ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Manyara: TAKUKURU yatangaza kufanya Uchunguzi kwa Wagombea 3 wa CHADEMA na mgombea 1 wa CCM kwa madai ya rushwa!

    Wanaukumbi, Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Manyara, Bahati Stafu Haule, amesema kuwa taasisi hiyo inachunguza tuhuma nne zinazowahusu wagombea wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vijiji. Kati ya wagombea hao, watatu wanatoka Chama cha Demokrasia na...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Makamu Mwenyekiti wa ACT Bara: CCM imekuwa ni genge la wahalifu. Kazi pekee wanayoweza ni kuiba rasilimali za umma!

    Wanaukumbi, ACT imeendelea kutoa spana kwa chama tawala yaani CCM. Akiwa anazungumza kwenye kampeni Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita alitoa tuhuma kali dhidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), akidai kuwa chama hicho kimegeuka kuwa genge la wahalifu linalojinufaisha na...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Katibu Mkuu UWT: Sisi CCM hatujawai kudharau kura ya mwananchi, kushindwa ni mwiko

    Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba 27, 2024, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Suzan Kunambi amewataka wananchi wa kata ya Kilimani mkoani Dodoma kuacha mzaha katika upigaji kura ikiwa ni fursa kwao kuchagua kiongozi bora. Akizungumza na...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA Chunya wapania kuiondoa CCM madarakani

    Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) @chadematzofficial jimbo la Lupa wilaya ya Chunya mkoani Mbeya kimezindua mikutano yake ya kampeni kwa ajili ya kuwanadi wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa, vitongoji na vijiji na kuwaomba wananchi kujitokeza...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa UVCCM: Msifanye makosa, chagueni CCM katika nafasi zote za Mitaa, Vijiji na Vitongoji

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mwanza, Cde. Seth Bernard Masalu, anawaomba wakazi wa Mwanza wote na watanzanania kujitokeza kwa wingi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji utakaofanyika Novemba 27, 2024 kwa Kuwachaguwa Wagombea wote wa Chama cha Mapinduzi katika nafasi zote...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Aliyekuwa Mwenyekiti CCM, Kigoma atema cheche mbele ya Zitto Kabwe: Tumekwenda Jela kwasababu ya Matumbo yenu, miaka 10 nakokota matumbo yao

    Aliyekuwa Mwenyekiti CCM asimulia mazito aliyoyapitia akiwa CCM mbele ya Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe akiwa Ilalangulu, Kigoma akiwanadi Wagombea kulekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Novemba 27. Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: Special Thread: Orodha ya...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Msidanganyike, Pesa za TASAF si pesa za CCM

    Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Bara, Ester Thomas, ametoa onyo kali dhidi ya vitendo vya kuwahusisha wananchi wanaoiunga mkono ACT Wazalendo na madai ya kufutiwa msaada wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini (TASAF). Akizungumza na wananchi wa kijiji cha Masewa, kata ya Masewa, jimbo la Bariadi...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dodoma: Sielewi mtu anawezaje kuangalia hizi picha zilizopostiwa na UVCCM huko Instagram na bado akaipigia kura CCM

    Wakuu, Nadhani kwa picha hizi zilizopostiwa na UVCCM huko Instagram, huu Uchaguzi ulitakiwa uwe ushaisha. Hii nchi ni maskini. Huyu ni Katibu wa UVCCM Kondoa, Shamsele Yesaya akiongea na Wananchi wa Vitongoji vya Eshkesh na Getakul Kata ya Itaswi Wilaya ya Kondoa. Kama mnavyoona hapo hao...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Katibu mwenezi Arusha: Wao wanaokoteza wagombea, CCM ina demokrasia

    Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Arusha, Antony Maswi amewaasa wagombea wa nafasi ya uenyekiti wa vijiji/mitaa na vitongoji kuzingatia demokrasia na kutumia lugha za staha wakati wakiendelea na kampeni zao. Soma: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mtanda: Ajibu shutma vurugu za Simba SC, CCM Kirumba, "Sikuingia Uwanjani"

    Kufuatia sakata lililotokea Mwanza, na Uongozi wa klabu ya Simba kutoa taarifa ya kulaani vikali vitendo visivyo vya kiungwana vilivyodaiwa kufanywa na viongozi wa timu ya Pamba Jiji FC kwa kushirikiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, pamoja na maafisa wa polisi. Soma, Pia: + Vurugu...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa CCM Mbeya: Changamoto ya maji inaenda kuisha Jijini Mbeya, tunaleta mradi wa bilioni 117

    Mwenyekiti wa CCM Mbeya amesema changamoto ya maji inaenda kuisha Jijini Mbeya ifikapo mwakani (2025), kutokana na kupelekwa kwa mradi wa zaidi ya TSh. bilioni 117. Ametoa kauli hiyo katika uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Pia, Soma: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya...
  12. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania FT: Pamba Jiji 0 - 1 Simba SC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium | 22.11.2024

    Vinara wa Ligi Kuu ya NBC Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports leo watashuka dimbani kupambana dhidi ya wenyeji wao Pamba Jiji katika mchezo utakaopigwa katika dimba la CCM Kirumba huko jijini Mwanza. Pamba Jiji ataweza kumzuia mnyama? Je, Simba ataweza kuendeleza wimbi la ushindi? Wana Simba...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mlezi CCM, Morogoro: Viongozi wao wakuu hawaelewani, hawataweza kutatua kero za wananchi

    Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Morogoro ambaye pia ni Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) Jana akizungumza kwenye Mkutano wa Hadhara wa Ufunguzi wa kampeni ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa/Vijiji katika Uwanja wa Chamwino Wilaya ya Morogoro...
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Geita: Katibu wa CCM mkoa ajihakikishia ushindi kwenye Wilaya ya Nyang'hwale

    Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Geita kimeonyesha kujiamini kushinda Vijiji na Vitongoji vyote Wilayani Nyang’hwale baada ya Vijiji 39 kukosa wapinzani, huku vyama vya Upinzani vikifanikiwa kusimamisha Wagombea katika vijiji 23 pekee. Kwa upande wa vitongoji, CCM imepita bila kupingwa katika...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Aliyekuwa mwenyekiti wa kijiji kupitia CCM ampigia chapuo mgombea wa ACT- WAZALENDO

    Wakuu vipi huko kwenu kampeni zinakwendaje === Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Ilalanguru, Jimbo la Kigoma Kusini, mkoani Kigoma kwa tiketi ya CCM, Venance Chamaheke amemuombea kura mgombea wa ACT Wazalendo wa nafasi hiyo Juma Helandogo akieleza kuwa mgombea wa ACT anapaswa kufuata nyayo...
  16. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Hivi CCM ni chama kipya kilichosajiliwa mwezi huu?

    Kuna jambo linaendelea kwenye Kampeni za Serikali za mitaa zinazofanywa na chama kinachoitwa chama Cha mapinduzi (CCM). Jinsi wanavyoongea kwenye Kampeni hizo, ni kama vile hao watu wa CCM wamo kwenye chama kipya Cha siasa kilichosajiliwa hivi karibuni. CCM wanashangaa matatizo waliyonayo...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanga: Mwenyekiti CCM akabidhi vishkwambi kwa Madaktari Hospitali ya Wilaya Pangani ili kuwarahisishia kazi zao

    Wakuu, Huu ndio muda wao kutuoneshe ni watu wenye moyo sana na huruma mwingi, wenye kutoa bila choyo😂😂 Kupata taarifa za kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania LGE2024 January Makamba: CCM tunajivunia na sera nzuri na viongozi wanakubalika

    Hatimaye alikuwa kimya sana tangu ameteguliwa lakini sasa January Makamba ameibuka kwenye kampeni za kuwanadi wagombea wa chama chake CCM ===================== Mbunge wa Jimbo la Bumbuli ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, January Makamba amesema chama...
  19. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, chagua Chama cha Mapinduzi (CCM)

    UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 , CHAGUA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) #tumetekelezakaziiendelee #ChaguaCCM #shirikiuchaguziwaserikalizamitaa
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Godbless Lema awasha Moto wa Uzinduzi Arusha, CCM tumbo joto

    Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini ambaye pia ni Nabii wa Mungu ambaye Unabii wake Nchini Tanzania umetimia na Kupitiliza, Godbless Lema, leo Amezindua rasmi Kampeni za uchaguzi wa wenyeviti wa serikali za mitaa za Chama chake huko Arusha. Lema kwa Ufupi amewaambia Wananchi wasiichague ccm na...
Back
Top Bottom