ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. GE2025 Asalaleee Tarehe 29 Oktoba ni Tanzania Mpya !!! No more Wahuni, No more Watekaji, No more CCM , No More Wanamtandao!! Ni Tanzania Mpya

    Wakuuu , Acheni hawa Wapuuzi wawateke watu waloamua kuelezea Hisia zao Mtandaoni !!. Waacheni Waendelee kumsumbua LISSU na kesi ya mchongo !!. Nguvu yao Iko wazi , Hawana Nguvu Tena , Tumeshawajua wote Kwa Mihuri yao !!. Sisi Nguvu zetu haziko Wazi ila ni nguvu DHAHIRI , PAWA KWELIKWELI...
  2. Kwanini wana CCM bado wanatumia JF wakisema imetumika vibaya na wanatumia

    Lucas Mwashamba ambaye nashangilia kuhusu ufungwaji wa vyombo vya habari ila ni mmoja kama walivyo idara kubwa za serikali wakitaka kuonesha comment ni kimya. Hawa watu wanatumia mamilioni ya simu ambayo kwa sasa china inaitwa nzi ambayo google imeshagundua wanatengeneza server inabeba simu...
  3. GE2025 Kampeni za siasa zimewageuza watoto wetu vinyago vya mpapule?

    Kuna jambo la kusikitisha linalojitokeza tena na tena kila msimu wa kampeni nchini Tanzania—watoto wa shule za msingi na sekondari kulazimishwa kutokwenda shule na kuhudhuria mikutano ya kisiasa ya chama tawala, CCM, ili “kujaza umati”. Watoto hawa wakiwa bado wadogo, wasio na uelewa wa siasa...
  4. A

    DOKEZO Makonda na 'kampeni za kifahari' kuliko wagombea wengine wa CCM, Je, anatuma ujumbe gani?

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaendelea na kampeni katika mikoa mbalimbali, na kwa sasa wametia mguu wao huku Kanda ya Ziwa. Ukiachana na mambo kadhaa yanayoacha tafakuri kuhusu mwenendo mzima wa kampeni, yapo mambo mawili yanayonifanya nijikune kichwa, kama siyo kushika tama. UKWASI WA MAKONDA...
  5. GE2025 Samia: Tutaheshimisha nchi yetu tukiwa na amani, tukifanya uchaguzi bila matatizo

    Akizungumza leo Jumanne, Oktoba 7, 2025, katika Wilaya ya Sengerema, jijini Mwanza, Dkt. Samia amesema: “Tutaheshimisha nchi yetu tukiwa na amani, tukifanya uchaguzi bila matatizo, vurugu au zogo. Tutaheshimisha nchi yetu tukizingatia sheria zetu, tukitafuta haki na kila mtu akapata haki yake.”
  6. S

    CCM na jumuiya zake zote kimyaaa! Aliyekuwa mwenezi wa CCM ametekwa lakini hawatoi hata tamko. Wamekubali chama Chao kutekwa na wahuni

    Inasikitisha, inaogopesha na kuogofya sana. Wahuni wameiteka ccm na wanaCCM wameufyata. 1. Mwenyekiti wao akiwa madarakani (Magufuli) aliuliwa na wahuni kama alivyosema Polepole, lkn ccm kimyaaa! 2. Aliyekuwa mwenezi wa CCM, ni zaidi ya masaa 24 yamepita tangu atekwe, CCM kimyaaa! Hakuna...
  7. M

    JWTZ watajifanya hawajamuona kisa kasimama kwenye Jukwaa la CCM

    Kuna huyu msanii anaitwa Magambo, akitumbuiza katika mkutano wa kampeni za CCM mbele ya Samia Suluhu, ameonekana akiwa kavaa suruali yenye muonekano kama ya Jeshi. Ni kosa kuvaa nguo zenye mfanano sawa na majeshi ya nchini na kuna kipindi fulani tulisumbuliwa sana, nikiwepo mimi chupuchupu...
  8. GE2025 Katika sifa na tabia hizi alizowekewa Samia, kiuhalisia ana zipi kati ya hizi ukitoa na mfano?

    Wakuu, CCM wametoa bandiko kuonesha sifa za mgombea wao Samia, na kwanini Watanzania wamchague. Kwamba Samia ni: 1. MNYENYEKEVU 2. MPENDA HAKI 3. MCHAPA KAZI 4. MZALENDO NAMBA MOJA 5. ANAPENDWA NA WENGI 6. MWENYE UTU 7. MTETEZI WA WANYONGE :KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh: Kiuhalisia ni sifa...
  9. GE2025 Polepole pamoja na kutekwa ninaamini watekaji hawatomfanya kitu. Ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama na CCM (ukitoa Polisi) ana kishindo kikubwa

    Vyombo vya habari tangu jana vimeripoti aliyekuwa balozi nchini CUBA hampfrey polepole kutekwa na kupelekwa. kusipojulikana na shuhuda mmoja ambaye alijitambulisha kwa jina la augustino polepole alimtaja waziwazi mhusika mkuu wa utekaji kuwa ni mtu mmoja ajulikanaye kwa jina la MAFWELE hata hivo...
  10. GE2025 Kasesela: Ukichukua maoni ya mtandao ukageuza ndiyo maoni ya taifa unajisumbua

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Richard Kasesela ametoa wito kwa watu kutotafsiri maoni ya mtandaoni kama ndiyo maoni ya taifa zima. Haya ameyasema baada ya kuulizwa juu ya uwepo wa maoni hasi(negative comments) kwenye baadhi ya machapisho yanayohusu vifo vya makada wa CCM. "ukichukua...
  11. Hata kama Hali itatulia CCM hawatakuja tena na uwezo wa kuwafokea Watanzania

    Kwa haya yanayoendelea hasa huko jeshini, CCM imepoteza kujiamini kwake Kwa asilimia kubwa sana. Hawawezi tena kuwakoromea wananchi kibabe. Maana jeshi limeshaonyesha halipo na CCM ila lipo na wananchi. Hii itafanya CCM iwe mpole na asiye jiamini tena.
  12. Tetesi: Jeshini kwa moto: Wakataa kutumika kisiasa na wanahoji kwanini Magari ya Jeshi yanapigwa Chata za CCM pale Keko?

    Tanzania Hii wasio na vyeo ndo wanaweza ikomboa, achana na hawa ambao wana vyeo na wana access ya ikulu hao wanaona wana cha kupoteza, Ila vijana zaidi ya 320 ndani ya jeshi na wenye ushawishi wanahoji kwanini UVCCM na CCM imeingilia shughuli za jeshi na kuanza kupeleka magari ya jeshi keko...
  13. GE2025 Tamaa za muda mfupi zinaondoa utu kwa wasanii wengi na machawa wa CCM na yule mama yao

    Kipindi hiki cha uchaguzi pesa zinamwagwa si mchezo ili kuhakikisha mama yule anapita kwenye uchaguzi mkuu japo hakuna anayeshindana naye. Utu umewatoka wasanii na machawa wa ccm kujifanya hawaoni yanayoendelea nchini, damu za watu zinavyozidi kumwagika wao ndio kwaaaanza wanashangilia na...
  14. A

    Ni kauli ngapi za Wana CCM au uvccm zinazo ongelea au kuhamasisha uvunjifu wa Sheria na hatua hazichukuliwi

    Ningependa kuwa uliza Polisiccm na Waendesha mashtaka, kuna kauli ngapi za Wana CCM na uvccm ambazo zinaingelea uvunjifu wa Amani na Sheria lakini hakuna hatua zinazo chukuliwa dhidi yao
  15. R

    GE2025 Zitto: Wananchi Mnaweza kuiondoa CCM Madarakani

    CCM inang'ang'ania madarakani, haitaki kutoka jumlajumla, nyinyi wananchi mnaweza kuiondoa CCM rejareja kwa kuanza na wabunge. Geuzeni uchaguzi huu kuwa ni kura ya maoni, kura ya kutokuwa na imani na CCM kwa kuwachagua wabunge wa ACT Wazalendo, na kule kwenye udiwani madiwani wa ACT Wazalendo"...
  16. W

    GE2025 Mgombea Ubunge CCM Gairo, Ahmed Shabiby afanya kampeni zake kwa helikopta

    Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Gairo Ahmed Shabiby amefanya kampeni za kuomba kura kwa kutumia helikopta ambapo amehaidi kuendelea kuboresha sekta ya kilimo cha umwagiliaji. Akiwa katika kampeni zake Shabiby amesema kuwa atahakikisha wananchi wananufaika na kilimo cha...
  17. W

    GE2025 Mgombea Ubunge CCM: Tutahakikisha Kawe inapiga kihatua kimaendeleo

    Ile standi ya daladala naona mmekuja kumwaga michanga miaka mitano ijayo muache kumwanga miachanga muweke stendi ya kueleweka maana mnapokea kodi za wananchi. ===================== Mgombea ubunge wa Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Geofrey Timoth, ameahidi kuimarisha maendeleo...
  18. POTOSHI John Heche amesema CCM ya Rais Samia ndiyo yenye unafuu zaidi

  19. CCM tokeni hadharani Mlaani kauli ya Kapteni Tesha

    Chama changu CCM kimenisikitiisha sana. Kwanini wameshindwa kutoka hadharani kulaani kauli za uchochezi za kuvunja amani ya Nchi za Kapteni Tesha? Yaani hata Murilo Kaufyata!? Ni huzuni Huyu afande anasema yoyote ajitokeze alite fyefyefye au fyofyofyo.. Anasema wapo kwaajili ya kulinda Nchi
  20. Nadhani huu ndo uchaguzi Mgumu sana kwa ccm kuwahi kutokea.

    Naona Ccm Kama watatoboa safari hii kurudi ikulu, basi sioni Kama ccm itatoka madarakani kirahisi tena.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…