ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais dkt Samia kwa kuchaguliwa kugombea Urais kwa tiketi ya CCM 2025/2030.

    Wajumbe wamempitisha kwa 100% kuwa mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi 2025/2030. Hakika naamini atashinda kwa kishindo mwaka huu. Mungu amlinde Rais wetu, wenye wivu wanywe sumu kabla ya October.
  2. R

    JamiiForums Tanzania CCM wamepiga marufuku wanachama wao kuanza kampeni kabla ya muda, lakini wao kuchaguana kabla ya muda sawa......AUTHORITARIAN OF HIGHEST DEGREE

    Ukisikia hekaya za aAbunuwasi ndiyo hizi. Jana Samia amekataza watu kuanza kampeni kabla ya muda. Strange enough wao wamechaguana tayari kabla ya Jogoo kuwika. Ukisikia chama cha kishenzi ndiyo hiki! Total dictatorship/authoritarian = favouring or enforcing strict obedience to authority at...
  3. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa wasanii wa bongo kwenye mkutano wa CCM kazi yao kubwa ni nini?

    Sioni cha maana zaidi ya wao kupiga mipicha tu. Labda kama kuna aliyeelewa hawa wasanii wa sijui bongo fleva na movies kwenye huu mkutano wa ccm kazi yao kubwa ni nini anieleweshe.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ombi la kuwekwa kwenye kikosi Cha kutafuta ushindi wa Dkt. Samia, mgombea Urais kwa tiketi ya CCM

    Kwa kuwa sasa CCM imeazimia kwa kauli moja kupitia mkutano wake Mkuu maalamu kuwa mgombea wake awe ni Dkt.Samia licha ya kwamba ilikuwa inajulikana muda mrefu atakuwa yeye lakini kwa azimio la Leo ni yeye rasmi na hakuna mjadala zaidi ya hapo. Ni muda mrefu nimeomba awe ni yeye na kwa kuwa...
  5. kichongeochuma

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa siasa za upambe na kujipendekeza utaendelea kuitafuna CCM

    Mtindo huu utaitafuna sana CCM na kuna baadhi ya mambo wanayajutia kuyakubali kwa upambe lakini ndiyo hali waliyo iruhusu wenyewe CCM ya sasa ukiweza ku mobulise wajumbe kwa namna yeyote ya kuwafurahisha basi unaweza kuwa rais hii ni hatari sana kwa usalama wa nchi
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini Godbless Lema na wanaomuunga mkono tundu lisu wana hali ya kuchanganyikiwa na kuweweseka kuelekea uchaguzi wa chadema jan.21.2025?

    Leo ni pres conference ya 3 ya Godbless Lema akihaha kujieleza na kumuelezea Tundu Lisu kwa umma ambao hauna kura katika mkutano mkuu wa chadema taifa, watakao piga kura Jan.21.2025, kumchagua mwenyekiti wa chadema Taifa. Lema na wanao muunga mkono Lisu hawaminiki na wala hawakubaliki kwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Samia aizika CCM rasmi: Ugonjwa wa mbeleko za kisiasa zaanza kuitafuna CCM yenyewe

    Leo huko DODOMA wametangaza rasmi wagombea wa CCM wa nafasi ya rais wa JMT na rais wa Zanzibar. Kama mnavyojua kwenye siasa hakuna kitu cha bahati mbaya, ni dhahiri huo mpango wa kumpitisha Samia na Hussein Mwinyi kuwa wagombea kwa Kuwashtukiza wanachama ulisukwa mapema. Kwa hiyo hata kikao...
  8. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jakaya Kikwete: Ushindi wa CCM 2025 Hauna Mjadala

    Ndugu zangu Watanzania, Jogoo 🐓 limeshawika Dodoma. Makada mbalimbali na wazee maarufu na viongozi mbalimbali mashuhuri wanaendelea kuunguruma na kuzungumza juu ya uimara , ushupavu, umadhubuti na uhodari wa CCM. Lakini kubwa zaidi wote kwa pamoja na umoja wao wanaendelea kummiminia sifa na...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Umejifunza nini kipya mkutano mkuu wa CCM Dodoma?

    Mkutano mkuu wa CCM unaendelea Dodoma. Yapo malengo waliyojiwekea kwa ajili ya umma na ndiyo sababu mkutano ukawa mubashara. Je, wewe kama mwananchi umejifunza nini au kipi unachodhani kimefanyika kwa tija ya umma na ungependa kiwe advocated watu wengi zaidi wakibebe kwa hatma positive ya nchi...
  10. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Mikakati ya Kuitoa CCM madarakani ; muhimu Tundu Lissu awe Mwenyekiti

    REFORMS za Tundu Lissu endapo Atashinda; Moja, kufanya reform ya katiba ya Chadema na kuweka UKOMO wa atmost 5 years. Pili, ni kukirudisha chama kwenye HIMAYA ya wanachama. Ownership iwe kwa wanachama. Tatu, …. ni kuongeza mapato ya chama, chama kiwe na mali zake binafsi na miradi yake...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwijaku uso kwa uso na Diamond Platnumz leo Dodoma kwenye mkutano wa CCM

    Mwijaku amekutana na Diamond Platnumz kwenye Ukumbi wa Mkutano wa CCM mjini Dodoma.
  12. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Mzee Wasira sisi Wananchi hatuna ugomvi na CCM hayo maridhiano unayosema ni ya Nini?

    Nimekusikia katika hotuba Yako unasema kuwa hautafanya maridhiano na mtu mmoja na kwamba utafanya maridhiano na jamii, asasi za kiraia, jamii za kimataifa n.k Sasa nakuuliza tu Kuna ugomvi gani Kati ya jamii na CCM?
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mkutano mkuu wa CCM - Yanga Africa kutolewa CAF- Mkutano mkuu wa Chadema. Nyota ya Tundu Lisu inang'aa Sana

    Kwa Hesabu za Kimamajusi wa nyota ya Mashariki Tundu Lisu ameshashinda uchaguzi wa Chadema labda tu Polizia wamsaidie Mwamba Kwa kutumia maguvu CCM - Yanga Africa - Chadema Ahsanteni Sana 😃
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha CCM kumleta Wassira mzee wa miaka 80 inaonyesha upungufu wa human resource katika chama hicho

    Of all the people ndani ya chama cha mapinduzi eti CCM wanamleta Stephen Wassira. Mzee wa miaka 80 eti awe ndiyo makamu mwenyekiti wa chama hicho. Hili ni jambo la kustaajabisha sana kwa viwango vyovyote vile. Na hii ni kwa sababu zifuatazo. 1. Tulitegemea CCM ijifunze kwa Kujiuzulu Kinana...
  15. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA jiandaeni kisaikolojia Leo. hamtaamini kitakachotokea Kwenye kuhitimisha Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Dodoma. Mtalia Sana Leo

    Ndugu zangu Watanzania, CCM chama kiongozi Barani Afrika na chama kilichobeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania na chama kinachoaminika ,kupendwa , kukubalika na kuungwa mkono. kinakwenda kuhitimisha mkutano mkuu wake maalumu. Mkutano ambao ulikuwa Rasmi kwa ajili ya kumchagua...
  16. Small letter

    JamiiForums Tanzania WITO: Natoa Wito kwa wanachadema wote Watakaoumizwa na Vitendo vya rushwa Wajiunge na CCM harakà

    CCM pekee ndio chama kinachokataa rushwa na kuizuia kwa nguvu zake zote, Kama wewe ni mpinga rushwa kwanini ubaki CHADEMA inayonuka rushwa? Njooni CCM tujenge nchi yetu nzuri.
  17. eden kimario

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM: Punguzeni gharama za Mafuta ya Kupikia, bei zinapanda kwa kasi!

    Hivi, serikali inayowajali watu inaowaongoza na kuwasimamia, kweli inakosa mbinu za kuhakikisha bidhaa muhimu kama mafuta ya kupikia inashuka bei ili kupunguza gharama za maisha? Sababu kuu ya kupanda kwa gharama za vyakula mitaani ni mafuta ya kupikia kuwa juu mno. Kwa mfano, maeneo ya mama...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Nitawaambia nini wanachama? Nitajiunga na CCM ya Mzee Wassira endapo kwa namna yoyote Wajumbe wenzangu Watakula rushwa na kumchagua Mbowe

    Wananchi na Wanachama wote huku kwangu wanamuunga mkono sana Tundu Lissu, Wameniambia kama sitamchagua Lissu basi wao hawatakuwa tayari kuendelea na Ujenzi wa Chama, Lakini kwenye huu Uchaguzi Mimi sipigi kura peke yangu nafanyaje? Basi kama Mbowe atashinda Mimi nitajiunga tu na CCM Kwa...
  19. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Huyu Tajiri huko CCM ana nafasi gani?

    Ni Gharib Said Muhammad (GSM) Naomba wana jamvi nisaidie huyu Tajiri ana cheo/nafasi gani kwenye Chama? Saa nane mchana alikuwa Dodoma kwenye mkutano wa CCM saa 10 yupo Dar uwanjani hii inawezekanaje ? Cc Tlaatlaah chiembe ChoiceVariable milele amina Lucas Mwashambwa johnthebaptist
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Masahihisho: Historia ya African Association Kama Ilivyoelezwa Katika Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma

    https://youtu.be/X8aFsrqOgUQ?si=_R7PLruw4fYbQTWK Historia ya African Association imekosewa kidogo. African Association inachanganywa na Tanganyika African Association (TAA). African Association ilibadili jina na kuwa Tanganyika African Association (TAA) mwaka wa 1948 kujitofautisha na African...
Back
Top Bottom