ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea ndani ya CCM? Nani ni tishio?

    Kuna kitu hakipo sawa ndani ya CCM ya Samia. Nguvu inayotumika kusema fomu ni moja tu ya mgombea urais mpaka anachangiwa pesa sio ya bure. Mange alipost matusi ya nguoni kwa Rais kisha akaambiwa afute akafuta. Haijatokea bahati mbaya. Makonda anasema kuna mawaziri na watu wenye nguvu wanatuma...
  2. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari Dennis Msacky na Aboubakary Liongo walamba teuzi ndani ya CCM

    Vyanzo vyangu ndani ya CCM vinadokeza kuwa wanahabari wawili, Dennis Joe Msacky na Aboubakary Liongo wamelamba teuzi. Dennis Joe Msacky kateuliwa kuwa Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi. Naye Aboubakary Liongo kateuliwa kuwa Mkuu wa Mawasiliano...
  3. M

    JamiiForums Tanzania CCM mkarabati viwanja vyenu vya mpira vinavyotumika kwenye ligi. Ndiyo furaha tuliyobakia nayo kwengine mlishashindwa

    Uwezo mnao ila viwanja vyenu vinatia aibu fremu nje za mamilioni ndani uwanja nyasi kichefu chefu. Vyenye taa mwanga kama wa torch havifai kwa game za usiku. Hela mnazo tuibia rudisheni basi kama fungu la kumi kwenye kukarabati uwanja.
  4. JamiiForums Tanzania Ninafurahishwa sana na vita ya wenyewe kwa wenyewe mtandaoni baina ya makada wa CHADEMA. CCM itatawala kwa miaka mingi sana

    Ni jambo ambalo limenifanya nifurahie sana hii sikukuu ya Eid. Huko X (Twitter) kuna vita kali baina ya makada wa chama cha Mbowe. It's Fredy Justine against Ntobi & Martin Maranja. Vita ni kali sana. Ntobi na MMM wanaporomosha matusi mazito kwa kada mwenzao Fred ambapo Fred nae hajakaa kinyonge...
  5. JamiiForums Tanzania Tuhuma za wanaharakati wa CHADEMA kupewa pesa na viongozi wa CCM zinaenda kukizamisha chama, Martin Maranja atajwa

    Nanukuu alichoandika mjumbe wa bavicha, kamanda Faustine "….. waraka wa Wazi kwa Martin Maranja Masese, MMM na Watu wote. Mwenyekiti wetu wa Chadema Taifa (my role model) alipo ona opportunity ndogo ya kuketi na kuzungumza na Samia namna bora ya kuleta mabadiliko ya kimfumo na upatikanaji wa...
  6. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi tunaomba kukujulisha kuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro hayupo, nafasi Iko wazi

    Matokeo ya kukosekana Kwa Katibu wa CCM mkoa HUO, majibu haya hapa. Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi mkoa ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya siasa mkoa, anatukana wanachama https://youtu.be/c7T6FjRrxHM?si=BVSP3wN3vUE6ZVsA
  7. B

    JamiiForums Tanzania 2015 CCM iliujaribu moto wa JPM, 2025 Iujaribu tena moto wa PCM

    Asalam Aleykum ndugu zangu wa JF. CCM ni chama imara na chenye "Intelijensia" bora kabisa duniani. Ndiyo maana pamoja na changamoto ambazo zimekuwa zinatokea ndani na nje ya chama, bado ni moja kati ya vyama vikongwe zaidi Afrika na duniani kwa ujumla ambacho kimeendelea kushikilia dola (au...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Emanuel Nchimbi put your words into action

    “Embracing Nyerere's Legacy for Tanzanian Progress” In an emotive and forward-thinking speech delivered at the Mwalimu Nyerere Memorial Academy on April 8th, 2024, Dr. Emanuel Nchimbi, the Secretary-General of Chama cha Mapinduzi (CCM), outlined a compelling roadmap for Tanzanian leaders to...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya Nape Nnauye, Makatibu Uenezi wa CCM Taifa waliofata walipwaya sana

    Hii ndio sababu ya Chama cha Mapinduzi ccm kutapatapa. Kiukweli ni kuwa ccm haina tena kitu cha kuwadanganya wananchi cha kusema inaeneza. Siasa za hadaa na ahadi za uongo zimekuwa ni zile zile kwa miongo kadhaa. Baada ya Nape Nauye na sera yake ya kujivua gamba ambayo kiasi fulani ilileta...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Katiba ingelikuwa bora, "wana-CCM wa shamba" msingelikubali hili

    Ninaamoni katiba ingelikuwa ni bora, inayotoa fursa sawa ya uhuru wa mtu kuamua, kuchagua na kumpata mgombea anayemtaka, washamba ndani ya ccm mngefanya maamuzi na maamuzi yenu yangepata ushindi. Kwasbb washamba ni wengi. Lkn kwa katiba hii, wingi wenu hauna tija, hauna mashiko na ndiyo maana...
  11. JamiiForums Tanzania Ninawashukuru sana makada na viongozi wa CHADEMA kwa free publicity wanayoipa CCM kupitia majukwaa yao mitandaoni

    Nitakuwa mchoyo wa shukrani na pongezi nisipoandika uzi huu wa kuwashukuru na kuwapongeza kwa dhati makada na viongozi wa CHADEMA kwa kukitangaza bure Chama Cha Mapinduzi kupitia majukwaa yao mitandaoni. Kila CCM inapofanya jambo lake huwa viongozi na makada wa CHADEMA hupost kwenye pages zao...
  12. 4

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kuwashitaki wateuliwa wa CCM ndani na nje ya nchi, Mungu nisaidie

    Wakuu JF Mungu amebariki. Sio mda nitawashitaki wateuliwa wa CCM, nitanza na Makonda wengine watafutia. Haiwezekani nchi endeshwa kihuni namna hii kisa watu pitia mgongo wa CCM. Nitawashitaki and then watalipa Taifa sio mie. Wanasheria mlio tiyari zama Dm tuyajenge. Thanks
  13. JamiiForums Tanzania Tengua - teua ni danganya toto tu! Hazina tija yoyote ile

    Naam, nasema wazi kabisa. Hizi habari za kutengua na kuteua mara kwa mara ni danganya toto tu za kumwonyesha mtenguaji na mteuaji kuwa yupo makini na ni mchapa kazi. Haiwezekani kukawepo na ufanisi wa kazi ikiwa kila mara unabadilisha watendaji kwa sababu zisizoeleweka. Utateuaje watu halafu...
  14. JamiiForums Tanzania Barabara ya Polisi, Kibamba CCM ni changamoto, hali ni mbaya

    Wakazi wa Kibamba CCM, kuhusu "Barabara ya Police" imekuwa changamoto, yaani gari haziwezi kupanda kabisa tunaambiwa Mkandarasi ameshasaini Mkataba lakini hatuoni kinachoendele na mvua ikinyesha hali ndio inakuwa mbaya zaidi. Tumekuwa tunaripoti lakini wanachofanya ni kuleta michanga, mvua...
  15. JamiiForums Tanzania Ni kweli CCM ni chama cha watoto wa Mjini tangu kikiwa TAA kisha TANU. Walugaluga walialikwa tuu.

    Kwema Wakuu! Kauli zinazotolewa na viongozi mbalimbali wakijitamba kuwa wao ni watoto wa mjini, wengine wakisema wamezaliwa Kariakoo, wengine, Ocean road, wengine mnazi mmoja, wengine Kinondoni basi ilimradi kila mmoja ajitutumue. Ndio ukweli huo. Kauli hiyo inamaana kubwa sana. Watoto wa...
  16. JamiiForums Tanzania Nauliza tu, watoto wa mujini ndio sera zipi za CCM?

    Wakuu mimi mtoto wa mkulima, na nimekuja mujini kutafuta maisha. Sasa naona wameingia viongozi wapya CCM, hasa uenezi. Msingi mkubwa wao wanatamba kuwa ni watoto wa mujini. Sasa CCM inaweza kutupa mwongozo, kwa sera zake kuwa matoto wa mijini inahusiana vipi na wakulima walio wengi, maendeleo...
  17. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jokate Mwegelo: Vijana hawatakosea na tutashambulia kila kona kuzisaka na kuzilinda kura za CCM

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Jokate Mwegelo ametuma salamu kwa Wapenzi watazamaji wanaowatazama Vijana wa CCM wakisubiri wakosee ambapo amesema Vijana hao hawatokosea na watashambulia kila kona ya Tanzania kuzisaka na kuzilinda kura za CCM pamoja na kugombea...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya wana Yanga kwakunyimwa goli ni nusu tu ya maumivu wanayopitia wananchi wanapoibiwa kura na CCM

    Maumivu ya wana Yanga yanaweza yakawa maumivu yanayogusa wananchi wenye itikadi mbalimbali kisiasa na dini. Kwa wale mashabiki wa Yanga ambao pia ni wanachama wa CCM napenda kuwaambia maumivu waliyonayo kwa mwamuzi kutokutenda haki ni nusu ya maumivu waliyonayo wananchi wanapoibiwa kura...
  19. JamiiForums Tanzania Chemistry ya waandamizi wateule CCM ni moto mkali kwa upinzani dhaifu sana nchini

    Wanajuana vizuri, wana mtindo wa uongozi unaofanana, wana uwezo wa kuongea, wanaijua vyema CCM, wanawajua vyema upinzani na kwakweli wana uwezo wa kuwajibu wapinzani visingizio na malalamiko yao.. Na Chini ya Katibu mkuu DR. Emanuel Nchimbi, kiongozi mtendaji wa chama, muawajibikaji sana...
  20. JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Wananikumbusha majukumu yangu, waambieni ‘nayaelewa’

    Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Ndugu. Amos Makalla amesema amekuwa akisoma Mitandaoni na kuona baadhi ya Watu wanamkumbusha majukumu yake, amewaambia “Anayaelewa”. Anasema “Nayaelewea, yapo katika Katiba ya Chama cha Mapinduzi Ibara ya 107 Kifungu cha Pili A mpaka F...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…