ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Nimetafakari kuhusu matokeo Ya Mitihani, je kuna jambo lolote Serikali ya ccm imeshafanya vizuri kwa ufasaha zaidi ya kuiba kura kwa ufasaha?

    Sio kwenye elimu tu, huko kwenye afya na kilimo mambo ni fyongo tu. Tuje sasa kwenye uchaguzi, mwaka 2019 walishinda vijiji vyote kwa 100% na mwaka 2020 walishinda ngazi zote za uchaguzi kwa asilia 90-100% Kama nguvu ile ya kuiba uchaguzi ingetumika kwenye Kilimo kusinge kuwa na njaa wala...
  2. JamiiForums Tanzania CCM wameshindwa kuendesha nchi, huo ndiyo ukweli

    Hakuna wakati wowote ule, nchi yetu ya Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) imewahi kuongozwa na chama kingine chochote kile zaidi ya hapo awali kuongozwa na TANU (Tanganyika) na ASP (Zanzibar) vyama ambavyo viliungana na kuzaliwa CCM. Kwa ivo umaskini wetu, ujinga wetu uliotopea, maradhi...
  3. JamiiForums Tanzania CCM Zanzibar yathibitisha majina ya Wakuu wa Idara za Kamati Maalum

    Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameongoza kikao cha kwanza cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar, kikao hicho kimethibitisha majina ya wakuu wa idara za kamati za Maalum majina ya wakuu wa idara ni...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kijana ukiwa mshabiki wa CCM watu wanajua we ni mchumia tumbo tu

    Hili jambo kwa kweli haliko sawa. Imefika mahali image ya mtu inachange kabisa. Yaani ukiwa mkereketwa kijana wa CCM hata ukajitetea vipi kwamba jamani na mimi niko kwa maslahi ya Taifa bado vijana wenzio na wazee hawatakuamini. Wanachojua ni kuwa umefata ulaji tu. Sambamba na hayo watu...
  5. JamiiForums Tanzania Miaka 46 ya tukitawaliwa na CCM huku watanzania wakiwa na umasikini wa hali ya juu. Rais Samia akikata keki ikulu na kuchekelea.

    Kila kona kuna shida ya maji. Wanafunzi bado wanatembae umbali mrefu kuta kutafuta elimu Kodi kandamizi na tozo za kibabe Leo hii mkuu wa nchi anakula keki bila huruma kwa wananchi.
  6. JamiiForums Tanzania Ili nipate uteuzi ni lazima kuwa kada wa CCM au niwe Chawa wa Mama?

    INTRODUCTION Eeh bwana ehh habari zenu Nikiri Mimi sio shabiki kabisaa wa siasa. Yaani sina Kadi ya chama chochote na sifikirii kuwa na Kadi ya chama chochoteee kileee. Na kifupi huwa sifatilii zile habari za siasa zaidi ya hizi ambazo zinapostiwa insta kwenye page za habari za labda msingwa...
  7. JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu ana mahusiano na mwanamke wa kizungu?

    Nguli wa siasa nchini, bwana Tundu Antipas Lissu leo ameondoka Ubelgiji kurejea nchini. Wakati anaondoka ameonekana anaagana 'Kimahaba' na mwanamke wa kizungu uwanja wa ndege. Je, haitamletea shida kisiasa ikizingatiwa anayo ndoa rasmi na Alice Magabe na kuzaa nae watoto wawili? Nini...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ramadhani Mlao aunguruma mkoani Shinyanga kuelekea maadhimisho ya miaka 46 ya CCM

    Jumatano, Jan 25, 2023. Shinyanga mjini, Shinyanga. Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Cde Ramadhani Mwishehe Mlao (MNEC) amezungumza na wanachama wa CCM mkoa wa Shinyanga kuelekea maadhimisho ya miaka 46 ya CCM katika wilaya ya Shinyanga mjini mkoani Shinyanga. Katika ziara hiyo ya...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia ungemteua Jerry Muro kuwa Mwenezi wa CCM Taifa ungekuwa Umeupiga Mwingi zaidi

    Ana kila Kitu tena huyu ni zaidi hata ya alivyokuwa Nape Nnauye na alivyo huyu Uliyemteua sasa Dada Sofia Mjema ambaye kwa Uzito wa hiyo nafasi sioni kama ana amsha amsha na Ubavu wa Kutema Cheche. Mtu mwingine ambaye nafasi hii ingemfaa sema tu kwa sasa ni Mbunge ni Livingston Lusinde Mtoto wa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania MNEC Mlao akitema cheche Misenyi, Kagera

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Cde Ramadhani Mwishehe Mlao (MNEC) ametikisa kwa kishindo kikubwa kuelekea maadhimisho ya miaka 46 ya CCM katika wilaya ya Misenyi mkoani Kagera.
  11. JamiiForums Tanzania Mbowe asikitishwa na wanaobeza maridhiano ya CCM, CHADEMA

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameeleza kusikitishwa na baadhi ya wanachama wa chama hicho kumfikiria kuwa anasaliti Watanzania kwa kufanya maridhiano ya kisiasa na CCM. Akizungumza na wananchi leo Jumamosi Januari 21, 2023 wakati wa ufunguzi wa mikutano ya hadhara ya chama hicho, Mbowe...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM na mwendo wa kula kwa urefu wa kamba zao

    Wananchi tunalalamika na mzigo wa kodi usio wa haki. Wanaanza kudai kodi ya pango day 1 umepangisha baada ya safari ndefu Isiyowahusu wao ya ujenzi wa nyumba. https://www.jamiiforums.com/threads/wizi-wa-tra-kupitia-kodi-ya-pango.2058986/ Wao Kodi hawalipi, ila sisi. Kulikoni bus hili la...
  13. JamiiForums Tanzania Nalaani suala la Sizya wa Clouds kuuliza ukomo wa Uenyekiti wa Mbowe

    Huyu mtangazaji wa Clouds anatumiwa na CCM kwa maslahi ya nani? Yuko laivu mida hii halafu anamuuliza mchungaji Msigwa "the forbidden question " Jamaa amemuuliza Msigwa eti ni lini Mbowe ataachia nafasi ya Uenyekiti? Kwa kifupi Msigwa alishindwa kabisa kulijibu swali hili zaidi ya kuruka ruka...
  14. JamiiForums Tanzania Hofu ya CCM kwa vyama vya upinzani ni ya kweli?

    CCM na hata Mwl Nyerere RIP hofu Yao kuu kwa vyama vya upinzani ni kuvurugika kwa umoja, amani na mshikamano wa watanzania, kuvunjika kwa muungano na vita ya wenyewe kwa wenyewe. Je, hofu hii ni ya kweli na dhahili? Je, wanasiasa wa vyama vya upinzani wanao uwezo wa kudumisha mshikamano...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

    Ni asubuhi tulivu siku ya Jumamosi tarehe 21 Januari hapa Jijini Mwanza. Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa hapa Jijini Mwanza kutakakofanyika shughuli kubwa ya kisiasa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Chadema Leo inazindua Rasmi mikutano ya kisiasa baada ya kuzuiwa kwa miaka...
  16. JamiiForums Tanzania Mbowe: Matatizo inayopata CHADEMA hata wanaCCM wanayapata

  17. JamiiForums Tanzania Jana ulikuwa ni mkutano wa CCM uliovalishwa vazi la CHADEMA

    Na, Robert Heriel Jana agenda kuu ya mkutano ilikuwa kumshukuru na kumpongeza Rais, na ukimpongeza Rais tafsiri yake umeipongeza CCM. Ninaweza kusema Ulikuwa Mkutano wa CCM katika Vazi la CHADEMA. Na Hii ndio inaweza kutoa picha ni aina gani ya Siasa katika nchi hii tulizonazo. Hakukuwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Mbunge Nicholaus Ngassa apongezwa na CCM wilaya ya Igunga kwa mchango wake ndani ya Chama Cha Mapinduzi

    📍 Igunga, Tabora Habari Picha: Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akipokea cheti cha pongezi kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Igunga Ndg. Mafunda Temanywa kwa ajili ya kutambua mchango...
  19. JamiiForums Tanzania Kupanda kwa bei ya mchele, maharage, na sembe ni ishara kuwa sasa CCM inamajali mkulima

    Wakulima wa mazao hapa nchini wamekuwa wakiuza mazao yao kwa bei ya chini sana kuliko gharama za uzalishaji kwa sababu serikali iliwajali zaidi walaji wasio lima. Sasa serikali inageuza upande wa pili na kuwapa soko kubwa na la ushindani wakulima. Hatua hii imefanya bei ya mazo ya wakulima...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna watu na viatu ila kuna wengine ni ndala na vingine

    Kupata mtu anayeweza kuvaa viatu vyako hakuna, sasa marafiki wengi wamejaa kuangalia unacho tu sio mengine. Omba sana ufirisike ndio utajua aina ya viatu. Dunia tunaishi maisha ya kuangalia unacho tu mpaka mnauzi jamani, tupumzishane wakati mnatupiga vita mlitegemea kusaidiwa na nani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…