ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. N

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya utekaji na mauaji ya raia: Ni wakati sahihi sasa kukubali vyombo vya kimataifa kuja na kuchunguza ili kuisafisha CCM na Serikali yake

    Mara nyingi serikali umesema haihusiki na vitendo vya kuteka na kuuwa raia wake ila kwa muongo sasa vitendo hivyo vimeshamiri nchini. Nakumbuka Waziri mkuu ndugu Nchemba alisema kuwa utekaji na mauaji hufanywa na watu wenye akilia sana bila shaka hapa anamaanisha kuwa vyombo vyetu vya ulinzi na...
  2. JamiiForums Tanzania Tafakuri: Haya ndio mambo yangetokea kama watanzania wote wakiwa CCM

    Wakuu, maafande wi Baada ya kushiba kipolo cha wali na chai ya maziwa hapa nimewaza mambo mengi sana ... Hebu fikiria kama watanzania wote million 70s tungekuwa na ideology au tungesuport falsafa za chama tawala .....bila upinzani nafikiri Tanzania tungekuwa mbali zaidi kiuchumi hapa Africa Kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM yagawa ' Vyombo vya Usafiri 337 ' kwa watumishi wa afya ngazi ya Jamii

    Wahudumu wa afya ngazi ya jamii katika Manispaa ya Songea na Halmashauri ya Wilaya ya Songea wamekabidhiwa jumla ya baiskeli 337 kwa ufadhili wa kampuni ya Buffalo Bicycles Tanzania Limited ili kurahisisha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi. Katika Manispaa ya Songea, baiskeli 140 zimetolewa...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi CCM wanafaidika nini na na Muungano?

    Habari ndugu! Nimekuwa nikijiuliza hili swali lakini sijawahi kupata majibu sahihi. Sasa Leo NAOMBA wajuzi wa mambo mnisaidie Kwa dhati kabisa. CCM kinafaidika vipi na huu MUUNGANO wa Tanganyika na Zanzibar? Shukrani sana. Tunaitaka Tanganyika yetu.
  5. JamiiForums Tanzania Umasikini Tanzania unaletwa na hawa hawa CCM

    Kuna kipindi : Kwenye Episode ya 3 ya podcast ya Let's Impact Millions, Brother Eric (maarufu kama UBEPARI PC Co LTD) amefunguka simulizi nzito inayoumiza kichwa kuhusu mazungumzo aliyowahi kuwa nayo na mtoto wa waziri mmoja kuhusu mtazamo wa utajiri na mafanikio kwa wananchi wa kawaida. Licha...
  6. JamiiForums Tanzania CCM wataka Polisi kukanusha kuhusu kushirikiana na Sheikh Said Mwaipopo "kutahiri watu bila ganzi"

    CCM wataka Polisi kukanusha kuhusu kushirikiana na Sheikh Said Mwaipopo kutahili watu bila ganzi. MY TAKE Polisi inazuga kutafuta vikundi vya kihalifu wakati vinajulikana na vinajitangaza kwenye TV. Sasa ni Rasmi kwamba kikundi cha kigaidi cha Sheikh Mwaipopo ndicho Tume ya Mzee chande...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jamiiforums ipige life ban machawa wa ccm

    Nawataja wafuatao, wengine mtaongeza. Haya majinga yanaharibu hadhi ya JF, wengine tunakosa hata mood ya kuingia JF kwa sababu ya haya mapumbavu. Lucas Mwashambwa Stroke gallow bird MamaSamia2025 Tlaatlaah ChoiceVariable narogo Samia atosha tukutane2030
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jamiiforums ipige life ban machawa wa CCM

    Nawataja wafuatao, wengine mtaongeza. Haya majinga yanaharibu hadhi ya JF, wengine tunakosa hata mood ya kuingia JF kwa sababu ya haya mapumbavu. Lucas Mwashambwa Stroke gallow bird MamaSamia2025 Tlaatlaah ChoiceVariable narogo MamaSamia2025 KERATO MOMBAA Dr wa Manesi Kizibao mdogoee Haya...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kihongosi ataja sababu ya CCM kuendelea kuaminiwa na Watanzania

    CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimebainisha misingi mikuu inayokifanya chama hicho kuendelea kuaminiwa na kushinda chaguzi kuu za kiserikali nchini Tanzania. Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amesema hayo kwenye mkutano wa hadhara...
  10. JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli ccm haipendwi na haitakiwi kwasasa.

    Huu ndio ukweli nyakati zimeipita ccm ! Kwasasa haipendwi na haitakiwi na rais wasasa ndio kabisaaaa hasomi mchezo kwamba nayeye ni sehemu ya tatizo. Kuiponya Tanzania ni kuiondoa ccm basi.
  11. JamiiForums Tanzania Tunapoilaumu CCM tukumbuke na haya!

    Katika mijadala ya kisiasa hapa kwetu, mara nyingi lawama zote hupelekwa moja kwa moja kwa chama tawala, CCM. Wengi husema chama hiki ndicho chanzo cha matatizo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii. Lakini kabla ya kufikia hitimisho hilo, ni muhimu kujiuliza: kwa nini tumefika hapa tulipo? Je...
  12. JamiiForums Tanzania Neno Amani kilicho na kichaka chenye vivuli viovu vya CCM

    Sijawahi kusikia CCM kazungumzia neno haki.Wao ni Amani tu. Hii Amani imekuwa kichaka cha CCM kuaminisha watu huku wakijua haki hakuna na wafanyao sio haki. Neno haki limekuwa likikwepeshwa sana sababu wakilisema litawavua nguo kwa matendo yao yanayo minya haki. Haki imekuwa mwiba kwao.
  13. JamiiForums Tanzania CCM washangilia baada ya kuvunja kizimba cha CHADEMA

    Hizi ndo akili za CCM. Yaanni wenzao wanafanya mikutano, CCM wanamalizia hasira za kukataliwa kwenye vizimba. CCM wana roho ya Uharibifu. CCM imeshashindwa siasa, imebaki kuwa kikundi cha Maovu
  14. JamiiForums Tanzania Muasisi wa vurugu zinazofanywa na Greenguard wa CCM dhidi ya wapinzani ni Mwl Julius Nyerere

    Akiwa kama kiongozi wa Tanu aliasisi na kuanzisha kikundi cha ulinzi kilichokiwa kinaitwa Bantu group. Bantu group walikuwa wanatembea na silaha jadi na walikuwa na kazi maalumu ya kudhibiti wapinzani wa Nyerere kwa vurugu . Hawa ndio chimbuko la Greenguard ya CCM. Ndio maana hadi leo hii...
  15. JamiiForums Tanzania CCM Ina mizizi mikubwa ukiamua kuhama hakuna athari zozote zitakazo tokea ni kujidanganya tu walikuwepo wakubwa walihama na wakarudi wenyewe tena CCM

    Ukiwa CCM ujue kuwa wewe ni Kama chembe ya aladani (kapunje kadogo sana) huna madhara yyte kwa chama hata ukiamua kuhama Leo hii. Ukiwa CCM upo kwenye chama ambacho falsafa zake zipo na zinajiongoza hata bila uwepo wako wewe. Ujue Kuwa walikuwepo wanachama wa CCM maarufu walihama na CCM...
  16. JamiiForums Tanzania CCM mnataka maridhiano ya nini? Kuna kipi kibaya mlifanya?

    CCM watuambie makosa waliyofanya.. Sioni sababu ya wao kupiga magoti kuomba maridhiano bila kusema walipokosea.. CCM watuambie nini walifanya, sio kushinikiza maridhiano. Unataka kuridhiana na nani? 29.10.2025 tutaikumbuka Daima..
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Leo CCM wanalilia Maridhiano nini kimetokea.

    Chadema ilishauri mapema kuwe na Maridhiano kabla ya uchaguzi CCM ikakataa, leo CCM wanataka kuridhiana nini na nani. Viongozi wao wanazunguka mitaani wakiomba waridhiane wanaokota vijihabari na media uchwara kujaribu kulazimisha maridhiano. Chadema wanasema, maridhiano ya kweli ni lazima...
  18. JamiiForums Tanzania Tukisema polisi na Tiss nyie ndio mnasimamia CCM sasa mnaweza kubisha .Maana kesi zenu mlalamikaji ni nani ?.

    Kwa sasa ukiwa mpinzani unaweza shangaa umefunguliwa kesi kuwa wewe ni bra bra bra. Sasa aliyefungua kesi hiyo ni nani?. Ina maana sasa chama cha CCM kimejivisha kazi yenu kiujumla.
  19. JamiiForums Tanzania Ni wazi, utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa 100% ndio kero na changamoto

    Mabeberu hawataki kabisa kuskia au kuona taifa letu linajitegemee au kufadhili mambo yake ya ndani kama vile uchaguzi kwa 100% Hii inawakera sana, sio tu vibaraka pekeyao, bali pia hata mabwenyenye ya magharibi yenyewe yanayowafadhili vibaraka hao humu nchini. Nawasihi sana viongozi wangu na...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa sasa wanaona rahaa na kufurahi mambo ya utekaji. Ila kuna siku mtoweza kulizuia na litakuwa mpaka kwenu

    Muharibufu wa nchi duniani wa kwanza ni serikali kisha wengine tunafata. Kwa mwendelezo huu ambao unaendelea kwa matendo na vyombo vya ulinzi vikakanusha. Hivi mnajua matokeo yake au mnataka kuonesha kipi. Utekaji na watu kupotezwa asilimia kubwa ni vyombo vya ulinzi na asilimia ndogo ni kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…