ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania CCM hawana hazina kama walivyokuwa wakijitapa? Wanaotumbuliwa ndiyo hurudishwa na utawala huu

    Ni kweli CCM haina hazina ya wanachama bali wanavikundi vya kusifu na kuabudu ambavyo vimejaa vijana wengi Machawaa lakini hawana weredi wowote? Je, ingekuwa na hazina isingekuwa inarudia kuteua wale ilio watema mwanzoni. Hii haitoshi kudhibitisha hilo?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nina uhakika CCM ikiondoka madarakani kwa njia yoyote ile haki na sheria, itadai haya yanayodaiwa na CHADEMA

    CCM hawataki mabadiliko ya haki kwa vile ubatili wa sasa unawanufaisha/yanawanufaisha. Siku ikitoka madarakani, CCM itayadai haya haya yanayopiganiwa na chadema maana ndio UKWELI NA HAKI. CCM tendeni haki ili kesho HAKI iweze kuwalinda, vinginevyo mnajipalia mkaa! Mkitoka mtakuwa kama KANU...
  3. JamiiForums Tanzania Ramadhan Cup yaanza kutumiwa na CCM. Ally Bananga apewa nafasi, amshukuru Rais Samia kwa Ramadhan Cup

    Michuano ya soka iliyochukuliwa kama burudani kwa wale waliofunga Ramadhan, huku wakisubiri daku. Sasa ni Rasmi imegeuka na kuwa mipango ya kampeni ya CCM, bado hatujajua kama jambo hili ni Bahati mbaya au ni kitu kilichopangwa na waandaaji, na bado hatujajua kama timu zote zinazoshiriki...
  4. JamiiForums Tanzania Vikao Vikuu vya CCM

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki vikao vya kikatiba vya CCM ngazi ya Taifa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa pamoja na Halmashauri Kuu Maalum ya CCM Taifa (NEC), kilichoongozwa na Mwenyekiti wa...
  5. JamiiForums Tanzania Hakika CCM haina watu tena, Wote walioteuliwa leo hawana Jipya ni wepesi kuliko pamba

    Kwanza kabisa ni kwamba mipango yote ya ccm inapangwa na watu walewale na kiukweli ccm haiwezi kutunza siri , taarifa ya Jokate, Mongella na Makalla nimevujishiwa jana saa 5 usiku, nilinyamaza tu kwa vile niliona labda kila mtu anajua kwahiyo haitakuwa habari, Kitendo cha Chama hiki...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Bado CCM hakujatulia. Naziona teuzi na tenguzi nyingine muda si mrefu

    Nadhani CCM hawakai kama Kamati katika kupendekeza, kuchambua na kupitisha nani awe nani ndani ya chama. Yawezekana maamuzi mengi hutegemea mahaba na mapendekezo ya mtu au kikundi cha watu wachache. Sina hakika na hili ndiyo maana nimetumia maneno nadhani na yawezekana. Ukiangalia kwa nje...
  7. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi

    Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo tarehe 03 April, 2024 jijini Dar Es Salaam, katika kikao chake maalum, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na masuala mengine, Halmashauri Kuu ya CCM Taifa...
  8. JamiiForums Tanzania Simba SC mnalalamika nini Serikali kuipendelea Yanga SC wakati nanyi kutwa mnajipendekeza kwao?

    Tokea mwaka jana GENTAMYCINE nimewaasa sana hapa JamiiForums kwa kuwataka ikataeni Serikali na Misaada yake ya Kinafiki Kwenu kwani wala haiwapendi mmekataa Kunisikia na Kunielewa. Wana Simba SC (baadhi yenu) mlivyo Majuha (Fools) tokea Juzi mnlalamika Kubaguliwa na Serikali kwa kuwasaodoa na...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha ndiyo utakuja kuiangusha CCM

    Wananchi wanateseka sana kwa ugumu wa maisha na kila kukicha afadhali ya jana. Bei ya bidhaa, vifaa vya ujenzi, mafuta kila kukicha unakuta bei ya jana siyo ya leo. Leo nimesoma kuwa bei ya mafuta kwa mwezi huu wa Aprili imepanda tena. Kama jirani zetu hapa Kenya, Zambia bei ya mafuta kwao ni...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania mtashangaa Katibu Mwenezi CCM atakayeteuliwa leo, msihofu

    Kuna baadhi ya teuzi au hata chaguzi ambazo hutaelewa kwanini zimekuwa hivyo kwani sio kila teuzi/chaguzi zinafanywa kwa matakwa ya binadamu! Viongozi wakubwa waliopo ni mipango either kutoka Juu ama kutoka Chini. Yatosha tu kusema hapa kuwa tumwombe Mungu tupate viongozi wazuri wenye kuweka...
  11. JamiiForums Tanzania CCM isione aibu, muda bado upo

    Majina ya mmoja wao atakaye teuliwa kuwa katibu mwenezi yametangazwa lakini laa! Orodha iliyotolewa inasikitisha sana kwani haifsnani na CCM tuijuayo, hii imepwaya haina wanasiasa. Bila kuwa mwanasiasa hakuna atakachokieleza kwenye uenezi wake, ukweli lazima usemwe kati yao hakuna hata mmoja...
  12. JamiiForums Tanzania Mnamkumbuka Lubinga wa CCM? Leo yuko wapi?

    Miongoni mwa viongozi wa CCM enzi za Jiwe, alikuwepo Mwanajeshi mmoja akiitwa Lubinga, kiburi cha madaraka cha huyu jamaa kilipitiliza, japo hakikuvuma sana. Sasa tunauliza tu kwamba huyu jamaa yuko wapi leo na anafanya nini?
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mwenezi CCM kupatikana 03/04/2024; Nani anafaa kurithi mikoba ya Makonda?

    Halmashauri kuu ya CCM itakutana tarehe 03/04/2024 jijini DSM ambapo pamoja na mambo mengine itapitisha jina la Mwenezi mpya wa CCM Source: Mwanahalisi Digital Mlale Unono 😀😀
  14. JamiiForums Tanzania CCM inapoteza Msingi Mkuu wa Dira yake na nguvu yake

    Shalom, Ni ajabu sana siku hizi huwezi kusikia kauli kama serikali ya CCM, utekelezaji wa ilani ya CCM, serikali imeleta. Utasikia kauli za kipumbavu kwamba Rais amefanya, Rais ameleta upumbavu mtupu. Rais ni mwajiriwa, mtumishi, mwakilishi wa CCM, pesa yoyote ile sio yake ni ya nchi, ni ya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Namuona Amos Makalla akichua mikoba ya Makonda na John Mongela akichukua nafasi ya Naibu Katibu Mkuu Anamringi Macha!

    Baada ya mabadiliko ya Mwenezi ndani ya chama cha Mapinduzi kuna kila dalili ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kurithi mikoba ya Makonda ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha! Pia aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha John Mongela kuna kila dalili ya kujaza nafasi ya Naibu Katibu Mkuu wa...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Kazi ya uenezi hakuna mtu anayeiweza kwa CCM ya sasa

    Wananchi walipaswa kushawishiwa na CCM kwa kasi ya maendeleo. Na hivyo ccm ingreendelea kushamiri na kupendwa na wananchi. Lkn naona ccm wanahangaika kutafuta MTU sahihi wa kuwashawishi wananchi kuipenda ccm as if hiki ni chama kipya kilichosajiliwa juzi. Kumbe ni chama kilichozeeka na...
  17. JamiiForums Tanzania Hii simu ni ya Mzee Yusuf Makamba kweli au wanazuga tu?

    Nimeona hii taarifa kwenye ukurasa wa CCM, mimi kilichonivutia ni hiyo simu ya Mzee Makamba, ni kweli kwa hadhi yake anamiliki simu ya aina hiyo au imewekwa hapo kimkakati tu kuonesha jambo fulani? == == === DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kwa muda Mchache uliobaki, CCM itaweza kuunganishwa makundi yote Ili kuingia uchaguzi wakiwa wamoja?

    Shalom,Salaam!! Huu mtikisiko ndani ya chama Dola unaendelea, unatoa wasiwasi juu ya mustakabali wa chaguzi zijazo, Ikiwa Hadi muda huu, coach hajapata Bado muunganiko wa team yake kuelekea uchaguzi, muda uliopo utamtosha kupata team Imara ya kuaminika kuipa ushindi timu yake Kwa haki? Na...
  19. JamiiForums Tanzania Kila ukitaka walaumu wazungu/mabeberu kuhusu Afrika kuchezewa basi usisahau kwamba kuna CCM ,Katiba mpya ni sasa

    Nimekaa nimewaza sana nikafika mpaka kuwalaumu Wazungu na Mabeberu kwa propaganda na mambo yanayoendelea Africa.. Mwisho nikakumbuka tatizo ni Wa Africa wenyewe kila Nchi viongozi wake hupambana kwa Ajili ya Wananchi wake kwa Namna yoyote ile . Kwa Tanzania nitakuwa mnafiki kama sitatupia...
  20. JamiiForums Tanzania Natabiri Paul Makonda atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2030

    Habari Wana JF Nisipende kuzunguka Sana Ni Kwamba PAUL MAKONDA anaenda Kuwa Raisi Wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania mwaka 2030 tuombeni uhai Ukweli Ni kwamba Paul makonda anapitia wakati mgumu sana ila huwa anakuwa na uvumilivu wa Kuyabeba wengi Wenu Mnamchukia sana Huyu Mwamba naamini Mungu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…