Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Ndugu zangu Watanzania,
Unaweza kusema kuwa Nchi nzima ni kijani kwa sasa,kila eneo ni kijani na njano tu.kila ukifungua vyombo vya habari unaona kijani na njano ndio vimetawala na kutamalaki,ukiingia mitandaoni ni kijani na njano ndio vimeshika kasi na ukipita mitaani ni mijadala ya CCM ndio...
Wengi watachafukwa sana dhidi ya mchakato wa uchaguzi utakavyokua unaendeshwa, na zaidi sana watavurugwa zaidi na matokeo ya uchaguzi huo ambao ni wazi utagubigwa na vurugu, fujo na songombingo za kabokamchizi kama zote.
Baadhi ya viongozi waaandamizi wa CHADEMA Taifa watapokelewa kesho kwenye...
Bandugu!
Kesho Hapa Dar es Salaam jambo kubwa ni mchezo wa Yanga dhidi ya MC Alger katika kufunzu kwenda robo fainali ya klabu bingwa Afrika. Naamini timu yangu ya Yanga itapiga tu na kufuzu.
Lakini sambamba na hilo ni Mkutano Mkuu wa CCM pale Dodoma makao makuu ya Nchi. Tutapomfahamu Makamu...
Labda hii ni katika kumuweka mwamba kwenye ramani?
Kwamba mdahalo kala kona.
Hali ya uwanja haitamaniki.
Kwamba kipi kifanyike?
"Ama kweli rafiki wa kweli ni rafiki kwenye dhiki!"
Katibu msaidizi wa Chadema afahamikaye kwa jina la Salum Mwalimu, anatarajiwa kujiunga na CCM siku ya Jumapili mwishoni mwa Mkutano Mkuu.
Logistics za mapokezi kuanzia safari ya yeye kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma usiku wa kuamkia Jumapili, zimesha andaliwa.
Gari inayotarajiwa kumbeba kesho...
Wanaotajwa sana na vyombo vya habari,mitandao na makada wa CCM kuwa mmojawao atateuliwa kuwa makamu mwenyekiti wa CCM Taifa ni hawa hapa.
1.Paul Kimiti
2.Abdulah Bulembo
3.Mizengo Pinda
4.Dr Bashiru Ally Kakurwa
5.Yusuph Makamba
6.Frederick Sumaye
7..Dr Asharose Migiro
8.Anna Makinda
9.Steven...
Katika mazingira ya kisiasa ya sasa nchini Tanzania, chama ni kimoja tu kinacho weza ongoza Watanzania: Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kilichozaliwa kwa misingi ya umoja, maendeleo, na mafanikio ya kitaifa, CCM kimekuwa kikiongoza Tanzania tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977.
Kwa miaka mingi...
Waandishi wa habari na wasanii wameondoa kabisa seriousness ya Mkutano mkuu wa CCM Dodoma. Ni vigumu kwa compositions hii watu wakafuatilia mkutano unavyokwenda kwa sababu waandishi wa habari wapo katika comedy style kuliko kuripoti mambo ya msingi
Vyombo vya habari vinaripoti magari ya CCM...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kinachoketi leo tarehe 17 Januari 2025, Dodoma, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika...
ccm
dodoma
halmashauri kuu
halmashauri kuu ya ccm
kamati
kamati kuu
kamati kuu ya ccm
kikao
kuu
maalum
mheshimiwa
mkutano mkuu
mwenyekiti
mwenyekiti wa ccm
rais samia
samia
taifa
Mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM Taifa kutoka wilaya ya Hai, Kilimanjaro, tunakuomba kwa dhati unapotembelea Dodoma kwa ajili ya mkutano huo, tafadhali usitoe kitamu chako kwa wanaume. Kila mwaka unaposhiriki kwenye mkutano huu, umeonekana ukigawa bure, jambo ambalo linaweza kuwa na athari kubwa...
Habari wadau
Ukweli CCM siipendi kwa sababu nyingi.
Ila nawapa maua yao kwamba wameijenga nchi sana kwenye miaka mitano ya awamu ya 5 iliyoongozwa na Magufuli na miaka mingine mitano ya awamu ya sita iliyoongozwa na Mama Samia.
Leo hii Tanzania tunaongoza Africa mashariki kwa kuzalisha...
Wakuu,
Safari hii CCM imedoda, Watanzania wako bize na mkutano wa CHADEMA.
Mlianza na kiki ya mabasi ambayo tunajua ni upigaji, watanzania wamechamba kizungu halafu wamerudi kwenye jambo la maana kwa sasa. :BearLaugh: :KEKLaugh:
Hilo limebuma eti mnaigiza kama bongo movie kujipa umuhimu...
CHADEMA kwa sasa wapo kwenye kinyang'anyiro kikali cha kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama kati ya Mbowe na Lisu hiyo ndio demokrasia sio kuwatishia watu wasichukue fomu kwenye baadhi ya nafasi iyo sio sawa kidemokrasia!
Kama mgombea anajiamini aache apate challenge kutoka kwa washindani wake...
Wakati wowote ndani ya wiki chache zijazo huenda mchungaji Peter Msigwa akaamua kuondoka CCM na kurejea Chadema, ambapo rafiki yake mkubwa Lissu akitegemewa kuchukua kiti cha uenyekiti wa Chadema.
Tayari kuna tetesi zinasema Msigwa ameweka masharti ya kuendelea kubakia CCM kwa kupewa nafasi ya...
Weekend hii kutakuwa na mkutano mkuu wa ccm, lengo ni kumteua makamu mwenyekiti mpya atakayechukua nafasi ya Comrade Kinana.
Je unahisi nani atateuliwa kwenye nafasi hiyo? Tupe utabiri wako
Soma Pia: CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana
Sasa kumekucha CCM wanajambo lao!
Wanataka wananchi wote waone kitakachoendelea huko Dodoma kwahiyo sitafungwa Screen tv kwenye mikoa!
=====================
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema kuhusu ufuatiliaji wa uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa Bara Chama cha...