kusoma na kufuatilia akaunti za wapinzani na activists kuliko akaunti zao

    Hakuna akaunti yoyote ya mitandao ya kijamii inayomilikiwa na serikali, Wana CCM na Watumishi wa serikali ambayo ipo active kwenye mijadala na inayopata usomaji na uchanguaji wenye afya. Wakati huo huo tunaambiwa wananchi wengi na watu wengi walioelimika na kuwa na uwezo wa kifedha wapo...
  9. JamiiForums Tanzania James Rugemalira aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na mashtaka

    Salaam Wakuu, Leo nimepita maeneo ya Mahakama ya Kisutu, Nikakuta Mkurugenzi wa kampuni ya VIP na mmiliki mwenza wa zamani wa IPTL, James Rugemalira anatabasamu akiwa na ndugu zake wakipeana hugs na kuchumiana. Inaashilia kuna dalili nzuri leo Mzee wa Henken akaliona jua. Langu Dua. James...
  10. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na Wenzake: Polisi Wazuia watu kuingia kufuatilia, Mawakili wa Utetezi watoka nje. Kesi yarejea na kuahirishwa mpaka 17 Sept

    Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku. Askari magereza wanalalamika kwamba jana tumefanya...
  11. JamiiForums Tanzania Ni suala la muda tu: CCM itabaki kuwa ya wanawake

    Habari zenu wakuu? Kwa kauli za Rais Samia jana sikuzifurahia kabisa, kwani ni za kibaguzi. Hazina tofaugi na kauli za kidini kama ile aliyoitoa Lowassa akiwa KKT Tabora 2015. Katiba yetu ya JMT ibara ya 13(2), (4)(5)(6) na ibara ndogo (a) mpaka (e). zinakataza mamlaka yoyote kuweka ubaguzi...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyowaandaa wanawake wamchague mwanamke 2025, vyama pinzani navyo viruhusiwe kufanya siasa kupambana na huyo Mwanamke

    Rais ametangaza rasmi kwamba wanawake watakuwa na kazi yakumpata Rais mwanamke 2025 means kwa kauli hii amewaambia chama chake kwamba mgombe atakuwa mwanamke aidha yeye au mwanamke mwingine. Hii inatoa tafsiri ya wazi kwamba wanaume kwa upande wake awataruhusiwa kupambana na mwanamke...
  13. JamiiForums Tanzania Wafuasi nguli wa CCM waanza kunyukana humu jukwaani kuna nini tena?

    Kama umefuatilia kesi ya mbowe humu JF ,utaona wazi wafuasi nguli wa CCMccm humu jukwaani wameanza kunyukana wao kwa wao,Je hii inamaana gani? Je, Mnyukano huu huenda upo ndani hata ya NEC ya Ccm? Hakika mwamba Aboubakar Isike Mbowe siku moja ya kesi umewanyoosha hawa akina USSR YEHODAYA na...
  14. JamiiForums Tanzania CCM wanawaza kubaki madarakani, hawawazi Uchaguzi Huru na hawataki Katiba Mpya

    Wasalaam, Leo ilikuwa maadhimisho ya cku ya demokrasia duniani ambapo kwa hapa tanganyika mgeni rasmi alikua mh Rais wa JMT. Sasa nimesikitika na vijembe alivyokua akirusha wakati akihutubia ikiwemo kauli za kibaguzi dhidi ya wanaume. Mh Samia hajaongelea hali ya demokrasia hapa tanganyika...
  15. JamiiForums Tanzania Hawa ndio Wapinzani wanaoweza kui-challenge CCM mwaka 2025

    Habari zenu ndugu zangu, Ndugu zanguni kama ilivyo ada mgombea wa chama nilichokitaja hapo juu ameshafahamika. Sasa hawa ni baadhi wa wapinzani ambao ikitokea wakachaguliwa na vyama vyao kuviwakilisha katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, basi wanaweza kum challenge japo sio kumshinda mgombea...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Je, 2025 fomu ya urais kura za maoni CCM itakuwa moja?

    Ninavyofahamu kwa utamaduni wa CCM Rais Samia muhula wake utakamilika 2030. Sasa kufuatia uzushi wa kile " kigazeti" ni kama kuna watu ndani ya CCM wana mipango miovu ya kutaka kugombea nje ya utaratibu wa chama. Nakazia tu 2025 itoke fomu moja tu kama ilivyokuwa 2020. Mungu ni mwema wakati wote!
  17. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM kuita gazeti la chama "vigazeti" ni kosa kubwa

    Nanukuu "Wameanza kutuchokoza, Kuandika kwenye vigazeti kuwa Samia hata gombea, nani kasema." Hapa nadhani mwenyekiti ameteleza maana gazeti lililoandika habari hii ni gazeti la Uhuru linalomilikiwa na Chama cha Mapinduzi. Kuliita gazeti hili kigazeti ni kosa kubwa sana. Ila kama ndiyo...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Operesheni Ondoa CCM 2025 inanze sasa

    Ndugu zangu wapinzani nawaomba tuweke itikadi zetu mfukoni na tuendeshe Operesheni Ondoa CCM 2025. Katika operesheni hii siyo mbumbumbu kuzunguka wakiwatangazia watu ondoa ccm 2025 bali ni kwetu sisi kutazama ili tuwaondoe hawa tunahitaji kufanya nini? mkakati uko hivi 1. Tutazame makundi ya...
  19. H

    JamiiForums Tanzania CCM ingekuwepo enzi za Pilato

    Utawala wa CCM ni aibu kwa Afrika, ni aibu kwa Dunia. Ulimwengu wa leo ambapo Dunia imestaarabika na kutambua kuwa wewe kuwa kiongozi haimaanishi umekuwa binadamu zaidi, mwerevu zaidi, mwananchi zaidi, mzalendo zaidi au na utu zaidi, bado CCM haijalitambua hilo. Wakati Dunia ya wastaarabu...
  20. JamiiForums Tanzania Shule nyingi za sekondari zinazomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi wa CCM zadaiwa kufungwa kwa kukosa wanafunzi

    Shule za sekondari zinazomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi wa CCM zimeanza kufungwa na kubaki kuwa mazalia ya wadudu, baada ya wananchi kwa umoja wao kuzigomea kupeleka watoto kusoma humo. Hii ni baada ya wananchi hao kufahamu kwamba chanzo cha umasikini na dhuluma dhidi yao Kwa miaka yote ni CCM ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…