ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2022 ni uchaguzi wa ndani wa CCM

    Je, watanzania tuna msimamo gani na mtazamo gani juu ya chama tawala? Tunatarajia nini kwa hali iliyopo kuhusu uhalali wa chama hiki kuendelea kuongoza taifa letu? Mwalimu Nyerere mwaka 1962 aliacha uongozi wa serikali kwa msaidizi wake (Kawawa), akajitoa serikalini na kubaki chamani tu ili...
  2. JamiiForums Tanzania Kweli CCM ina wenyewe, Nape alisema ukweli. Hawa ndio wenye CCM wengine wamevamia!

    Nape aliposema CCM ina wenyewe wengi hawakumuelewa! Nape alimaanisha kuwa CCM imeshikiliwa na kundi fulani la watu wenye nguvu na ushawishi wao ndio huamua wanamtaka nani ndani ya CCM na nani hawamtaki. Lakini kwa bahati mbaya kundi hili 2015 lilijichanganya likamkabidhi mshikaji mmoja usukani...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Pazia la hekalu linapasuka, asante wenye CCM

    Chama kimeshatekwa na wahuni hakuna atakae kikomboa tena kwa sasa kwani wale wazee waliokuwa na nguvu hizo wamejichokea kwa sasa na wengine tayari wameenda zao. Wahuni wakiongozwa na boys 2 men ni very organized walijua kuwa wanaowabana ni wazee ila watakuja kuphase out tu siku moja; wao...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kama kauli hii kaisema Mzee Bulembo, naomba wana CCM watunukiwe tuzo ya unafiki uliotukuka

    "Serikali ya Hayati Dkt. Magufuli ilitengeneza Maadui wengi na nchi za Kimataifa kupitia Waziri Kabudi ila Serikali ya Rais wa sasa Samia imerejesha Mahusiano mema na Mataifa mbalimbali kupitia Waziri Mulamula" Mzee Bulembo Kada Mwandamizi wa CCM na aliyewahi pia kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya...
  5. JamiiForums Tanzania Kumbe Bashiru Ally, Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM ni Mwanachama wa CUF?

    Kiukweli hili sikulijua wakuu, hivi iliwezekanaje mwanachama wa CUF kuteuliwa kwenye cheo kikubwa Kabisa cha chama kingine cha KATIBU MKUU? Ukweli huu umebainishwa na Bulembo aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazee wa CCM, ambayo iliwahi kushutumiwa na Kamati ya kuchunguza mali za CCM...
  6. JamiiForums Tanzania Huenda Polepole ni changa la macho. Huenda ni upinzani feki unaojengwa na CCM yenyewe

    Sielewi anapambana na nani, kwanini na kwa sapoti ya nani? Na vipi anaweza kutumia vyombo vya habari vya CCM kujenga falsafa binafsi za siasa. Kama ni mpinga utawala uliopo anangoja Nini kujiondoa CCM. Kila nikitafakari namuaona ni uvimbe ndani ya CCM.
  7. JamiiForums Tanzania CCM ni ile ile, ndugu wakigombana shikeni jembe mkalime

    CCM ni ile ile jana juzi na kesho, ndugu wakigombana shikeni jembe mkalime 2025 wakipatana mpate mavuno, tunawaona jinsi watu wanavyodemka kwa kufuata midundo huu ndio utamaduni wa CCM kupata mtikisiko na kuzidi kujititia zaidi ni ngumu kuing'oa. Kama haikuwezekana 2015 CCM walipoamua...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Nape ni aibu na fedhea kwa CCM, kuachwa kwake kutaleta aibu kubwa ndani ya CCM

    Kwa muda mrefu nimekuwa ni adui wa kauli na utendaji usiofata misingi wa Nape Nnauye. Kauli zake Mara nyingi zinaonesha ni mtu anayejisikia, mtu ambaye anaamini kwamba bila yeye CCM haiwezi kusonga mbele,kwa kifupi anajiona ni mungu mtu ndani ya CCM. Nape anachotakiwa kujua ni kwamba chini yake...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ni nani yuko nyuma ya uozo Shule za Wazazi (CCM)?

    Nimepita kwenye shule mbili za jumuiya ya wazazi CCM hapa mkoani mbeya yaani Meta sc na Sangu SC, ambazo kwa miaka ya nyuma zilisifika na kutukuka kwa kufanya vizuri sana na kuvutia watu wengi ndani na nje ya nchi. Kilichonisikitisha ni namna shule hizi zilivyotafunwa na uongozi mbovu na kila...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Bulembo: Polepole ni Unyasi kaletwa CCM na kokoro, V8 ameijulia CCM, Bashiru alitoka CUF. Nataka Mdahalo na Polepole

    Maneno ya Bulembo! Polepole ni unyasi mkavu ni mdogo sana Mangula ashughulike naye. Bulembo anataka mdahalo na Polepole na yuko tayari kulipia ukumbi. Bashiru wa CUF hakutakiwa kuwa pale maana hajakulia katika chama cha mapinduzi! Sasa najiuliza kumbe chama cha mapinduzi ili uwe kwenye kundi...
  11. JamiiForums Tanzania Ewe Nape hata 2015 ulimtaka Membe lakini hakuwa, CCM haina mwenyewe

    Hili ni bandiko la kumkumbusha tu Nape Nnauye kuwa si kweli kwamba CCM ina wenyewe kama alivyosema kwenye bandiko lake la jana huko twita akimjibu kiroboto. Bwana Nape akiwa kiongozi wa juu kabisa wa ccm kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015 alimtaka sana Benard Membe ndiyo awe mgombea wa CCM na...
  12. JamiiForums Tanzania Taifa letu limekosa upinzani thabiti, nani atainyoosha CCM?

    Sisi Chadema ndio tumekosa hoja kabisa za kunyoosha na kuikosoa hii CCM ya wakandamizi. Act wazalendo ndio wamebakiza mipasho huko Twitter na kwa ujumla wameunga juhudi. Sisi Chadema hatuna mwelekeo wa kisiasa kabisa. Sioni ajenda au mkakati wa kupambana na Ccm zaidi ya kuwa washabiki wa...
  13. JamiiForums Tanzania CCM na Serikali jibuni hoja za Humphrey Polepole, msimzime kidola

    CCM NA SERIKALI JIBUNI HOJA ZA POLEPOLE, MSIMZIME KIDOLA. Na Yericko Nyerere Kinga uliyonayo ni kwa muda tu, hakuna kinga ya kudumu, Hata Job Ndugai na wenzake kinga walizojiwekea kipindi walipokuwa kwenye dibwi la kuvunja haki za watu na kuvunja Katiba ya Tanzania, ina muda mfupi sana...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mataga, UVCCM na CCM Mpya mbona mnamtelekeza Polepole na Gwajiboy?

    Enzi za utawala wa kisahunga haya makundi mawili yalikuwa active kama nyuki. Ukigusa mmoja wao basi ujiandae kupata mashambulizi kutoka kila kona. Pengine kwa sababu tulikuwa uchumi wa kati na huenda walikuwa wanalipwa vizuri. Si unajua CCM maslahi? Sasa awamu hii joka walilolifuga...
  15. JamiiForums Tanzania Ni wakati wa WanaCCM kuwakataa wahuni wanaoleta matabaka ndani ya Chama

    Kwa wana CCM wasio na “baba walezi” kataeni matabaka kwenye Chama chetu maana ndio msingi wa Usawa wa Binadamu ambayo ni Imani ya Kwanza ya Chama chetu na wanachama. Matabaka ni mbinu moja ya wahuni kukidhoofisha Chama chetu kwa maslahi yao, tuikatae tabia hiyo #kataawahuni.
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia usiwasikilize wala kuendeshwa na wahuni simama na Ilani ya CCM

    Huu ni wito. wapo wahuni huku mtaani walioanza kujitanabaisha na kujipendekeza kwako yaani wakijidai wamerudi kwenye "game"na wakitumia jina lako. Sisi wazalendo tunakujuza kuwa hao ni wahuni tu na ni watumia fursa. chapa kazi na kazi iendelee na kamwe wasijitwike ujuaji eti wanasaidia au...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kati ya Nape na Kolimba, nani ametoa kauli hatari zaidi kwa chama cha CCM?

    Marehemu Horace Kolimba: CCM imepoteza dira. Nape: Chama kina wenyewe Tukumbuke hawa wamekuwa viongozi wakubwa tu ndani ya CCM hivyo kauli zao sio za kuchulia mzaha. Japo Kolimba aliongea ukweli, tunasikia aliitwa kujieleza; je, Nape nae hastahili kuitwa na chama chake ili ajieleze?
  18. JamiiForums Tanzania Acha waseme Chama cha Mapinduzi kina wenyewe

    Hii ndiyo habari ya mjini kwa sasa. Kauli ambayo ameitamka waziwazi bila kificho NAPE MOSSES, MBUNGE WA MTAMA. Kwa hali hiyo na maana pana ni kwamba hii nchi imepo mikononi mwao hakuna wa kutoa maneno kwa sasa mheshimiwa polepole amebaki kuwa kiroboto ambaye muda wowote atanyunyuziwa dawa na...
  19. JamiiForums Tanzania Nape na Polepole Wote walikuwa na kiburi wakiwa wasemaji wa CCM

    Wote walikuwa na viburi wakiwa wasemaji wa Chama. NapeaNnauye alipokuwa Katibu Mwenezi wapinzani wake binafsi na waliokuwa nje ya mstari wa Mwenyekiti, hususani Lowasa walikiona cha moto. Humphrey Polepole naye aliwasomesha namba wote waliokuwa kinyume na Magufuli
  20. N

    JamiiForums Tanzania Nani wapo nyuma ya Polepole? CCM wanamlinda?

    Wandugu,kwa kauli na maneno ya hovyo anayotamka huyu Polepole inaonesha hayupo pamoja na CCM wala viongozi wa serikali. Anaongea kwa kujiamini sana bila kujali chochote. NI UTASHI WAKE AU KUNA KUNDI KUBWA LA WATU WENYE NGUVU NYUMA YAKE?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…